mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Inonga ana viwango vya Laliga na EPL. Tatizo tupo timu mbovu sana ya Simba

    Nimemfuatilia kwenye hii michuano ya Afcon. Hakika jamaa ni bonge la beki. Sema aliyemshauri kuja Simba kamuharibia sana.
  2. Mwaka 2019 Smartcard ya decoder ya Azam ilisumbua nikawaomba msaada, Wamenijibu 2024

    Moja ya matatizo makubwa ya hizi taasisi kubwa nchini ni kuwa wazito kwenye kujibu na kutatua changamoto za watu/wateja wao kupitia mitandao ya kijamii. Wengi huwa wanapost kitu kwenye social media page zao lakini hawa reply chochote kutokana na comments za followers, sio huko tu hata ukienda...
  3. Simba Bado inacheza mpira mbovu

    Bado sijaelewa kama hawa wachezaji wa Simba wana kazi nyingine zaidi ya mpira au namna gani? Bado wachezaji wetu wanafanya makosa madogomadogo na wanakosa seriousness. Bado wachezaji wetu wanaendelea kuwa na tatizo la ball control, possession ya mpira kwa wachezaji bado shida. Pass accuracy...
  4. Ofisi za RITA Kinondoni badilikeni, huduma ya kupata cheti cha kuzaliwa ni Mbovu sana

    Nimefika Ofisi ndogo za RITA Kindondoni mida ya saa 1:48 asubuhi kuchukua cheti cha Kuzaliwa cha Mtoto ukiwa umepita mwezi mzima tangu nitume maombi ya Mtandao na kuwa Approved. Kinachoshangaza ni kuwa kwanza hakuna eneo la kutosha kukaa watu wanaosubiria vyeti hivyo. Mathalani, leo imenyesha...
  5. M

    Huku kwenye maofisi ya Serikali huduma ni mbovu mno na watumishi wamerelax sana. Hivi shida ni nini?

    Kichwa cha habari chajitosheleza, yaani mambo yamelala mno ule usharpness haupo, kujali hakupo. Kitu cha dk 2 kinachukua dk30. Aisee hii ni hatari, Serikali mlala mno.
  6. KERO Jerry Slaa, jimbo lako linakuhitaji barabara mbovu mno

    Jerry Slaa hebu weka muda kidogo kutoka kukataa hongo ya mil. 300 uje uangalie njia za Ukonga hasa ya Kitunda kuelekea Mwanagati. Hali ni mbaya mno huku. Hatujakuona toka ulipokuja kupiga kampeni.
  7. Mpaka sasa Taifa Stars ndiyo Team Mbovu zaidi kwenye Afcon

    Bila kujali lolote natamka wazi kwamba timu yetu ni mbovu, hata tunapokuwa 11 bila red card bado hamna kitu Haijulikani hata fomesheni tunayocheza ni ipi. Kwa mtazamo wangu hadi sasa Tanzania ndio kikosi kibovu kuliko vyote vilivyocheza UZALENDO NI PAMOJA NA KUKOSOA, SIYO KUSIFIA TU
  8. Rais Samia Unaibiwa Mama, Hamasa Haziwezi Kuibeba timu Mbovu

    Wakati nchi ya Ghana imeamua kuwekeza katika soka, serikali yao iliweka mazingira vutivu kwa wawekezaji wanaotaka kufungua academy, academy zikafunguliwa nyingi kama Makanisa ya jiji la Mbeya. Miaka 10 baadaye timu ya taifa ya Ghana ikaanza kuimarishwa na vijana waliotokea kwenye academy zao...
  9. Hivi kuna manispaa/Halmashauri yenye barabara mbovu nchi hii kuliko Manispaa ya Ubungo?

    Wiki hii nilikua na community based activity mkoa wa Dar es salaam. Nilipita chocho kwa chocho. Na kwa sehemu kubwa nimetembelea karibu manispaa zote za mkoa wa Dar es salaam. Nachelea kisema kuwa manispaa ya ubungo ina hali MBAYA sana ya miundombinu ya barabara. Mpaka nikajiuliza hivi manispaa...
  10. January Makamba ni waziri mbovu kuliko mawaziri wote akifuatiwa na Mwigulu Nchemba

    January Makamba ameliharibu shirika la Tanesco amekuwa Waziri kwa muda mfupi na kulirudisha shirika hili miaka 40 nyuma yaani enzi za giza huyu ni mharibifu Sana itachukua muda mrefu Sana kulirekebisha ni mhujumu uchumi anatakuwa kufukuzwa Mara moja kazi ya uwaziri na afunguliwe kesi ya uhujumu...
  11. Acheni wivu na kelele zenu za kijinga kwa Wageni wanaowinda kihalali,hizo chuki zenu ibaneni serikali yenu ibadili sheria mbovu!

    Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane! Watanzania wengi huwa niwakurupukia mambo utadhani wana matatizo ya kiakili! Huyo jamaa aliyeonekana ameua Mamba aliyesadikika kuwa mkubwa nchi Tanzania analindwa na sheria mbovu za uwindaji zilizopitishwa na kutungwa na kina Musukuma na wenzie...
  12. Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  13. Hivi tunajua Madhara ya Kuwahusisha Watoto katika Siasa mbovu za CCM na Chipukizi Taifa yake?

    Mnaacha Kuwahimiza Watoto wenu wajikite na Masomo ( Taaluma ) ili waje kuwa Msaada kwa Taifa nyie mko busy Kuwapigania waanze kuwa Viongozi huko CCM Chipukizi kama mlivyo nyie Wazazi wao Serikalini. Na kuna Mtoto Mmoja nae nimemwona ameshaanza kuwa Tapeli na Muongo Muongo kama alivyo Baba yake...
  14. Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  15. Simba haikucheza vizuri, Wydad ni mbovu na kutafuta namba kwa Benchika

    Anaesema Simba ilicheza vizuri dhidi ya Wydad ninamshangaa sana tena sana. Wydad kufungwa na kila timu kwenye mechi mbili za kundi lake kuliwapa matumaini wachezaji wa Simba kuwa hata wao wangeweza kuifunga Wydad, hivyo walijitahidi tu kucheza mbele ya kocha wao mpya ili wapate matokeo pia kama...
  16. Ukumbusho kwa Mama Samia kuwa kuendelea kupata Urais 2025 inahitaji akili mbovu.

    Tunajua Ndani ya chama cha Mapinduzi CCM kunatofauti nyingi mno zinazotokana na uchu wa madaraka,makundi mengi yanazuka kulingana na nani ananipa nini pia nitapata nini? unazani kwa mtu kama Samia Suluhu afanye kitu gani ili kudhibiti mwendendo huu mbaya ambao unatishia kukiangusha chama cha...
  17. Wakulima wa Tanzania hawapo huru kwa sababu ya siasa mbovu za CCM

    Ero sobhai. Takwenya kokoo wote humu? Mwangaruka wabhabha na mamayo Enewei kama salaam haijawachangamsha haya changamkeni na hii. Serikali ya Tanzania imefunga ndoa isiyo ya kawaida na Chama Cha Mapinduzi ili kukisaidia kisalie madarakani na kuwafanya Watanzania kuwa manamba wa kudumu wa...
  18. Utofauti ni mazingira tu; English Medium/Private na St. Kayumba wote wanatoa elimu mbovu

    Ukiondoa hizi international Schools ISM, Braeburn, IST, St. Constantine. Shule zilizo baki Tanzania zinatoa elimu mbovu utofauti ni mazingira ya upokeaji wa vilivyo vibovu. St. Kayumba na hizi English medium/private wote wale wale wanaendelea kutoa yale yaliyo mabovu yaliyo andaliwa na wizara...
  19. S

    SuperFeo ya Songea-Arusha-Moshi huduma zenu ni mbovu mabasi yenu yamechoka

    Hii kampuni ya SuperFeo ruti tajwa hapo juu mabasi yake yamechoka. Yutong ya tangia mwaka 2020 mpaka leo tunaelekea 2024 unategemea nini. Halafu hawa mabasi ya kutosha, fikiria basi lililotoka jana Moshi saa 12 na kufika Songea saa 8 usiku, saa 10 leo igeuze tena kwenda Moshi. Kweli tuko...
  20. A

    DOKEZO Huduma mbovu Hospitali ya Rufaa Ligula - Mtwara

    Kuanzia mapokezi, Dirisha la Malipo - hapa ndo pana shida mnooo😭😭, unayezilipa shida ni kurudi tena ili risiti iingizwe kwenye mfumo. Unaeza kaa hata masaa ma tatu hafi 10.na ukirudi tena siku nyingine unaambiwa risiti imetumika imeisha muda wake so that you must pay it again 😭. Mtandao wao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…