Video: Hadi huruma, hivi Urusi mbona anatesa hawa vijana wake

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,516
47,746
Hivi vita kuna wakati najikuta nahurumia Warusi badala ya kuwaombea kichapo, dogo mwanajeshi amelala zake mtaroni anapigwa bomu na drone, sema kaliondosha fasta, haya mateso ya nini kwa kweli....

Kumbe mmekimbilia huku. naona mmeanzisha uzi wa kufarijiana.

Tuliwambia kuwa Urusi ana uwezo wa kupiga sehemu yoyote ile Duniani na hakutakuwa na kenge yoyote yule wa kunyoosha hata kidole
 
"Volodymyr] Zelensky and his henchmen will have to answer before the court of history, the peoples of Russia and Ukraine for every tortured and executed prisoner of war," the MoD said in a briefing Friday.
"The intentional and methodical murder of more than ten immobilized Russian servicemen by degenerates from the Ukrainian Armed Forces by gunshot to the head cannot be presented as a 'tragic exception' against the background of the supposed general observance of the rights of prisoners of war by the Kiev regime," the military added.
 
vipi kombe la dunia kazuia kweli maana mbulukenge mlisema kwa kuwa timu ya russia imeondolewa kwenye kombe la dunia hivyo halitachezwa sasa nauliza halitachezwa kama alivyosema.
 
"Volodymyr] Zelensky and his henchmen will have to answer before the court of history, the peoples of Russia and Ukraine for every tortured and executed prisoner of war," the MoD said in a briefing Friday.
"The intentional and methodical murder of more than ten immobilized Russian servicemen by degenerates from the Ukrainian Armed Forces by gunshot to the head cannot be presented as a 'tragic exception' against the background of the supposed general observance of the rights of prisoners of war by the Kiev regime," the military added.

Zelensky mlimpa masaa 24 aihame Kyev, bado yupo yupo.....
 
Huyo maskini dogo anapigwa bomu amelala kwenye mtaro akiulizwa anapigania nini haswa.....
anapigania alicholia kiapo kwenye kazi yake, kuitetea nchi yake hadi tone la mwisho la damu yake...Kuna mpuuzi fulani wa nchi jirani anataka kuhatarisha usalama wa nchi yake kwa kutaka kuwasogeza jirani maadui wa nchi yake kwa kupitia mlango wa kujiunga na umoja wa ulaya.
 
Similar Discussions

3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom