mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Sababu kuu tatu zinazokwamisha Feisal Salum asiende kuchezea Simba

    Mijadala mingi inayohusiana na uhamisho wa Feisal Salum kutoka Azam kwenda Simba imejikita kwenye gharama za uhamisho huo ila ukweli ni kuwa kuna sababu tatu kuu zingine tofauti kabisa zinazokwamisha uhamisho huo. Gharama inayotajwa ya bilioni 2 na ushee siyo pesa nyingi kulinganisha na faida...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

    Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni? Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
  3. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ulaya ina chaguzi 2; Ijifunze kutoka kwa Israeli jinsi ya kushinda terror ya itikadi kali au kupoteza muuda kuilaan Israeli huku wakiwa terrorized

    Hivi karibuni ulaya itasambaratika na kuwa eneo jipya la mapigano ya kivita, ulaya haifahamu kuwa Israel ambayo imekuwa ni uzio kwao wa kuwazuia itikadi kali na magaidi ambao ndio wapangaji wa machafuko ya dunia Leo hii ulaya inajifanya kuwa "politicall correct" kwa kuwapa fursa na nafasi...
  4. GanaJr

    JamiiForums Tanzania Naombeni tofauti ya hizi kozi mbili

    Wakuu natanguliza shukrani kwenu. Naombeni mnipe tofauti ya hizi KOZI mbili ambazo ni 1.Barchelor of arts in community development 2.Barchelor of community development Hizi KOZI mbili zinatolewa kwenye vyuo viwili tofauti moja chuo cha ardhi na nyingine ni SUA. Naombeni mnisaidie utofauti...
  5. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Polepole akifanya press conference leo nipigwe ban ya siku mbili

    Za ndani ndani kabisa kutoka central huko kwenye mfumo Amri imetoka kutoka juu mpaka kwa wakuu wote wa ulinzi kuwa ni marufuku polepole kufanya conference na waandishi wa habari. Hata dada yake kuchukuliwa ni threat ili jamaa akaushe. Nimemaliza nazima data Hata
  6. Yoda

    JamiiForums Tanzania Kwa nini kesi ya Lissu inahairishwa kwa wiki mbili mbili tu?

    Kwa nini hii kesi ya Lissu kila ikihairishwa inakuwa muda wa baada ya wiki mbili na sio wiki moja, wiki tatu, mwezi, siku 3 n.k?
  7. Quavohucho

    JamiiForums Tanzania Ukisoma threads hizi mbili! Utajua maisha yamechange Sana!!

    Zote mbili Ni kushare sex fantasy! Thread 1:ya Kwanza iliandikwa 2014, Je, Fantasy yako katika mapenzi ni ipi? Replies zake zipo clean kabsa fantasy nyingi Ni normal sex Mf; sex na other race, kupata mwenza wa maisha etc 2; Thread ya pili ilikua 2022...
  8. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Makamanda 9 wa Hamas waangamizwa katika kipindi cha Wiki mbili tu

    Makamanda hawa wa Hamas kwa sasa ha tuko nao baada ya kuangamizwa na majeshi hodari ya Israel
  9. Knock life

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo vijijini mtu anaweza kuuliwa kwa kuiba laptop ya laki mbili !?

    Nimeshangaa kusikia wananchi wanamuua MTU kwa kosa la kuiba lap top ya lakimbili . Na najiuliza hawa jamaa ni kweli hawana akili .Ila hata kufikiria hawawezi?.
  10. S

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa binadamu umegeuzwa na unafanya kazi kwa kanuni kuu mbili tu (High na low), ukijua kuzitumia unatoboa

    Tangu misingi ya ulimwengu kanuni ya kuishi Ulimwenguni haijawahi kubadilika! Ukitaka kufanikiwa lazima kwanza utambue matumizi sahihi ya kanuni kuu 2 za ulimwengu (High na low) Mifumo yote iliyopo ulimwenguni ni lazima iongozwe na kanuni hizo kuu ili kuleta matokeo! UBONGO WA BINADAMU Kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge La Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 53, 25 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=g6ObfpEE4Ck&pp=0gcJCdAJAYcqIYzv
  12. Frustration

