Msemaji wa Simba SC, Ahmed Ally, amemjibu Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, kufuatia tuhuma alizozitoa za Simba kubebwa na waamuzi katika Ligi Kuu.
Kupitia ujumbe wake, Ahmed;
Soma: Malalamiko ya Yanga kuhusu refa Kayomba ni ya kijinga
Msemaji wa Yanga SC, Ally Kamwe, alitoa tuhuma kali...
Hifadhi hii ilianzishwa wakati wa awamu ya tano, wanyama wakasafirishwa kutoka maeneo mbalimbali kuelekea Chato kwenye kitovu cha utalii.
Muda umepita, hifadhi hii haisikiki tena. Wadau wanaulizia bado ipo, au wanyama washarudi kwenye sehemu zao za asili?
Kwa kipindi cha mwezi wote wa Kwanza hadi leo kuanza mwezi wa pili kumekuwa na kukatika umeme mara kwa mara katika maeneo ya mji mwema na maeneo mengine ya Mtwara.
TANESCO mnaturudisha sana nyuma sisi ambao ni wajasiriamali tunaotegemea Umeme kujipatia riziki. Kwa siku umeme unaweza kukatika...
Jamani mji wa kahama una lodge na Guests house nyingi Sana...kulikoni ..
Ndo kusema ni mji wa kibiashara Sana kuliko mji wowote Kanda ya Ziwa...
Na madada powa nao hawako nyuma ni wengi wa kutosha ukicheza vibaya umeondoka nao...na hivi Trump anaenda kukomesha mchakato wa Msaada wa ARV kupitia...
Huyu kiongozi wa M23 kwa nini anaongea kiswahili cha Dar es salaam kabisa?
Hiki siyo kiswahili cha Congo. Wacongo kiswahili Chao tunakifahamu vizuri, hiki kiswahili cha huyu jamaa siyo cha wacongoman kabisa.
Bado nahisi tuna shida mahali.
Tanzania 🇹🇿 tuache mambo ya ujirani mwema...
Ni Wasira ndiye alimuondoa Warioba katika ubunge wa Bunda, walipelekana mpaka mahakama ya rufani.
Sijamsikia Warioba akitoa hata pongezi, kulikoni!?
N. B:
Ni Wilaya ya Bunda ambayo imetoa Makamu wa Mwenyekiti CCM Taifa, Waziri Mkuu, nadhani(hata Mwenyekiti wa CCM taifa, Julius Kambarage...
Katika siasa, neno "chawa" hutumiwa kama matusi au dhihaka kumwelezea mtu anayemuunga mkono au kumtetea kiongozi fulani kwa upofu, bila kuuliza maswali au kuzingatia ukweli.
Tujiulize Lissu na Heche hawana machawa?
Jibu wapo wengi
1. Nani anahoji hivi sasa?
2. Hawamsifu Lissu?
3. Hawapogi...
Nyie mliojikuta Miamba ya kutetea wapale-stina kiasi kwamba mlijikuta mpaka mnatukana watu kisa Palestina, lakini sasa shida hii ya vita imetokea kwa majirani zetu wa damu kabisa hapo DRC, lakini mtandaoni mpo kimya kama sio nyie mliokuwa kila siku mnaandika mabango Pray for Gaza, lakini Leo...
Wanakumbi.
Endeleeni tu kuwa msimamo wenu ni "No reform No election" yaani tafsiri yake iko wazi kuwa bila mabadiliko hakuna uchaguzi!.. Sasa mbona mnabadili gia angani tena? Imekuwaje?
Shikilieni hapo hapo muone kitu mtafanywa mwezi Oktoba 2025 !..Wajinga sana ninyi!..
Tukiwaambia huyu mtu...
Unakuta mtu anakushauri oya usioe mpaka ufike 30's yeye wakati ana Zaidi ya 30 hajaoa na maisha magumu vibaya
Wakuu hakuna uhusiano wowte wa mafanikio na ndoa kama utapata mtu Sahihi
Wizara ya elimu imekua inasisitiza kuwa mitihani ya siku hizi inapima uelewa zaidi kuliko kukariri.
Na necta nao wakitoa matokeo watoto wamefaulu na division 1 za hatari kuliko zamani.
Sasa kama hawa watoto wamepimwa uelewa na wamefaulu kwa 1 za 7 na 1 za 3 za kutosha ina maaana wanajua...
Hellow Tanganyika,
Katika wimbo huu Kuna mashairi yasemayo,
"Alipoturejesha tulikuwa waota ndoto, hatukuamini macho yetu*2🎶
"Sio free mason, ni Mungu anetenda"*3🎶
Sio mazingaombwe, ni Yesu amefanya"*5🎶
Ameteeeenda Bwanaaa anetendaaaaaa*6🎶
Siamini, siamini ,Leo amenikumbukaaaaaa*4🎶🎵...
Imekua ni kawaida kwa huyu bwana Mchome kutoa hisia zake hasa baada ya mechi za Simba na Yanga kumalizika na kutoa madhaifu ya timu ya Simba huku akiwa amevaa jezi ya Simba na kujiita kwamba yeye ni mwana Simba
Sasa tulitegemea tufurahi nae shabiki mwenzetu wa Simba baada ya Yanga kutolewa CAF...
🤣🤣😆 kichwa habari chajieleza yaan marafiki ndugu jamaa wananitenga toka niuze kaeneo kangu huko maeneo ya kibaha nimepata laki8 na nusu basi watu wananionea wivu ama kweli pata pesa matako hulia mbwata
Mtaala mpya,
Silabus mpya
No vitabu shuleni
No walimu semina
Wakuu wa shule hawaelewi
Wanafunzi form one wameripoti mashuleni, walimu hawaelewi cha kufanya, mbona kama hamko serious na elimu ya watanzania ?
Kuna haja gani kuanzisha mtaala mpya wakati vitendea Kazi hamjaviandaa, leo ni siku ya...
Nashangaa naona ni siku Moja tu imepita tangu movie itoke lakini naona kimya kabisaaaa. Hata wale haters wa Mama yetu ambao mara tu baada ya bi mdada kutangaza kutoka kwa movie yake walikimbilia mitandaoni fasta ambako walianza kushusha mamia ya viapo kwamba movie ni true kabisa. Aidha, haters...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.