mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ms Billionaire

    JamiiForums Tanzania Changamoto ya barabara mbovu Goba Kulangwa/Tegeta a Serikali inapuuza?

    Habari wadau. Narudi tena kusisitiza shida za Barabara za Goba kulangwa! Leo tumenusurika tena kupoteza watoto kumi. Sijui tupige vipi kelele hizi barabara zitengenezwe kwa ubora. Sio kutupitishia magreda! Maana Mvua zikija zinasomba tena! Nasisitiza tena. 1. Kuna ile njia Goba kulangwa...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Hivi hizi simu wanazonunua mbovu zinaenda wapi??

    Nimejaribu sana kuwaza hilo swala wale watu wanapita na makelele majumbani tunanunua simu mbovu shida nini na zinaendaga wapi zikinunuliwa?? Tulishazoea chuma chakavu. Pesa mbovu. Hivi sasa wananunua na simu mbovu aisee. Majuzi niko bar naona mtu na mkewe wana sumaku mkononi wanaokotaaa...
  3. Magufuli 05

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hii Serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima nini hasa dhumuni lake?

    "Siku mkisikia wazungu wananisifu tambueni nimewasaliti" ni maneno ya Samora Machel kwa wananchi wake. Tuje hapa kwetu sasa. Hii serikali inayosifiwa kwenye mabango nchi nzima Nini hasa dhumuni lake?. Kwanini imekimbilia kwenye mabango kujitangaza na si kuacha kazi ijitangaze yenyewe? Ukweli ni...
  4. A

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma mbovu NHIF Ilala

    Mwishoni mwa mwezi Aprili nimeandika hapa malalamiko yangu kuhusu changamoto za utoaji huduma katika ofisi za Bima ya afya ya Taifa (Tawi la Ilala). Hii changamoto imekwenda mbali zaidi na sababu kubwa ikiwa ni utashi wenye mashaka kwa watoa huduma walionipatia huduma. Baada ya kulalamika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kwa dhambi hii ya kuiacha katiba mbovu inayomfanya Rais kuwa "Mungu Mtu", Nyerere hapaswi kuwa Mtakatifu

    Dhambi kubwa aliyofanya Nyererew ni kuiacha katiba ambayo mwenyewe kwa kinywa chake alisema katiba hii akiipata dictator, ataumiza sana watu/ WATANZANIA/WATANGANYIKA. Kwa vile ilikuwa inampa mamlaka ya kidikiteita akaiacha hivyo hivyo. Sasa wamekuja madikiteita marais waliopita na kuitumia...
  6. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Magari ya Wanafunzi (SCHOOL BUS) yamekuwa na udereva mbovu na uvunjaji wa Sheria

    Hizi gari madereva wanajiona kama Viwete Kuwa wanahitaji Special Care, mara kadhaa nimeshuhudia Gari la shule likivuka taa za barabarani bila hata kuchukua tahadhar na ilikuwa inawaka Red. Madareva wamekuwa rafu sana wa wanafunzi hawa wadogo, magari yanakimbizwa mnoo, hawachukui tahadhari, na...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Sakata la mchele mbovu kutoka Tanzania, Rwanda

    Mchele Unaoingizwa nchini Rwanda walaumiwa kwa kukosa viwango vilivyo andikwa ktk vifungashio . .. Mwishoni mwa mwezi uliopita, habari za utapeli na uaminifu katika mamia ya tani za mchele kutoka Tanzania hadi Rwanda zilitawala vichwa vya habari vya vyombo vya habari vya ndani. Baadhi...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi tulishindwa tu kununua Madafu ya kutosha Nje ya Ikulu hadi kuruhusu Wauza Madafu na Baiskeli zao Mbovu na Kongwe waingie nazo Ikulu kienyeji?

    Mnaacha kutumia muda wenu mwingi kufikiria kwa Akili Kubwa jinsi ya kutatua Changamoto lukuki zinazowakabili Watanzania na Taifa la Tanzania nyie Kutwa mpo katika kutengeneza Maigizo ya Kipumbavu na Kishamba (kama mlivyo) ili tu muonekane Mnapenda na kujali kila Mtu, Wanyenyekevu na mno Huruma...
  10. M

    JamiiForums Tanzania KERO Huduma za Airtel Tanzania ni mbovu sana

    Habarin wadau, Naomba mwenye uelewa anijuze nawezaje kupata haki yangu, Tarehe 04 -03-2024 nilitumia Airtel Money kufanya muamala wa TZS 150,000 kwenda tigopesa hiyo pesa kwangu ilitoka lakin haikufika kwenda ilikotumwa. Nimejaribu kutafuta msaada mara kadhaa katika ofisi za Airtel bila...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Ni ipi siri ya Yanga hata ikiwa mbovu haijawahi kumaliza ligi nje ya nafasi ya tatu?

