mbona

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wana Yanga SC wakiongozwa nami tunahoji mbona Skudu Makudubela kaachwa Yanga SC kimya kimya wakati aliletwa nchini kwa Mbwembwe na Kufuru zote?

    Rais wa Yanga SC Hersi nimethibitishiwa kuwa si tu Unanisoma hapa JF, bali pia Unanifolo hivyo nakuomba unijibu upesi.
  2. EDIGAR JO

    JamiiForums Tanzania Mbona kama sielewi wakuu?

    Mimi ni Wakiume bado ni Mwanafunzi wa chuo flani hapa Dar es salaam lakini ni nimepata kapesa kadogo .Nipo na 4.5Million nifanye biashara gani ase maaana sitaki kapotee? 😭😭
  3. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Mbona sijaona kiongoz wa sokohuru akikamatwa maana ni muhamasishaji namba 1 wa LBL

    Moja ya watu ambao ni wa kwanza kuifahamu LBL Kupitia wao ni SOKOHURU Kila kukicha alikuwa anaitangaza viongozi wa mikoani wengi wamekamatwa huyu jamaa mbona hakamatwi?
  4. U

    JamiiForums Tanzania Huyo pichani nani? Mbona kabaki mwenyewe?

    Wadau hamjamboni nyote? Kichwa cha habari chahusika Naombeni utambuzi Huyo nani? Why yuko pekee?
  5. M

    JamiiForums Tanzania DOKEZO KERO Kulikoni mbona Bohari ya Dawa (MSD) mmefunga Duka la Dawa - Mpanda? Tunaomba huduma irejeshwe

    Duka la Dawa la MSD Mpanda Mkoa wa Katavi linalomilikiwa na Bohari ya Dawa (MSD) sasa ni zaidi ya wiki moja limefungwa bila taarifa yoyote kwa Wananchi jambo ambalo imekuwa kero ambayo inasababisha kukosekana kwa dawa ambazo Wananchi tunalazimika kununua kwa bei nafuu. Kukosekana au kufungwa...
  6. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Mbona sijawahi kuona tangazo la Safari Lager au Serengeti Lite kwenye chaneli za Azam?

    Wakuu kwema… Tupo huku tunavuna viazi na wananzengo wenzangu. Hoja ikaibuka, mbona hatujawahi kuona tangazo la kilimanjaro lager, safari lager, serengeti lite na vinywaji vya namna hiyo katika chaneli za Utv, Azam one & two, Azam Sports 1, 2, 3, 4 wala Sinema Zetu. Mdau mwingine akasema yeye...
  7. stabilityman

    JamiiForums Tanzania Nauliza mbona Telegram haifanyi kazi kwangu

    Wakuu, Naomba msaada, kwa nini Telegram haifanyi kazi kwangu? Wenye uelewa tafadhali nisaidieni.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Wenzangu bao tatu mnapigaje? Mbona mimi moja tu nakinai kupita maelezo!

    Au ndo kuumwa kwenyewe?!!!!!! Yaani nikimaliza Kuna hali flani ya kuchafukwa inanitokea mpaka najishangaa nilikuwa nahangaikia nini'?!! Hali ipo hivyo kwa Kila niliyepita nae......kutoka wa kishua haswa Hadi wa uswahilini. Hata yule Mnorway niliyebahatika kule Arusha Hali ilikuwa hivi hivi...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Haya mapenzi ya Trump kwa Israel afanyiwe DNA test yawezekana ni myahudi, Maelfu ya mabomu ya MK-84 yaliyozuiliwa na Biden yamewasili Israel

    Wiki ya kwanza tu baada ya kurejea Ikulu, Rais wa Marekani Donald Trump aliharakisha usafirishaji wa shehena ya mabomu 1,800 aina ya MK-84, kila moja likiwa na uzito wa tani moja, mabomu hayo yamewasili rasmi Israel siku ya Jumamosi, tarehe 15 Februari 2025 kwenye bandari ya Israel. Uamuzi...
  10. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Ni nani ameikalia CHADEMA MEDIA TV mbona inamuhujumu TUNDU LISSU ?

