mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Mbona mama huwa anachelewa Sana kutoa salami za rambirambi?

    Rais kwa kuwa ni rais namba moja, inabidi awe wa kwanza kutuma hizi rambirambi, sio kwa ubaya.
  2. W

    JamiiForums Tanzania Huyu mke mbona anaipenda sana kauli, 'mwanamke ni kiumbe dhaifu'?!!!

    Kila tukijadili mambo ya maadili, hususani kukua kwa ufuska kwa vijana wetu wa kike au labda taarifa fulani inayohusu visa vya mapenzi tunavyovisikia kwenye TV au mtaani hapa, basi kauli hii humtoka bila kukawia. Yaani mijadala mitano tuliyoifanya hivi karibuni, ameitoa hiyo kauli Mara nne...
  3. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona wachungaji wanajifanya wanajua kila kitu?

    Mbona madhabahu na injili inavamiwa na washamba sana, yaani akili ya kusoma vifungu vya bible, na hizo lukutu lakata leketee feki ndio wanajifanya na kujikuta wanajua kila kitu, mahusiano wanajua sana, heshima wanajua wao, sifa za kuoa wao, sifa za kuolewa wao, namna ya kutongoza wao namna ya...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Kwa maoni yako, mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi au imepunguza?

    Eti wakuu. Mitandao ya kijamii imeongeza ubaguzi wa kidini na rangi kati ya binadamu au imeongeza kuvumiliana?
  5. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022

    Ujenzi wa Bwawa hilo (JNHPP) ambao hadi Novemba 2022 ulikuwa umefikia 77.15%, unatazamiwa kufikia 80% wakati mchakato wa kujazwa maji utakapoanza. Meneja Mawasiliano wa Shirika la Umeme Tanzania TANESCO, Elihuruma Ngowi amesema “Ujazaji maji utaanza wiki ijayo Desemba 22, 2022 na siyo leo...
  6. C

    JamiiForums Tanzania Nilipokosa kupiga nae Picha mlinicheka Mitandaoni, mbona Jana nimepiga nae White House na hamnipongezi?

    Mkijua Kudhihaki mjue pia na Kupongeza. Na hakuishia tu Kupiga Picha nami bali hata ile Dola Milioni 55 tuliyohaidiwa Ngozi Ngumu (Bara la Afrika) kwa anavyoipenda Tanzania Nusu yake tutapewa Sisi na Mimi kwakuwa nimeshawajua mlivyo Wanafiki wala sizileti Kwenu (siwapi) na naziweka Kibindoni ili...
  7. Zanzibar2014

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya kina kaka/baba acheni kelele na ukorofi

    Nilikaa kimpya sikujibu nilikuwa nawacha nisome maoni yenu kwanza halafu nikupeni update sasa. Na sasa nafunga huu mjadala na pia natumai mnaotaka mke sasa kama bado mmo sasa tulieni. Na mnao thani humu nimetowa pesa mimi sijampa hata shilingi nahisi ilikuwa ni kuchezeana akili. Huyu mwamba...
  8. Mocumentary

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Nakerwa sana na wanaodai Nalamba asali, asali ni tusi kwangu, niko upinzani kwa miaka 30 sasa nikipambana kwa Jasho na Damu

    Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe wakati akiongea na Diaspora nchini Marekani leo amesema anakasirishwa na wanaosema amelamba asali ili kumfanya akae kimya, na kusema hilo ni kama tusi kwake lakini anavumulia kwakuwa ni sehemu ya harakati. "Nimekuwa nikifuatilia mijadala katika...
  9. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  10. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Wanaume na Wanawake mnishauri mi mwenzenu nakosea wapi? Nifanye nini? Mbona nakutana na mabalaa hivi?

    Hili swali najiuliza kila mara sielewi. Nikijitazama nipo fresh tu na wala huwa sipendelei show off au sijui nini. Nina bahati mbaya na mademu. Binafsi napenda mademu wenye hips na makalio. But napenda pia wawe na akili. Hapo ndo changamoto kubwa sana. Nlianza urafiki na binti mmoja jumatano...
  11. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu na Godbless Lema rudini nchini, mbona mnang'ang'ania kwa wazungu?

    Magufuli is no more. Rudini nchini. Mama ameshasema muwe na amani rudini mjenge nchi. Naona hamtaki ili mkae huko then mpate Uraia. Maana sasa sioni sababu ya kutorudi nchini ni nini ikiwa Mlieykuwa mnamuogopa hayupo. Rudini nchini Tanzania. Acheni uchawa huko Ulaya.
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Watanzania huu ndio wakati wa kuchuja ngano na Magugu. Wanaoliibia taifa letu wanatamba hadharani. Mbona huu ndio wakati wa kuwakataa

    Tozo za kila namna. Mbona huko nyuma hakukuwa na tozo. Mgao wa umeme. Mbona huko nyuma hakukuwa na mgao wa umeme? Mbona hatuoni miradi mikakakati kama huko nyuma? Huu ndio wasaa wa kuchambua magugu na ngano na kufanya maamuzi.
  13. Nyamwage

    JamiiForums Tanzania Zanzibar samaki zenu huwa mnauzia wapi? Mbona adimu sana

    Nipo hapa kwenye kisiwa cha marashi ya karafuu jioni nikaenada zangu barabarani kuzurura nikakutana na wauza samaki wa kukaanga sikuuliza bei maana huku bongo huwa tunawanunua kwa buku ikizidi sana buku jero, nikawagonga samaki watatu palepale nikamaliza natoa elfu tano ili nirudishiwe chenji...
  14. TATACHACHA

    JamiiForums Tanzania Wanaomuelewa Young Killer anaimba nini siku hizi, mbona kama simuelewi? Ameshindwa kuisoma gemu na kunyumbulika nayo

    Back in 2013 namkumbuka sana huyu dogo cheche zake kuanzia Dear Gamble, Mrs Superstar n.k, nilikuwa fan wake mkubwa, ukichanganya kule kuchana kwake kuchanganya swaggs kama young daddy. Nimemiss zile flavour real kutoka kwa huyu dogo, nashindwa kuelewa tatizo liko wapi? Ameshindwa kabisa...
  15. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

    Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC. Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story. Sasa...
  16. Chura

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa kizazi hiki mbona hawana hofu ya Mungu jamani?

    Nisikuchoshe ndugu yangu, ngoja nizame mazima kwenye mada kuna mwananmke nilikua nampenda sana (ndiyo kabla ya jana alikuwa kila kitu kwangu) anaitwa G, tulikuwa kwenye mahusiano mazito tangu 2019 mpaka jana tulipoweka nukta. Kilichonichosha mpaka nikaandika uzi huu ni kuwa, jana aliniomba...
  17. MK254

    JamiiForums Tanzania Hivi mbona Qatar hawajaja na sare zipasao wanaume ili kukidhi sheria za waislamu kwenye mpira wa kombe la dunia

    Nimesoma sehemu kwamba ni kosa kwa mwanaume kuonekana magoti kwa mujibu wa sheria za waislamu, sasa Qatar ambao ndio wenyeji wa michuano ya kombe la dunia wametoa miongozo kwa kuzingatia dini hiyo, mbona wameacha wanaume wanacheza mpira huku wakivaa sare zinazoonyesha mapaja nje nje, au ndio...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakatoliki wenye Watoto wanaopokea Komunio ya Kwanza leo mbona hatualikani Kula Pilau?

    Nichukue nafasi hii Kuwapongeza Watoto Wote wa Kikatoliki ambao leo wanapata Komunio yao ya Kwanza. Tafadhali Wazazi wa hawa Watoto GENTAMYCINE nawaomba hebu nipeni basi Code ili nije Kula nanyi hiyo Mipalau yenu mlioipika ili niokoe Bajeti yangu ya Chakula kwa leo Jumapili. Nijibuni upesi kwa...
  19. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Wapi vishikwambi? Mbona mpaka Leo wahusika hawajapewa?

    Tar 4 nov 2022 waziri mkuu alizindua zoezi la ugawaji vishikwambi Kwa walimu na wadau wengine wa Elimu huko Dodoma, Kwa hotuba ile na maelekezo Yale nilitegemea ndani ya wiki tu Vishikwambi vifikishwe sehemu husika! Lakini mpaka Leo Kimya vipi kunani? Ni siasa tu au wanasubiri uchaguzi ukaribie? Loh
  20. MK254

    JamiiForums Tanzania Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

    Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....
Back
Top Bottom