Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
Kila nikimuona kabla ya vikao vya chama alikuwa maneno mengi.
Siku hizi tangu vikao vianze amekuwa bardiii sana.
AU Anahofu ndio bye bye tena kukaa meza kuu ya CHADEMA? Zaidi ya miaka 20 aliokua anakaa?
"Mwanangu Haji Manara na Mdogo wake wa mwisho wa Kike ndiyo wana Simba SC kindakindaki tokea wakiwa Wadogo ndani ya Familia yangu wakiwa wamemfuata Bibi yao Mzaa Baba ambaye alikuwa ni mwana Simba SC hakuna mfano" amesema Mzazi wa Haji Manara Mzee Manara alipohojiwa na EFM Radio mwaka 2022...
Nimekuwa nikisikia wasanii wanasifia sana kufanyia jikoni au varandani. Sasa huko sijui kuna nini ambacho kitandani hakuwezekani. Naomba majobu mliofanyia jikoni
Mbowe anasemwa kwa maneno yote, kutoka kuheshimika kwa wasomi na wasio wasomi, sasa anadharaulika mpaka kwa wanafunzi wa primary school huko
Si muige hata kwa wachaza mpira? Mchaza mpira ikifika pahala akaona kipaji chake ni kama kimeanza kushuka kwa kutumika miaka mingi, hustaafu kucheza na...
Watu hamjui tu ila hili sekeseke la Chadema na Samia tulianza nalo mwaka 2022 mwishoni. Ilikuwa ghafla sana mwenyekiti wetu alibadili "jia" angani.
Aliyosema Lissu leo ni ukweli mtupu. Ndani ya Chadema kulikuwa na vuguvugu sii la kitoto. Mnyika ni shahidi.
Mwenyekiti alikuja na mapendekezo...
Hii timu imetetewa na wazee humu kwamba nayo ni miongoni mwa timu kubwa ulaya kama ilivyo arsenal swali langu kama ac Milan ni timu kubwa mbona haina hata uwanja wake hiki ni kichekesho timu inayoitwa kubwa imeanzishwa 1899 lakini bado inakodi uwanja hapa hamna timu ni wahuni tu wa italia...
Mhe Tundu Lissu akisema mambo ya Kamati kuu kwenye media anaitwa mropokaji,
Mjumbe wa Kamati Mhe Ezekiah Wenje akitoa siri hizo hizo anaoneka shujaa
Siku zote Mbwa akipoteza uwezo wa kunusa jueni kabisa anaelekea kufa.
Kamanda Wenje mbona unazidi kumuanika na kumuharibia kabisa kamanda Mbowe,
Umesema CHADEMA hatuna pesa ni kweli hatuna lakini kwanini hatuna pesa?Jibu wahisani hawamwamini tena Mbowe.
Naomba unijubu maswali haya,
1. Je, mikutano mikuu yote ya misingi zaidi ya 64,274 nchi nzima ni Mbowe...
Mtandao wenu mmeufanya kuwa wa hovyo. Hakuna kutoa pesa iwe benki au kwenu wenyewe. Hamtoi taarifa kuwa kuna changamoto. Mbona mnafanya dunia kuwa ya kizamani sana?
Habarini,
International hit songs za mwisho mwisho nlizosikia toka usa ni rockabye ya clean bandit, cheap thrills ya sia, labda niiweke summer ya Calvin Harris, sorry ya Justin Bieber baada ya hapo ni kimya.
Miaka ya 2008 kuja Hadi 2013 nlikuwa sina smartphone ila ilikuwa ni hit song from hit...
Mitandaoni huyu jamaa ana trend japo hana wadhifa wowote serikalini lakini inaonekana kama ndo mtendaji Mkuu wa serikali, labda cheo chake hakipo dhahiri
1. Rais Mseveni wa Uganda Ali tweet
Ati ametembelewa na ugeni wa Mseveni na wameingia mkataba ya nishati na Tanzania
Sasa Abduli alienda kama...
Mbadilike kazi kuvaa suti mjini na misifa ya hovyo hovyo kujenga kwenu aaah.
Mbona Tukuyu kama Moshi hamuoni wenzenu wachaga. Misifa tu kina Eliudi, na chief Godlove na wengine mnakera mijini. Mapovu ruksaaaaaa!
Salaam
Case study: Tanzania, Hizi ni coache tu, kagera 15, Mikese 18, hapo bado majeruhi watakao kuwa vilema wa maisha, Sina data kamili ila kuanzia mwezi wa 10 mpaka huu wa 12 inawezekana death toll kwenye ajari pekee inafika 50, hapo bado sijazungumzia pale songwe mlima mbalizi nasikia tena...
Hivi hii kazi ukitaka kuifanya lazima uwe chizi kidogo maana naonaga waokota makopo kwa asilimia 100% ni kama wamevurugwa akili zao kama hamnazo je ndio mfumo wenyewe wa hizi mishe au ndio kutingwa na maisha magumu nakaribisha maoni yenu waokota makopo na msio waokota makopo ila hii sio kazi...
Mbowe kutangaza tu kuwa atagombea tayari kuna wanachama mmetangaza kukiacha chama!, hata uvumilivu hamna!.
Kwani wapi amevunja sheria ya kwamba haruhusiwi kutangaza nia yakugombea..?
Hata hivyo si uchaguzi utafanyika akishinda huyo mnaemtaka ndo mtarudi ama!, hebu kaeni mpige kura, ili kura...
Ukiangalia mfumo wa kupata kadi ya mpiga kura na Mfumo wa kupata kitambulusho Cha NIDA ni uleule yaani tofauti zilizipo ni ndogo sana especially kwenye taarifa za Mtu..
Ila NIDA imekuwa Kero kubwa sana mtu kuja kupata Kitambuisho chale.
CBI ilisema katika taarifa kwamba bei ya wastani iliyogunduliwa kwa ununuzi wa dola ya Marekani katika Soko lake jipya la Sarafu la Bei Zilizokubaliwa kwa Pamoja ilikuwa rial 596,470 mwishoni mwa biashara hiyo Jumamosi.
Ilisema kuwa wauzaji bidhaa nje walikuwa wametoa baadhi ya dola milioni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.