Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuwa Tanzania inakabiliwa na changamoto ya upungufu wa rasilimali fedha kutokana na mauaji aliyoyasababisha .
Hii maana yake ni kwamba Taifa lijiandae kupitia magumu plus kwa sababu ya unjinga wa kikundi cha watu wachache kushindwa kufanya maamuzi yenye busara ...
1. Jaji aliyesimamisha shughuli za Chadema kwa uonevu kabisa, eti Zanzibar haijapata mgao wake. Chadema ya Tunduma inahusikaje na yanayotokea Zazibar katika kunadi sera za Chadema Tunduma Mwenyekiti wa Kata ya Tunduma!!!!
Lazima watu wawe agitated.
Unaona kabisa kuwa huyu ni CCM damu damu...
Katika numerolojia maisha na matukio yake yanaweza kupunguzwa na kuonesha nguvu yake katika namba.
Angalia hii: Tarehe 29/10/2025=2+9+1+0+2+0+2+5
=11+1+4+5
=12+9...
Ni vigumu sana kuua maelfu ya watu pasipo na sababu, hususan kwenye zama hizi, halafu utegemee dunia ikae kimya.
Sasa hivi dunia imeingiliana sana. Litokealo sehemu moja basi jua kuwa litawagusa tu na wengine waliopo sehemu zingine.
Ukweli ni kwamba Tanzania kwa sasa haina vyombo vya habari...
Wakuu
Naona sasa wamiliki wa maeneo na biahsra zilizoharibiwa siku za maandamano wanaanza kujitokeza.
===
Mwekezaji na mfanyabiashara wa Kitanzania wa kampuni ya The Voice ameiomba serikali kuwasaidia baada ya klabu yao iliyopo Kinyerezi, jijini Dar es Salaam, kuharibiwa na kile alichokiita...
Askofu Josephat Gwajima, ambaye pia ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM (NEC), anatarajiwa kuzungumza leo saa 2:00 usiku. Ameahidi kutoa kauli muhimu kwa taifa na kwa viongozi wake. Gwajima, ambaye amekuwa kimya kwa muda mrefu, sasa anatarajiwa kueleza jambo zito Watanzania wanasubiri kwa hamu...
Maandamano hayo yalioyotokea katika miji mikubwa ya italia yenye wito wa kuupinga uhusiano wa kifedha, kisiasa na kijeshi kati ya Italia na Israel, na kuhakikisha misaada ya kibinadamu inaingia Gaza bila vizuizi.
*******
Hauitaji kuwa na upande kwenye kukemea maovu moyo wa utu haujafungwa...
Wakuu,
Kiufupi ukifatilia wimbi la "simu za mkopo" hususan kutoka makampuni makubwa ya mawasiliano ya simu za mikononi utagundua mteja akimaliza mkopo basi kalipia karibu simu mbili za cash. Mteja anakopa Samsung Galaxy A15 (kwa cash ni Tshs 450K) tuseme kwa mwaka. Kila siku anakatwa Tshs 2200...
Kuna nyakati mbili mwanamke akipitia basi mwanaume unatakiwa uwe mpole sana na ujue kujali sana
Yani hapa ile haiba ya mamlaka na ushapavu wa kiume unaupunguza kidogo ili uende sambamba na nyakati hizo
Sehemu ya kwanza ni pale mwanamke anapokuwa mjamzito,huwa anapitia mabadiliko makubwa ya...
Kama kawaida Yanga tunaenda mchukua mwali wetu tujimwaye mwaye naye msimu huu wote. Leo ndo tunakabidhiwa mwali.
Naweka hili bandiko hapa. Simba ikitokea leo ikamfunga Yanga niwe banned kwa wiki 2 mfululizo. Najua kuna watu wanaweza jiua kwa kukosa nyuzi zangu za kuelimisha hapa jukwaani...
Huwa anapiga vijembe halafu kichwa chake hakina kumbukumbu. Ni kama sometimes.... Unaelewa eeeeh? Basi ndo hivyo sometimes unamwona anaongea na kujipinga mwenyewe ni kama haiielewi.
Kuna video moja a Ambulance ikiwa imezuiwa isiingilie msafara imetrend sana mtandaoni.
Ile ambulance 🚑 kila mtu anasema lake, mwingine ina mgonjwa na mwingine haina mgonjwa.
Ila mwishoni tukaona inaondoka kama imefukuzwa ma king'ora juu.
Ni juzi tu hapo, wkt mgombea urais kwa tiketi ya ccm...
Kuna kajamaa hapa kamegeuka kanabii kabuzwagi. Stori zake za kuungaunga zisizo na mbele wala nyuma. Kameacha ushauri wa ndoa na mapenzi kameingia anga za juu. Robert Heriel Mtibeli na genge lako britanicca TumainiEl MALCOM LUMUMBA mmeshikwa pabaya. Usije jishaulisha zimebaki siku mbili uende...
Wakuu,
Uchawa unaendelea
Silinde akiwa Tunduma leo katika kampeni pamoja na Rais Samia amesema kuwa endapo Samia hatopata ushindi wa asilimia 95, basi yupo tayari kuchapwa fimbo mbili na Samia mwenyewe.
Huyu si ajabu ni baba na ana familia yake.
1. Kuibia wananchi uku UKIWA unalindwa na serikali.
Mfano kununua ges kwa 2000, kuja kuuza 55000 mpaka 60,000, uku serikali ikiipiga vita matumizi mikaa na kuni zilizotumiwa baba,Babu zako kwa kuleta kampeni ya matumizi ya nisshati safi, uku mitungi ikisambazwa bule kwa bibi na mamako...
Technology Ina move haraka sana, kwahiyo na baadhi ya services za serikali zinafata mkondo.
Kuna njia mbili za kupata Leseni ya biashara as of today;
1. Kwenye halmashauri
Unaweza kwenda halmashauri wewe mwenyewe ukaomba leseni.
Disadvantage ni kukaa kwenye foleni, au kusimama muda mrefu bila...
Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari)
Karibu sana ndugu yangu Mtanzania! Kama tour guide mwenye miaka mingi ya uzoefu, napenda nikushirikishe itinerary ya safari ya siku mbili Serengeti. Safari hii ni budget friendly camping safari, lakini bado inakupa...
Kocha wa zamani wa Manchester United, Erik ten Hag, amehitimisha muda wake katika klabu ya Bayer Leverkusen baada ya mechi mbili tu za Bundesliga, ambapo klabu ya mabingwa wa zamani wa Ujerumani imeripotiwa kumalizana na kocha huyo Mholanzi baada ya kushindwa kwa kushangaza dhidi ya Werder...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.