mbovu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania KERO Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid (Zanzibar) maji taka yanasambaa mitaani na barabara ni mbovu

    Sisi Wakazi wa Mtaa wa Kisonge na Mtaa wa Bin Abeid hapa Mkoa wa Mjini Magharibi tuna changamoto ya mifumo ya Maji taka kutowekwa katika mazingira mazuri na kwa ufupi ni kuwa Miundombinu imeharibika lakini Viongozi wetu hawachukui hatua. Kuna mabomba na chemba za majitaka zinavujisha maji...
  2. B

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wanalalamika wanaume wa siku hizi hawafai, lakini wanawalea watoto wao kwa mtindo mbovu zaidi. Hawatafaa kwa lolote.

    Utawaskia wakilalamika ooh wanaume wa siku hizi, they are not caring, aren't strong men. Ukija kuangalia sasa jinsi wanavyolea watoto wao wa kiume ndio majanga zaidi. Watoto wakiume wamekuwa mtihani mkubwa mikononi mwa Mama zao. Hawawezi kufanya kazi ngumu, hawezi kutoka nje kukojoa mpaka...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mamlaka zifuatilie Daladala zinazohatarisha usalama wa Abiria kwa uendeshaji mbovu na Askari hawachukui hatua

    Kuna Daladala moja inayofanya safari zake Kijichi Spice kwenda Darajani imekuwa na huduma mbovu kwa Abiria wake na wakati mwingine kutishia usalama wa Watu waliomo ndani ya gari hilo na hata waliopo nje. Dereva wa daladala hiyo amekuwa akiendesha ovyo kwa kutojali Sheria za Barabarani kiasi...
  4. This is...

    JamiiForums Tanzania Hakuna mchezaji wa simba anaweza kupata namba pale Yanga. Simba timu mbovu.

    MANULA hawezi kupata namba pale Yanga,utamsajili utampeleka wapi.Kaisha!
  5. BLACK MOVEMENT

    JamiiForums Tanzania Prof Janabi kashindwa Muhimbili, Huduma ni mbovu, malalamiko ni Mengi, huko WHO hafai kuongoza.

    Tunapaswa kumuonyesha Raisi Samia kwamba haturidhishwi na mfumo wa huduma za Afya Tanzania, na ikiwemo Hospitali kuu ya Muhimbili unayo simamiwa na huyo anaye pigiwa upatu. Nchi ina mifumo mibovu sana ya Afya, tuwe serious hapa. Huduma za Hospitali ya Muhimbili sio nzuri na zinalalamikiwa...
  6. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ni mkoa ambao una barabara mbovu sana

    Mkuu wa mkoa wa Arusha anaonekana kushughulika sana na masuala ambayo hayaleti tija kubwa kwa wananchi. Mkoa wa Arusha una changamoto kubwa ya maisha magumu kwa wakazi wake, hali inayozidi hata mkoa wa Lindi, ambao unaelezwa kuwa miongoni mwa mikoa yenye hali duni kiuchumi. Mgawanyiko wa...
  7. kipara kipya

    JamiiForums Tanzania Shabiki wa simba tembea kifua mbele atakayesema timu mbovu au mwalimu hafai hajui mpira na sio simba!

    Simba imepiga mpira mkubwa sana pale algeria tena kwenye mazingira magumu ya mvua na baridi uwanja kuteleza. Mwalimu amepanga kikosi vizuri kabisa kwa mipango simba ilicheza kwa kujiamini magoli iliyofungwa ni makosa ya kawaida kwenye mchezo wa mpira ila kwa mwenye kujua mpira....... Ila tu...
  8. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania FT: MC Alger 2-0 Young Africans | CAF Championship League | December 7, 2024

    Tyee!!! Leo nimewahi kuanzisha thread. Watakaonuna na wanune. Nastahili kupongezwa kwa mafanikio haya: Mpira umeanza dakika 20 zilzopita. Ingawa MC Alger walianza kwa kasi sana wakituhsmbulia kwa nguvu sana, tuliwadhibiti na hadi sasa bado tuko level ground ya NUNGE-NUNGE. Pacome kapata...
  9. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Barabara ya Mtaa wa Buganda, Kata ya Mkolani ni mbovu kupitiliza, Uongozi wa Mtaa unachangisha lakini matengenezo hayafanyiki

    Mtaa wa Buganda, Kata ya Mkolani, Wilaya ya Nyamagana - Mwanza. Barabara ya Mtaa ni mbovu sana, watoto wanateseka kwenda shule, watu wenye magari hawayatumii tena, Bodaboda wamepandisha nauli kutoka Stendi ya Nyegezi hadi mtaa huo kutokana na barabara kuwa mbovu. Uongozi wa mtaa unachangisha...
  10. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania LGE2024 ACT Wazalendo: Khamis Mbeto Khamis hana haki ya kutupangia njia ya kutumia kupinga Sheria mbovu

    MBETO HANA HAKI YA KUTUPANGIA, NJIA YA KUTUMIA KUPINGA SHERIA MBOVU. Ndugu Wanahabari, awali ya yote nichukue fursa hii kumshukuru Mwenyezi Mungu, kwa kutujaalia uhai na uzima, na ukimya katika nchi hii, pia kuwashukuru nyinyi wanahabari, kwa kuitikia wito wetu, kila pale ambapo tumewaita kuja...
  11. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa kukarabati uwanja wa Mkapa mbona bado uwanja mbovu?

    Zaidi ya mwaka sasa umepita, Tangu uwanja wa Mkapa ulipoanza kufungiwa mara kwa mara kwa ajili ya marekebisho na kupelekea baadhi ya mechi muhimu kuahirishwa kwa zaidi ya mwaka sasa. Kwa kipindi chote hicho, na kwa mabilioni yaliyomwagwa pale, Tulitarajia uwanja angalau uwe Pitch yenye quality...
  12. jT0078

    JamiiForums Tanzania Tunanunua Laptop mbovu kama spare

    Lete Laptop mbovu nikupe pesa bei maelewano. Ilala Dsm 0767953873
  13. Kichuguu

    JamiiForums Tanzania Ujenzi Mbovu: Kenya pia ghorofa laanguka

    https://www.youtube.com/watch?v=dfhBGUUZnF0 Ujenzi usiofuata viwango ni hatari kwa jamii.
  14. Smt016

    JamiiForums Tanzania Kayoko ni mwamuzi mbovu ila kwenye hii derby kila timu imeathirika na maamuzi yake ya ovyo tofauti na Simba wanavyoona ni wao pekee

    Ukipita mitandaoni na mitaani, utaona wanasimba wanalalamika wameonewa na mwamuzi sababu kubwa zao ni 1) wamenyimwa penati mbili za Kibu, na faulo iliyozaa goli haikuwa faulo ya maana. Kwenye swala la penati ambayo ni halali ni moja tu na sio mbili kama inavyodaiwa. Ile moja ni faulo...
  15. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yaliyomwagwa uwanja wa Mkapa yako wapi? mbona hayaonekani uwanja umezidi kuwa mbovu

    Mechi muhimu kama hii ya derby uwanja hauna electronic display boards, uwanja hauna big screen, pitch yenyewe mbovu haina hadhi kama ya viwanja vingine tunavyoona huko nchi zingine. Kwa mabilioni yaliyomwagwa tulitegemea sio tu kuwa na on pitch electronic display board bali hata juu ilipaswa...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ramadhan Kayoko ndiye mwamuzi mbovu katika NBC Premier League! Freekick uliyowazawadia Yanga imeigharimu Simba

    Yaani baada ya kuona TFF imemchagua Kayoko kuwa mwamuzi katika mechi ya Derby ya Kariakoo moja kwa moja nikajua Simba hashindi mechi hii. Yaani kila nikirejea picha za tukio ambalo ameizawadia Yanga freekick sioni kosa alilolifanya Okejepha. Na baada ya kuona Chama ameingia na anaenda kupiga...
  17. Brojust

    JamiiForums Tanzania VYUMA VIMEKAZA Vs SINA HATA MIA MBOVU

    Salaam wakuu. Waliosoma Cuba level za PHD washanielewa. Upi msemo at least unatia moyo. NB: please usitaje jina lolote, kwenye comment majibu ya jicho la 3D yatapendeza sana Nawasilisha.
  18. Dumas the terrible

    JamiiForums Tanzania Nani Aliyeandaa ile Speech Mbovu ya Madame President?

    Tukiacha Uchawa na kujipendekeza kama Kahaba aliyeona mkoba wa Dhahabu za Babylon kwenye chumba cha siri kwa kuhani wa mungu Murduk ndani ya hekalu la Enki. Ile hotuba Madame kaharibu kabisaaaa badala ya kujenga anabomoa mpaka vumbi litimke, Haiwezekani aisee jana naangalia nusu kidogo...
  19. Bila bila

    JamiiForums Tanzania Tatu Malogo, mwamuzi mbovu kuwahi kutokea Tanzania

    Kwa tukio la Leo Mechi ya Azam Vs Pamba nadhani TFF mtambeba tena huyu refa wenu wa ovyo.
  20. winnerian

    JamiiForums Tanzania CRDB huduma kwa wateja imekuwa mbovu kulinganisha na benki zote hapa nchini

    Ingia ndani kupata huduma yeyote lazima upoteze zaidi ya saa moja. Wananchi wa Tanzania ninatoa wito tuwaache CRDB na wanahisa wao wabaki wenyewe. Hawezekani benki tuipe sisi kiburi cha kutuhudumia vibaya namna hii. HAPANA HAIWEZEKANI Sasa mbaya zaidi umkute dirishani amekaa mdada ndio utajuta...
Back
Top Bottom