Farhan Kihamu Mchambuzi wa Sports Extra Clouds FM leo mbona Unachambua kwa Hasira baada ya Yanga Kufungwa na Ihefu?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,544
108,865
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC.

Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story.

Sasa kama umeshajua kuwa Kufungwa kwa Yanga SC na Ihefu FC leo siyo Story mbona unaanza kusema Uchovu (Fatigue) ndiyo imewafanya Wafungwe?

Ni mara ngapi Makocha wa Timu zingine kama wa Coastal Union FC, Azam FC, Ruvu Shooting FC na Kagera Sugar FC huwa Wanalalamikia Uchovu na Ratiba ngumu ya Ligi na Wakifungwa hujitokezi Kuwatetea na Kuchambua kwa Hasira (Usununu) kama ulivyofanya kwa Yanga SC iliyofungwa Comfortably and Convincingly na Ihefu FC leo na kuivunjilia mbali Unbeaten Record yao?

Kuanzia leo hii naanza Kukudharau.
 
Ulichelewa sana kumdharau.
Mimi hata sisikilizi siku hizi hivi vipindi maana vimejaa makanjanja sana.

Sijui watu kama akina Dr Leaky,Charles Hilary na wachache kama hawa wamepotelea wapi
 
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC.

Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story.

Sasa kama umeshajua kuwa Kufungwa kwa Yanga SC na Ihefu FC leo siyo Story mbona unaanza kusema Uchovu (Fatigue) ndiyo imewafanya Wafungwe?

Ni mara ngapi Makocha wa Timu zingine kama wa Coastal Union FC, Azam FC, Ruvu Shooting FC na Kagera Sugar FC huwa Wanalalamikia Uchovu na Ratiba ngumu ya Ligi na Wakifungwa hujitokezi Kuwatetea na Kuchambua kwa Hasira (Usununu) kama ulivyofanya kwa Yanga SC iliyofungwa Comfortably and Convincingly na Ihefu FC leo na kuivunjilia mbali Unbeaten Record yao?

Kuanzia leo hii naanza Kukudharau.
Huyo sio mwandishi mbombevu, Yanga kuifunga Ihefu siyo story bali Ihefu kuigonga Yanga ndiyo story.

Waandishi wa habari tuna msemo wetu: " When a dog beat man, is not a story, a man to bite a dog, is a story".

Vv
 
Sasa timu zenu tangu msimu umeanza hazina consistency ata mkisema mnauchovu nani ata waelewa .
Yanga ata tukisema wamefungwa Kwa uchovu mtu anaelewa kwakua Ina mwendelezo wa kufanya vizuri.
 
Dogo mbona Ni Simba lialia huyo? Tena Wala siyo Kama watangazaji wengine wanaofichaficha. Alichokiongea hakina uhusiano na ushabiki wake kabisa.
 
Tatizo wachambuzi wengi ukimtoa ambangile,jemedari na kina oruma na bwana kibwana ni machawa wa gsm ,huwa hawataki kusema ukweli kwa sababu ya bahasha.
 
Watu wengi tunaokusikiliza ukiwa Hewani tulikuwa tunataka tu Kujua Wewe ni Shabiki wa Timu ipi za Kariakoo na hatimaye leo tumekujua kuwa kumbe Wewe ni Yanga SC.

Mnafiki mkubwa Wewe muda wote Unaongea na Kuchambua kwa Hasira huku ukiitetea Yanga SC kwa kusema Kufungwa Kwao siyo Story.

Sasa kama umeshajua kuwa Kufungwa kwa Yanga SC na Ihefu FC leo siyo Story mbona unaanza kusema Uchovu (Fatigue) ndiyo imewafanya Wafungwe?

Ni mara ngapi Makocha wa Timu zingine kama wa Coastal Union FC, Azam FC, Ruvu Shooting FC na Kagera Sugar FC huwa Wanalalamikia Uchovu na Ratiba ngumu ya Ligi na Wakifungwa hujitokezi Kuwatetea na Kuchambua kwa Hasira (Usununu) kama ulivyofanya kwa Yanga SC iliyofungwa Comfortably and Convincingly na Ihefu FC leo na kuivunjilia mbali Unbeaten Record yao?

Kuanzia leo hii naanza Kukudharau.
kufungwa yanga sio ajabu imefungwa france na tunisia
 
Usimsahau Abissay Steven wa EA RADIO & TV ni chawa wa GSM aliyejificha kwenye pindo la uchambuzi.
 
Back
Top Bottom