mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Gari mbili zenye usajili wa kufanana

    Gari mbili zikiwa na usajili wa kufanana, T 246 EHV, Hii imekaaje kitaalam?
  2. JamiiForums Tanzania Wema na uovu ni kama pande mbili za sarafu!

    Ikiwa utatangaza nia yako ya kuuangamiza ouvu, tambua ya kuwa hayatakuwa mapambano ya wazi. Mchezo wa ouvu ni wa vita ya kisaikolojia, si vita wa kimwili. Unasema utauangamiza uovu. Uovu hautopinga azimio lako. Badala yake, utakupatia zana na rasilimali nyingi zinazoonekana kutokuwa na mwisho...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa mwanza nauza kabati la chipsi laki mbili tu

  4. K

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kumsikiliza na kumwelewa Polepole wa Sasa tuwarejee Mapolepole wa awamu mbili zilizopita

    Kwa siye waislamu neno "Alhamdulillah ni muhimu sana pale unapotaka kuwa ni mwenye kushukuru Nami niseme Alhamdulillah kwa Mungu wetu kutupatia Polepole huyu wa Sasa anayepigana barabara kwa jasho jingi na haonekani kutetea mkate wake Bali taifa lake na sote tunaona kwa macho ya kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania MSAADA: Fani niliyosomea imegawanyika mara mbili AJIRA PORTAL

    Niende moja kwa moja, Nimesoma Ordinary Diploma in Laboratory science and Technology... Pale kwenye kuchagua kozi kuna Diploma in Laboratory science and technology na pia kuna Diploma in Laboratory technology Changamoto ni kuwa nimechagua Diploma In Science and Laboratory Technology...kazi...
  6. JamiiForums Tanzania GE2025 Unayejaribu kutoa fomu mbili jitazame hatutanii siye

    Fomu ni Moja. Twaenda kuchukua. Taarifa tuliyoipata kuna mjusikenge wajitia umajinuni kutaka kutoa fomu nyingi. Jishaue, jishengendue, siye hatutanii. Shauri Yako. Na bado
  7. JamiiForums Tanzania Hatimaye pikipiki yangu niliyonunua wiki mbili zilizopita imenikanda.

    Asante Mungu kwa nafasi nyingine madhara yangeweza kuwa makubwa kama kupoteza uhai ama kiungo chochote lakini umeamua kunipa majereha ambayo nimeweza kuyahimili na lesson kadhaa juu ya kuendesha pikipiki pia kujiandaa kwa majanga yasiyotabirika. I don't blame anyone kwani kabla ya kununua...
  8. E

    JamiiForums Tanzania Nauza script mbili (2) za movie

    Mimi ni Mwandishi wa Simulizi, kwa sasa ninazo simulizi Mbili za Maisha, ambazo wacheza filam wanaweza kuzitumia kuigiza. Kwa anayehitaji, tuwasiliane Whatsapp 0768615672
  9. D

    JamiiForums Tanzania PBZ wananizingua; Kuna benki yoyote inayotoa mkopo 'online' (katika ESS) ndani ya siku mbili niwakimbie hawa?!!!

    Inakaribia wiki ya tatu Sasa nahangaika na hawa tu bila mafanikio. Mara huyo fsp (financial service provider) ali'reject' na kunitaka niongeze miezi (wakati mfumo umekubali). Nafanya hivyo anareject tena ananitaka nipunguze miezi. Mnyonge Hana kususa, narekebisha na kufanya alichosema hii Sasa...
  10. JamiiForums Tanzania Marekani Kupeleka Nyambizi Mbili Kukabiliana na Urusi

    Rais Donald Trump wa Marekani amesema kwamba ameamuru nyambizi mbili za nyuklia za nchi hiyo zipelekwe kwenye maeneo mawili ya kimkakati kufuatia matamshi aliyoyataja kuwa ya "kijinga na uchochezi" yaliyotolewa na Rais wa zamani wa Urusi, Dmitry Medvedev. Hivi karibuni Medvedev alitishia...
  11. JamiiForums Tanzania Kuna Siri kuu mbili tuu za Kumkojoza Mwanamke

    Ijumaa Kareem! Kumkojoza mwanamke ni jambo rahisi Sana kuliko wanaume wengi wanavyohangaika kila siku kutaka kuwaridhisha wanawake. Kuna Siri kuu mbili tuu kumkojoza mwanamke; 1. Uhuru wa mawasiliano. Mwanamke huwezi kumkojoza kama hujampa Uhuru wa mawasiliano. a) Mwanamke wako lazima umfanye...
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania na Qatar Kuimarisha Ushirikiano kwenye maeneo ya kimkakati

    Tanzania na Qatar kuimarisha ushirikiano katika maeneo ya kimkakati Tanzania na Qatar zinakusudia kuimarisha ushirikiano katika maeneo muhimu, ili kukuza biashara na uwekezaji kwa misingi ya amani, usalama, na maendeleo endelevu ya wananchi wa pande zote mbili. Waziri wa Mambo ya Nje na...
  13. JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu zinazokwamisha Feisal Salum asiende kuchezea Simba

    Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa zinazokwamisha uhamisho huo. Gharama inayotajwa ya bilioni 2 na ushee siyo pesa nyingi kulinganisha na faida...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

    Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni? Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
  15. JamiiForums Tanzania Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  16. JamiiForums Tanzania Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  17. JamiiForums Tanzania Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  18. JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  19. JamiiForums Tanzania Ukisoma threads hizi mbili! Utajua maisha yamechange Sana!!

    Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi? Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc 2; Thread ya pili ilikua 2022...
  20. JamiiForums Tanzania Makamanda 9 wa Hamas waangamizwa katika kipindi cha Wiki mbili tu

    Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…