    Toka Jana Mwenyekiti yuko kwenye Harakati zake za kichama. Online TVs zimepigwa Pini, hiii CHADEMA MEDIA mbona Iko nyuma sana ?. Tundu LISSU Kwa Sasa anahitaji kutazamwa LIVE Masaa yote. LISSU TIMUA HAO JAMAA WA CHADEMA MEDIA ,SAJILI VIJANA WAPYA.
  11. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Wardrobe ya Nama mbona wakati mwingine inakosa standards!

    Mimi Jidu ni mnazi wa Mama Samia, ila kwa safari ya Addis Ethiopia, wardrobe imekosa viwango. Wapambe wa mama mkoje lakini? Sare alizovaa mama hapa haziko Diplomatic na utafikiri anaenda kitchen party! Mjue kwamba mama ni kioo cha watanzania wote. Ref Daily News front page.
  12. JOSEPHAT_07

    JamiiForums Tanzania Je, LBL sio Matapeli kama Matapeli wengine?

    Nikampuni ambayo ukiweka pesa kidogo kuna pesa unalipwa mwaka mzima kilasiku. Kuna video ukazaa unatakiwa uzi view. Ila sijaielewa vizuri. Naomba maelezo kwa mwenye kuijua
  13. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mimi mnanisema kwa Ututsi (Unyarwanda) wangu mbona Yeye pia Kwao mi Oman?

    Tena 85% ya Ndugu zake (hasa Kaka zake) wako nchini Oman na wanashangaa kuona tukisema ni Mwenzetu.
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Huu uhuru anaopewa Bilionea Elon Musk na Rais Trump unatokana na nini? Mbona ni kama vile Musk ndiyo Rais wa Marekani?

    Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hii helicopter mpya ya Iran mbona ni kama imeundwa na mtoto wa shule ya msingi kwa kutumia mabox

    Naona wana maono ya uhakika kabisa kuivamia washington na tel aviv na mabox, hongera sanaa kwao.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Oya mbona hii Taarifa ya Max Zengeli anaondoka kuelekea Morocco inafichwa sana kwa Sisi wana Yanga SC wenye Uchungu?

    Kwahiyo wana Yanga SC tumeamua kutumia 'Inshu' ya Chasambi ili Kuificha kwakujua kuwa Sisi Mashabiki ni hohe hahe?
  17. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wanaume mna moto wa peke yenu. Siamini!

    Juzi tu hapa baada ya kupata kazi nikapata na mpenzi. Eti leo tena nimeachwa Hivi ninyi wanaume mtachezea wanawake mpaka lini? Kwani ungesema kama umekuja kwangu bila kuingiza gia ya ndoa si ningekuelewa tu? Najuta kumpa thamani yangu. Nawachukia wanaume kuanzia leo. Mnatesa sana wanawake...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kama USA Urais ni taasisi mbona Trump anajifanyia anavyotaka?

    Mara afukuze wafanyakazi anavyotaka, Mara aajiri anavyotaka, Mara ayafute mashirika anavyotaka, Mara aifute mikataba ya watangulizi wake hovyohovyo, Leo tena ameamuru sarafu flani isitengenezwe tena. Sasa hii imekaaje?!! Kumbe uraisi Raha sana.
  19. Greatest Of All Time

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mtoto mbona kama wa Kilonzo Musyoka?

    Aliewahi kuwa Makamu wa Raisi wa Kenya, Mh.Kalonzo Musyoka amfariji mtoto wa rafiki yake wa muda mrefu, marehemu Daniel Kimanzi! Umegundua nini kwenye hii picha?
  20. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Azim Dewji awajibu wanaomponda Chasambi, adai "mimi mbona nampenda Maxi, je mi ni Yanga?

    Mfadhili wa zamani wa Simba SC, Azim Dewji amesema haoni maana yoyote ya kosa la Ladack Chasambi katika mechi ya Fountain Gate lizue mjadala kwa sababu alishawahi kumtaja mchezaji wa Yanga Maxi Nzengeli kama mchezaji kioo chake. Dewji amesema yeye pia anampenda Maxi Nzengeli na ndiye mchezaji...
Back
Top Bottom