mbeya

  1. canular

    Nguara (Ngualla) Rare Earth Project inapatikana karibu na Kijiji cha Ngwala, umbali wa takriban 147 km kutoka mji wa Mbeya, kusini mwa Tanzania,

    Wanganyika wanauliwa kwa haya mengi Ugunduzi na Uchunguzi wa Awali • Mradi wa madini adimu wa Ngualla uligunduliwa na Peak Resources mwezi Agosti 2010. • Uchimbaji wa awali wa visima na tafiti za kubainisha rasilimali ulifanywa na SRK Consulting, SGS, na wataalam wengine wa kijiolojia...
  2. M

    Maandamano tarehe 09/12 Nguvu kubwa tuwekeze Dar, Dodoma, Mbeya, Mwanza na Arusha

    Wazalendo, Ukombozi wa nchi yetu unakaribia. Tulichokifanya tarehe 29/10/2025 hawatakuja kukisahau. Tulifanikiwa kuuzuia uchaguzi. Ilikuwa muhimu vijana kuwepo kila sehemu ili kuuzuia uchaguzi. Sasa tunahitaji kuchukua nchi. Inatakiwa nguvu kazi kubwa iwe maeneo muhimu na yenye impact kubwa...
  3. Carlos The Jackal

    Tazameni hii Video wakuu: Gen Z Mbeya wanasherekea kumzika mwenzao , kwa Afrika Waasi ni Wazalendo waloamua pigania Haki zao

    Najaribu tu kuwazà, Kwa Hawa Vijana wenye Mzuka, wanaofurahia kuzika mwenzao, hawatishiki Tena na Kifo. Ongezea Silaha za Akina Abdul wanazonunua kwa Magendo . Daah wasengee wa CCM wameamua kulipasua Taifa Kwa Gharama ya Damu !!.
  4. DuaZaMama

    GE2025 Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limepokea magari mapya aina ya Robur Armored TLC300 kama mgao kutoka kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini. Akizungumza mara baada ya kupokea magari hayo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi Benjamin Kuzaga amemshukuru Mkuu wa Jeshi...
  5. Vedasto Prosper

    Mbeya: Watu wa Igurusi na Chimala msitoke nje Usiku, Simba wamekata kamba na kuruka kutoka kwenye gari

    Kuna simba wanne wameruka kutoka kwenye gari maeneo ya Chimala darajani ukitokea Igurusi.. Ukitoka Igawa ukiingia chini Hospitali karuka mmoja, Darajani karuka mmoja. So usiku kuweni makini na Chimala. Kati ya simba wanne kapatikana mmoja kapigwa risasi ya Mguu ya ganzi na TANAPA wamemkamata...
  6. comrade_kipepe

    GE2025 Video: Inadaiwa baadhi ya Wananchi wa Mbeya leo wakipokea posho ili wakajaze mkutano

    Hayo mambo kwakweli ni ya aibu, huwezi kulazimisha watu wakupende. Mbeya hiyo leo inadaiwa wakiwa wanapokea hela ndo wakajaze mkutano. Kila mtu Elfu 10. Hizo ni hela za walipa kodi,Samia anachota analipia nyomi ili atengeneze picha ya kwamba anakubalika. Alafu wananchi ndo wanaongezewa makodi...
  7. Mkalukungone Mwamba

    Mbeya: Mwanachi ambana maswali magumu Polisi, "unataka tuishi kwa haki lakini haki iko wapi? Sikia majibu ya Polisi sasa!

    Moja ya mwananchi kutoka Rungwe mkoa wa Mbeya katika mkutano wa wananchi alipata kuuliza maswali kwa moja ya Askari polisi aliyekuwepo hapo Na moja ya hoja zake nikutaka kupata majibu wanahimiza kuishi kwa haki na kufuta misingi ya nchi lakini mbona haki hakuna.
  8. Waufukweni

    Waamuzi mechi za JKT vs Azam na Mbeya City vs Yanga wafungiwa. Bacca wa Yanga afungiwa michezo mitano

    Waamuzi wa mechi za Ligi Kuu na mchezaji mmoja wamefungiwa kutokana na utendaji mbaya katika michezo iliyopita. Kikao cha kamati ya saa 72 kilichokaliwa jana kimeamuru adhabu kwa waamuzi waliochezesha mechi ya JKT Tanzania dhidi ya Azam FC na mechi ya Mbeya City dhidi ya Yanga SC. Ibrahim...
  9. Waufukweni

    Askofu Mwagala: Padri Jordan Kibiki alikutwa Mbeya akiwa na depression

    Vincent Cosmas Mwagala, Askofu wa Jimbo Katoliki la Mafinga anaongea muda huu na waandishi wa habari kuhusu sakata la kupotea kwa Padri na kuonekana tena Mbeya.
  10. Traxtion

