Msemaji wa KMC Mwanadada mbona hubwatuki kwa mbwembwe kama kawaida kwa mechi yenu na Yanga SC leo?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,689
109,119
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC?

Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa 'Ukibwatuka' kama kawaida yako kuelekea katika mechi yenu nao leo saa 1 usiku kwa Mkapa.

Ila akina GENTAMYCINE tunaoujua vyema mpira wa Tanzania na umafia pamoja na janja janja yake, tunajua kuwa tayari Bhahasha za Salamander Tower Posta zimeshawafikia na leo mnaenda kuwa laini kwao kuliko ambavyo uwezo ulivyo kwa sasa.

Tunajua kuwa mmepenyezewa bahasha ili mlegeze mambo yawe mazuri kwao, Ili kumlinda Kocha wao aliyeleta mgawanyiko katika uongozi wao na pia wawatulize mashabiki wao ili waiamini timu yao hasa kuelekea Kucheza na Watunisia, ili tarehe 2 November, 2022 uwanja ujae (ufurike) sana, ili wapige pesa za mwisho mwisho.

Kwani wanajua kuwa safari yao kimataifa inaenda kuishia Jijini Tunis tarehe 9 November, 2022.

Asanteni KMC FC kwa mlichokifanya.
 
KMC anaenda kufanyia Utopolo kitu mbaya sana hawataamini
Wameshanunuliwa hawawezi na badala yake amini haya Maneno yangu kuwa leo KMC FC anaenda Kufungwa na Goli 2 kwa 0 au Goli 3 kwa 0.

Matajiri wa Salamander Tower Posta wameshamaliza Biashara kwa Sisi Wabobezi wa Michezo michafu ya Soka la Bongo na Umafia wake.

Na mnaowasifia KMC FC kuwa kwa sasa Wanaupiga Mwingi leo hamtoamini na mtawakataa Wenyewe kwa Mkapa kwa Kipigo kitokanacho na Kuuza kwa Tajiri wa Salamander Tower Posta ili Kufunika la Kocha wao na Kuwaandaa Kisaikolojia Mashabiki ili tarehe 2 November, 2022 wajae kwa Uwingi kwa Mkapa Kushuhudia Mtunisia anavyokuja kuitafuta Sare / Suluhu yake ya Kimkakati Dar es Salaam ili tarehe 7 akamalize Shughuli ( Kazi ) Kwao Jijini Tunis nchini Tunisia.
 
Wewe si ndiyo umeishabwatuka kwa niaba yake mkuu
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC
 
Yaani mmeshindw kumfunga nyie yanga saizi lawama mnaamishia vitimu vibovu ambavyo ndio saiz zenu!!!.

Basi leta timu yako tuipige NDOIGE moja 😅
 
Sisi Yanga ndo zetu kununua mechi kupoza uchungu wa mtopo wa Okra magic
 
Sijawahi sikia hata wale watoa motisha kwa timu pinzani za Yanga.

Ikicheza Yanga ni kimya tu.
Huyo Dada leo anapenda KMC wafungwe.

Ndio maana yupo Kimyaa
Halafu ni mtumishi wa umma huyo.

Wadekezeni tu Yanga ila wakitoka tu kimataifa wanachezea kichapo.

Hakuna vilainishi kule.
 
Ndugu lazma hii mechi washnde by any mean Ili wawe vzur kisaikolojia kabla ya kukutana na watunisia.......bahasha is inevitable!!!!
Huko nyuma ambako yanga hakuwa anaenda kutana na watunisia,hii mechi matokeo yalikuaje!?..katika mechi zote za ligi msimu uliopita na huu mechi ipi yanga hakutembeza bahaha!?
 
Makolo mmeshindwa kumfunga yanga hao kmc
Mbona ukiwa unakaribia kucheza na Simba SC huwa hunyamazi na huwa 'Unabwatuka' mara kwa mara tena hadi kuwapigia simu waandishi Ili wakuhoji kuhusu maandalizi juu ya mechi ya Simba SC?

Cha kushangaza leo unaenda kucheza na Yanga SC, ila kwa takribani wiki au aiku tano hujasikika kabisa 'Ukibwatuka' kama kawaida yako kuelekea katika mechi yenu nao leo saa 1 usiku kwa Mkapa.

Ila akina GENTAMYCINE tunaoujua vyema mpira wa Tanzania na umafia pamoja na janja janja yake, tunajua kuwa tayari Bhahasha za Salamander Tower Posta zimeshawafikia na leo mnaenda kuwa laini kwao kuliko ambavyo uwezo ulivyo kwa sasa.

Tunajua kuwa mmepenyezewa bahasha ili mlegeze mambo yawe mazuri kwao, Ili kumlinda Kocha wao aliyeleta mgawanyiko katika uongozi wao na pia wawatulize mashabiki wao ili waiamini timu yao hasa kuelekea Kucheza na Watunisia, ili tarehe 2 November, 2022 uwanja ujae (ufurike) sana, ili wapige pesa za mwisho mwisho.

Kwani wanajua kuwa safari yao kimataifa inaenda kuishia Jijini Tunis tarehe 9 November, 2022.

Asanteni KMC FC kwa mlichokifanya.
Makolo mmeshindwa kumfunga yanga hao kmc ndo wataweza kweli? Mbona uwa mnajitoa sana ufahamu nyie watu? Izo bahasha yanga kazitembeza kwenye mechi 43 ikiwemo simba kwaiyo waache na kmc wafaidi izo bahasha msubili na nyie za kwenu awamu nyingine tutoleeni njaa zenu
 
Back
Top Bottom