mbili

Mbili (Bambili) and Mbui (Bambui) are dialects of a Grassfields Bantu language spoken in Cameroon.

View More On Wikipedia.org
  1. Nchi mbili zikipigana vita na mmoja akashinda, aliyeshinda ana haki gani na wajibu gani? Aliyeshindwa ana haki zozote na wajibu wowote?

    Kama vita ya pili ya dunia. Ujerumani na washirika wake walishindwa na majeshi ya muungano. Aliyeshinda vita kwa mujibu wa sheria za kimataifa ana haki gani na wajibu gani juu ya aliyemshinda? Aliyeshindwa naye ana haki na wajibu gani?
  2. Kila Siku tunamsifia Kipa Djigui Diara kuwa ana Footwork nzuri Jana mbona hakuitumia ili zile Gongo Mbili zisiingie Nyavuni mwake?

    Hakika Ivorry Coast wamenipa Furaha Kubwa jana kwa Kutinga Kibabe Semi Final ya AFCON kwa Kuwatoa / Kuwafurumusha rasmi Mashindanoni Timu ya Taifa ya Mali yenye Mchezaji Mmoja kutoka Klabu Moja NISIYOIPENDA Tanzania. Haupendi UTANI achana na huu Uzi!
  3. M

    Kama baada ya wiki mbili umeme utatengemaa. Hao wawekezaji wa nje wa nini?

    “Tunaendelea kuwaomba ifikapo Februari 16 tutakuwa tumekamilisha majaribio kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere na hivyo tunategemea megawati za mwanzo 215 tutaanza kuzipata [...] Tunaomba mwendelee kutuvumilia ili tuweze kukamilisha zoezi hili na hivyo kuwahakikishia mnapata umeme wa uhakika.” –...
  4. E

    Haya ndiyo mambo matatu ambayo pande zote mbili zinazovutana hazitaki ukweli ujulikane. Je, ni kwanini?

    Huwezi ona pande yoyote inaweka nguvu kubwa kupata suluhisho la haya mambo zaidi ya porojo za ku hadaa watu. 1. Ukweli wa umiliki kiwanja na nyumba kati ya GSM na Makonda . 2. Ukweli kuhusu kupotea Ben saanane na kushambuliwa Tundu lissu , si CCM wala CHADEMA ambae anatumia nguvu kubwa...
  5. Fensi ipi nzuri ya kupanda yenye ulinzi mathubuti na inayorefuka hadi mita mbili?

    Wakuu nisaidieni nijue fensi nzuri.
  6. Ndimi mbili za Makonda hizi hapa. Mdahalo alioulilia wamtokea puani , aweka mpira kwapani

    Hebu jionee mwenyewe Mdahalo nao aukimbia
  7. Tanzania tuna aina mbili za umaskini hizi hapa

    Afrika kwa mfano Tanzania tuna 1. Umasikini wa mawazo/ fikra na 2. Umasikini wa kifedha. Manake Inabid tupambane na two types za umaskini at the same time. Mapambano yanakua makali tuna pambana na umaskin WA mawazo/ fikra kwa kiwango kidogo sana halafu tunapambana na umasikini wa kifedha. Kwa...
  8. Kambi za kivita mbili za kundi la Houthi zapigwa makombora na kusambaratishwa

    Ndege za jeshi la anga la Uingereza (RAF) zalipua kambi za kijeshi za kundi la Houthi, nchini Yemen. Kambi mbili tofauti zinaonekana kwenye video, zikilipuliwa na makombora ya kivita kutokea angani. Kundi la Houthi limeleta shida katika Bahari ya Sham kupelekea usafirishaji kukwama. Marekani...
  9. Israel wana mizinga yenye uwezo wa kuifuta Gaza kwa dakika mbili tu

    Ifahamike Israel imekua ikitengeneza na kuuza mizinga ya kisasa yenye uwezo wa maangamizi makubwa sana na pia uwezo wa kusafiri masafa marefu ikiwemo ICBM. Sasa hapo Gaza wamekumbwa na changamoto ambayo haijawahi kutokea duniani, inapigana na adui aliyejificha nyuma ya watoto na akina mama...
  10. Nawezaje kufanya back up ya mafaili yangu ikiwa nina sehemu za storage mbili kwenye laptop ?