    Timu zote isipokuwa Yanga zimewahi kushika nafasi nje ya tatu, Why ? Kwa upande wa Simba imewahi kunusurika kushuka daraja mwaka 1987, 1988 na 1989, kwa mwaka 1988 na 1989 mechi za mwisho zilikuwa dhidi ya Yanga, mara zote hizo Yanga waliombwa wasishinde ili Simba asishuke daraja maana ligi...
  12. Mpigania uhuru wa pili

    JamiiForums Tanzania Uongozi wa Simba sio mbovu kama wengi wanavyotaka kuaminisha watu

    Mimi ni mshabiki wa Yanga ila napingana na kauli za watu wanaosema uongozi wa Simba ni mbovu hapana sio mbovi ila wanazidiwa na Yanga kwenye usajili. Mwaka jana Simba imesajili sana ila ukweli ni kwamba wachezaji wengi waliosajili ni wakawaida na ni wachezaji wa magazeti. Kipindi kile Yanga...
  13. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Azam mlichonga njia mbovu kumpata Feisal, sasa kibao kimewageukia muachieni pia Prince Dube akatafute maisha kwingine!

    Waswahili husema mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu, mchezaji wa Azam, Prince Dube ameandika barua ya kuvunja mkataba ambao umebakiza miaka 2! Jambo hili sio jambo zuri hata kidogo kwenye soka letu, suala la mchezaji kukosa tu furaha na akaamka asubuhi na kuandika barua ya kuvunja mkataba...
  14. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Yanga ndio timu mbovu kwa sasa kwenye hatua ya robo final club bingwa

    Hapo vip!! Mpira ni mchezo wa wawazi na data hazidanganyi. Kwa tathmini inavyoonyesha yanga ndio timu dhaifu na mbovu kwa sasa katika hatua hii ya robo final club bingwa kwasababu zifuatazo: 1. Ndio timu pekee iliyoingia na point chache na za mwisho kuliko timu zote. 2. Ndio timu inayoongoza...
  15. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kinachoendelea NHIF ni reflection ya Incompetence za Viongozi, Wivu na Ushauri Mbovu kwa Waziri wa Afya

    Nimemsikiliza Waziri wa Afya leo tarehe 1Machi 2024 katika kutetea kuanza kwa kutumika kwa kitita kipya ambaco kimelalamikiwa na watoa huduma kutoka vituo binafsi. Katika maelezo ya waziri, amesema NHIF ni muhimili mkubwa wa kugharamia huduma za afya hapa nchini na kuwa takribani asilimia...
  16. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Ivi ndivyo Nchi Walivyotaka Kuiongoza Lakini Sio Kama Ule Uongozi.

    Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya mungano...... mtamalizia wenyewe!
  17. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Chuo cha UDOM kuna utaratibu mbovu wa kutoa vitambulisho, wanatuumiza Wanafunzi

    Chuo Kikuu cha Dodoma kuna tatizo, Wanachuo tumelipa ada na kujisajili mapema lakini mpaka tunafika mwisho wa mhula hatuna Vitambulisho. Kibaya zaidi Sheria au utaratibu wa hapa ulivyo haturuhusiwi kuingia kwenye mtihani bila kitambulisho hai (active), yaani unatakiwa kuwa na ID ambayo...
  18. A

    JamiiForums Tanzania KERO Shule ya Academic Mikocheni Njia ya Clouds inasababisha Foleni, Utaratibu mbovu wa kupokea magari

    Hii shule ipo njia ya Cocacola -Clouds, karibu kabisa na Bushoke Chips, hapa bhana asubuhi wazazi wanaleta watoto wao shule, basi hakuna parking, magari yanajaa barabarani na inasababisha foleni na usumbufu sana kwa watumiaji wa barabara hiyo. Tunaomba uongozi wa shule uwajibike kuwa na mpango...
  19. Amavubi

    JamiiForums Tanzania Hoteli za Morena na Huduma Mbovu

    Tuna kawaida mtu akiandika kitu cha kugusa mahala fulani utasikia umetumwa Mimi naandika haya ambayo nimetendewa na nimeona hii ni fursa ya kuwasilisha dukuduku langu Huenda nisifunguke sana lakini ITOSHE KUSEMA MORENA HOTELS hasa Morogoro MJIREKEBISHE SANA. Huduma zenu ni mbovu sana na za...
Back
Top Bottom