mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tetesi: Rais Samia kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya

    Kuna tetesi kuwa Rais Samia ataenda kufanya ziara ya siku mbili ya kiserikali nchini Kenya. Pamoja na ziara hiyo, atahutubia Bunge la Kenya! Ngoja tusubiri ziara hiyo kama itafanyika!
  2. Msela Wa Kitaa

    JamiiForums Tanzania Netanyahu Awe Yerobohamu Namba Tatu Ama Ahabu Namba Mbili

    Biblia inamtaja Yerobohamu mwana wa Nebati mara kwa mara kama mfano wa “mfalme aliyefanya dhambi na kuwaongoza Israeli kutenda dhambi” — almost kila mfalme aliyefuata katika ufalme wa kaskazini (Israeli) alilinganishwa naye vibaya. Ahabu (Mume wa Yezebeli) – 1 Wafalme 16:30-33 Ahabu ni mzito...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12 Mkutano wa 19 Kikao cha 45 Juni 12, 2025 Dodoma

    Leo Juni 12, 2025 Waziri wa Fedha Dr. Mwigulu Nchemba atawasilisha Bajeti Kuu ya Serikali 2025/2026, nini vitakuwa vipaombele vya serikari? Matarajio ya Wanachi, Taasisi na Asasi za Kiraia yatafikiwa? Kabla ya kuwasilisha hotuba hiyo, Bunge linapitisha hali ya uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024 na...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa Kikao Cha 42. 09 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=b-yeX29iuJg
  5. Bpk

    JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya izi mbili apa chini

  6. Bpk

    JamiiForums Tanzania Ipi ramani nzuri kati ya hizi mbili hapa chini?

  7. Bodhichitta

    JamiiForums Tanzania Kama una mahusiano na mwanamke aliyeajiriwa (iwe sekta binafsi au serikalini) na una nia ya kumuoa, tafadhali tafakari mara mbili

    aslaam, Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi. Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
  8. sanalii

    JamiiForums Tanzania Nadharia mbili alizozi "prove wrong" Samia

    1. Uongozi wa nchi wa waislam huwa na utulivu na upole, kabla ya Samia, tuliaminishwa kua akikaa kiongozi muislam nchi inakua tulivu na upole. Kumbe ni uongo bwana. 2. Tanzania ni kisiwa cha amani. Kwakweli the island of peace has Submaged, and dwellers are fighting for thier lives. Sasa...
  9. kavulata

    JamiiForums Tanzania Kazi kuu za dini ni mbili tu, kusifu na kuabudu

    Waliotuletea dini zetu hizi mbili waliambatana na wakoloni kwenye mapito yao. Waliabu na kuimba kwa furaha pamoja na wakoloni. Sisi wageni tulifundishwa kusema na kuamini kuwa tuheshimu mamlaka maana mamlaka zinatoka kwa Mungu. Yaani hata mamlaka za wakoloni wetu pia zilitoka kwa Mungu hivyo...
  10. W

    JamiiForums Tanzania Watu wanaongelea pesa za kichawi bila uthibitisho, Kama ni kweli zinapoingia kwenye account anaetuma ni nani ?

    Naweza kuamini pesa inaweza kupatikana kwa njia nyeusi na hatarishi kama ujambbazi lakini si nguvu za giza. Yani utoke tu huko kwa mganga uzikute zimedondoka chumbani kama furushi la magimbi, hizi bi hadithi za sungura na fisi. Kama ni muamala benki zinarekodi kila kitu, jina huwa ni la nani ...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La 12: Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti ya mwaka wa fedha 2025/26 Bungeni kupitia waziri Deogratius Ndejembi

    https://www.youtube.com/watch?v=UfR2sHGnbYE Bunge la 12 linaendelea na vikao vyake ambapo Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi inawasilisha bajeti yake kwa mwaka wa fedha 2025/26. Bajeti hiyo inawasilishwa Bungeni na Waziri wa wizara hiyo, Deogratius Ndejembi, ikilenga kuainisha...
  12. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ya CAFCC ikiwa ugenini

    Tusihadaike kwa maneno ya wanasiasa na vipichapicha vya hapa na pale, ukweli ni kwamba Simba imecheza mechi zake zote mbili za fainali ikiwa ugenini. Simba imefanyiwa umafia mkubwa sana katika fainali hii kuanzia nje ya uwanja na hadi leo uwanjani kwa upande wa uamuzi. Hili jambo...
  13. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  14. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, umewahi Kutongoza au kuishi kimwili na mwanamke mwenye JINSIA MBILI?

    Habari zenu wana MMU Nyie mlio wahi kuishi na mwanamke mwenye JINSIA MBILI (huntha) yaani ya kike na ya kiume kwa pamoja. Njoeni mtupe uzoefu.
  15. mageta mageta

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Decor shelves 100% mpyaa feet 10x10 (mbili)

    Decor shelve kubwa sana feet 10 kwa 10 mbili zinauza mahali Mwanza, nyasaka 999,000/= free delivery kwa Mwanza mjini
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mbona kama nachanganyikiwa..! Risasi alizopigwa Lissu zinauhusika na pande zote mbili? Kwanini wanachadema wanaamua kukimbia chama bila sababu?

    Wanusa upepo wa CCM na Chadema hasa wanaokula sahani moja kwenye hizi siasa za kinafiki, wamegundua kuwa, Ni dhahili Chadema inaenda kushika dola Wakati huu, nilitarajia Chadema iwe moja, ishikamane kwa hali zote Kwa sababu, wakati wa Chadema kuchukua nchi ni sasa, na hii ingefanya Chadema...
  17. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba bahati huja mara mbili?

    Sasa! Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa? Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet...
  18. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Yale mabehewa ya SGR ya ngazi mbili yapo wapi? au tulishapigwa na kula hasara?

    Kwa wapenzi wa kupanga train ya mwendo kasi, kuna mabehewa fulani tulitunua kwa kodi za wananchi, tukatumia garama kubwa kusafirisha toka korea hadi hapa, ila sijaona yakitumika. Zipo fununu kwamba hayakuwa compatible, tunataka kujua why not compatible? yapo wapi? mazima au walituletea...
  19. SuperEnthusiasis

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nataka kufungua ofisi ya kuuza vifaa vya simu yaani phone accessories

    Poleni na majukumu wakuu. Macho yangu na akili sasa yanatazama hapa, nilikuja kuomba ushauri humu kuhusu biashara stationery na nilipata muongozo mzuri na sasa naendelea nayo vizuri ingawa bado sijawa na vifaa vyote muhimu. Leo hii naleta kwenu suala hili muweze kunisaidia, ninataka kufungua...
  20. Room 28

    JamiiForums Tanzania Nataka kila siku niwe nalaza laki mbili -200k

    Wakuu nimeona hii ishu inawezekana nikikaza…. Nataka kila siku niwe nalaza laki 2 nifanye ishu ipi? Au niwe natabia zipi zinazoendana na kiwango hicho cha return
Back
Top Bottom