    kupoteza data huwa ni hasara kubwa, ni heri upoteze au uibiwe laptop ama simu lakini uwe na backup Laptop yangu ina storage mbili A. 128 GB SSD - Hii nimeweka window, programs na documents, ina speed kubwa sana kuzidi hdd unapowasha pc, kuperuzi mafaili, kucopy files, kusoma mafaili, n.k. B...
  11. Kupanda kwa nauli mara mbili 2023 ilipaswa kumng'oa waziri anayehusika

    1. 2023 nauli zilipanda mara mbili hii ilitakiwa kung'oka na waziri wa uchukuzi. Nauli zilisetiwa na LATRA kuwanufaisha wenye daladala na Mabus. Kwanini mafuta yakishuka Bei nauli hazishuki Bei? 2. 2023 Ajira za walimu zilitangazwa Tanzania mkoa wa Dar hakuajiriwa mwalimu hâta 1 tamisemi...
  12. Nchi moja serikali mbili: Unafahamu kuwa bado China ipo kwenye vita vya wenyewe kwa wenyewe?

    Chukua hii kwa ufupi: Nchi ya China inayopatikana mashariki ya mbali ya bara la Asia. Hii ni nchi moja yenye serikali mbili zilizo katika mgogoro wa vita vya wenyewe kwa wenyewe ambavyo havijatamatika toka 1949 mpaka sasa. Katika nchi ya China kuna serikali mbili zinazo ng'ang'ania mamlaka ya...
  13. Chimbo gani kuna AC na unaweza pata kinywaji, lunch yako na kufanya kazi zako mbili tatu?

    Salaaaam wanajamvi Natafuta chimbo la kuweza kupata upepo mwanana wa kiyiyozi (AC) hili joto la mjini SALIDARAMA balaaaaaaa feni haifui Dafu hata sekunde chimbo liwe reasonable unazuga zuga pale huko unapiga kazi zako...JUICE /LUNCH
  14. Kama hawa wasiozidi milioni mbili wametupelekesha watu milioni 60 uwanja wa Amani, wakipata uhuru kamilii tutawaweza?

    Tanganyika ni kubwa mara elfu kwao, lakini pale Amani leo tumekwama. Je, hawa jamaa wakiwa na uhuru wa kiuchumi, kisiasa na kijamii tutawakamata kweli? Nadhani ndio maana tunaogopa kuwaachia waende, watatutawala kama walivyotawala Dsm kibiashara.
  15. Mikoa midogo kieneo ni Dar na Kilimanjaro/Moshi

    Mkoa midogo sana kieneo ni Kilimanjaro naa Dar. Ki eneo Wilaya ya Misungwi+Ilemela = Kilimanjaro MZIMA. Ki eneo Mwanza ni Sawa na Dar 27 kwa pamoja. Yaani ukiunganisha eneo la Dar Mara 27 ndo unapata Mwanza moja. Dar 70= Rukwa 1. Dar 75= Tabora moja
  16. Ng'ombe mwenye thamani ya IST

    Nilikuwa sijui kama kuna ng'ombe mwenye thamani inayozidi milioni tano. Lakini hii clip imenifungua macho! Ng'ombe wa maziwa anauzwa Tsh 12,000,000/= Milioni kumi na mbili si bei ya IST used? Ufugaji wa ng'ombe wa maziwa unalipa!
  17. Tupigeni story mbili tatu🤗🤗

    Signed Out
  18. Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
  19. L

    Ziara ya Rais wa China nchini Marekani yaongeza utulivu katika uhusiano wa nchi hizo mbili

    Mwezi uliopita, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara rasmi nchini Marekani, ambako pia alihudhuria mkutano wa Ushirikiano wa Kiuchumi wa Asia na Pasifiki (APEC) uliofanyika mjini San Fransisco. Katika ziara hiyo, rais Xi alikutana na mwenyeji wake, rais Joe Biden wa Marekani, na kufanya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…