    JamiiForums Tanzania Nahitaji PC used bajeti ni laki mbili tu

    Nipo Songea nahitaji pc yenye kuanzia 5th generation na core 5, bajeti ni kilo 2. Lakini pia napokea ushauri wenu. Nahitaji kwa kazi ya software za simu tu especially 4 bypassing services and works Meseji tu 0759189534
  13. Uhuru24

    JamiiForums Tanzania Vita ina hasara pande zote mbili

    Tuliongopewa sana na wayahudi kutoka Msomela, Kazulamimba, mto wa mbu kwa taifa teule haliwezi kupigwa. Naona mambo yamekuja muda muafaka ambao kila mmoja wetu alijaliwa uhai amejionea mwanaume mmoja kuchakaza kichaka kinasomwe, kinachoimbwa kwamba hakiwezi kupigwa kwakuwa wao taifa teule...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la 12, Mkutano wa 19, Kikao cha 51, 23 Juni 2025

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 23, 2025 pamoja na mambo mengine Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa atawasilisha taarifa ya Hali ya Dawa za Kulevya ya Mwaka 2024. Wabunge, wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka wa...
  15. W

    JamiiForums Tanzania Sikuweza kuoa mwarabu kwa sababu ndoa zetu za kiafrika ni muunganiko wa familia mbili, sio peke yenu

    Niliwahi kuwa na mpenzi wa kiarabu miaka ya 2014. Tulikutana kwenye ndege nikiwa naelekea KIA kutokea Airport ya Nyerere. Nilipokuwa nimefika airport nasubiri ndege nikaenda walipokaa wenzangu tunaosubiri ndege ya kwenda KIA, enzi huzo ni fastjet. Mwarabu nilimuona akiwa na simu yake lakini...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Zungu: Wanaotukana waache watukane, tuna Kiongozi Nusu Mtu Nusu Chuma (Bungeni leo Juni 20, 2025)

    Wakati mkutano wa 19 wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ukiendelea jijini Dodoma, leo Juni 20, 2025 pamoja na mambo mengine wabunge wataendelea kuchangia bajeti kuu ya Serikali kwa mwaka 2025/2026. Wakati huo huo, wabunge watatoa michango kuhusu Hali ya Uchumi wa Taifa kwa mwaka 2024...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Bunge la Kumi Na Mbili, Mkutano Wa Kumi Na Tisa, Kikao Cha 48, 18 Juni 2025

    https://www.youtube.com/watch?v=U14SZR1OTYg&pp=ygUFYnVuZ2XSBwkJ3gkBhyohjO8%3D Serikali imesema itaendelea kuwalea na kuwapatia matunzo wazee wasiojiweza ambao hawana familia na ndugu wa kuwatunza kupitia makazi ya wazee na wasiojiweza 13 inayoyamiliki. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa...
  18. Erick_Blocks_Machine

    JamiiForums Tanzania KARIBU NIKUUZIE MASHINE YA UMEME YA KUFYATULIA TOFALI.

    (VIBRATED BLOCK MACHINE) 🔹️TOFALI MBILI (1) 🔹️NGUVU YA MOTA 3HP 🔹️TOFALI 2000+ KWA MASAA NA 🔹️BEI 2,500,000/= TUNAPATIKANA MWENGE DAR ES SALAAM OPPOSITE NA SUMA JKT.
  19. R

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu kuwa na ndimi mbili si sawa, ni ishara ya kukosa uelekeo na msimamo

    Hellow! Mlituambia kuwa Nchi itaendelea kukopa kwa maendeleo ya taifa, Mkaemdelea kusema, tunakopa kwa sababu tunakopesheka. Akaibuka spika wa bunge na kuonya ukopaji wa spidi kuwa una madhara, akanangwa na kusemwa vilivyo na kupewa mipasho na kuambiwa tupishe. Leo kiongozi yule yule anarudi...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Muujiza wa Kiti 11A: Walionusurika Ajali Mbaya za Ndege Miongo Mbili Tofauti

    Katika tukio la kushangaza linalovuka miaka na kizazi, kiti cha ndege nambari 11A kimekuwa gumzo duniani kutokana na miujiza miwili ya walionusurika ajali mbaya za ndege. Mnamo mwaka 1998, mwimbaji maarufu wa Thailand, Ruangsak Loychusak, alinusurika ajali ya ndege iliyotikisa taifa hilo —...
Back
Top Bottom