    Jiji la Mbeya: Hapa Wabongo tumechemka

    Tanzania miji yote ina ujenzi holela tu ila kwenye jiji la Mbeya tumechemka 😂😂😂 Actually sitaki kuonesha picha za ujenzi holela hapa Mbeya lakini ukiingia Google, search tu "Mbeya" halafu nenda kwenye images, utakachokiona ndio Mbeya iko hivyohivyo Hili suala linaniuma mno, kwa sababu hapa...
  11. tonicimmobility

    GE2025 Mbeya: CCM imekusanya wanafunzi wa shule ya msingi ili wajaze kumbi za kampeni

    Kwa hali tulipofika sasa hivi tunaenda kulibomoa taifa letu kuanzia taifa la leo hadi taifa la kesho, CCM haiona ajabu tena kuwabeba watoto wa shule ya msingi ili waje kwenye mikutano yao ya kampeni ili mradi tu mahali paonekane pamejaa watu. Nchi wamejimilikisha, bado hofu inawatanda, wakati...
  12. The Watchman

    GE2025 Jeshi la Polisi Mbeya limewakamata makada sita wa CHADEMA kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali

    TAARIFA KWA UMMA WAFUASI WA CHADEMA WAKAMATWA NA JESHI LA POLISI MBEYA. Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya limewakata wafuasi sita (6) wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Wilaya ya Rungwe akiwemo Mwenyekiti wa Jimbo la Rungwe Gidion Mwakila kwa tuhuma za kufanya mikusanyiko isiyo halali...
  13. BumbleBeeBot

    Natafuta mwanamke Mbeya mjini

    Mi ni mgeni huku, nimekuja kuanza maisha. Nahitaji mwanamke wa huku mbeya mjini kwa mahusiano endelevu. Nimekuja huku JF coz mi sio mtembeaji sana wala muongeaji. Muda mwingi nipo ndani mwenyewe. Awe sehemu za mbeya mjini, mi nipo pembeni kidogo ya mji. Kama utakuwa interested nicheki kwa...
  14. Superbug

    Wananchi Mbeya mnapoteza golden chance ya kumhoji Rais juu ya alipo Mdude Nyagali CHADEMA

    Wana mbeya hususan pale Vwawa alipoishi Mdude mlitakiwa mje na mabango mengi sana Maelfu kwa maelfu mkimuulizia mdude na wote waliopotea. Tanga na nyie sijui kama ccm wamefika huko kwenye kampeni zao ila kama hawajafika msifanye makosa waliyoyafanya mbeya. Andaeni mabango mpite mbele ya rais...
  15. Stuxnet

    SI KWELI Nyomi mikutano ya Samia Mbeya

    Ni wazi ukipita kwenye mitandao ya jamii hasa X, JF na FB unaweza kudhania Samia hapati hata kura 100. Lakini maisha kwa ground ni tofauti kabisa. Ni wakati sasa Mange Kimambi na Polepole wajitathmini. Watanzania hawadanganyiki, kazi ya Samia wanaiona. Njooni mniue
  16. P

    Baadhi ya miradi iliyotekelezwa na Dr. Samia mkoani Mbeya

    Sekta ya Barabara Mkoani Mbeya, ujenzi wa barabara hii ya lami unatarajiwa kurahisisha usafiri wa bidhaa na abiria, na kuchochea uchumi wa maeneo hayo. Ukarabati wa Barabara za Mijini Mbeya, Mji wa Mbeya umenufaika na ukarabati wa barabara za ndani, ambazo zimetengenezwa kwa kiwango cha lami...
  17. C

    GE2025 Ahadi za CCM Mbalizi mkoa wa Mbeya 2025-2030

    Uwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. haijapatakutokea #kurayakwanzakwaSamiaUwekezaji mkubwa unaingia nchini kwetu, ahsante Mama. #haijapatakutokea kurayakwanzakwaSamia
  18. The Watchman

    GE2025 Rais Samia aahidi kuweka taa za barabarani jijini Mbeya, asema ikiwezekana Mwanjelwa patajengwa daraja la kuvusha watu

    Akizungumza katika uwanja wa Airport ya zamani jijini Mbeya, mgombea wa urais kupitia chama cha Mapinduzi (CCM) Samia Suluhu Hassan ameahidi kuweka taa za barabarani katika maeneo ya Ilomba, njia panda ya Uyole, Sae jijini Mbeya, Meta na Njiapanda ya kwenda Chunya ili vijana waweze kujiajiri...
  19. P

    MBEYA WAKO NA DKT SAMIA SULUHU HASSAN

    Kasumulu Mbeya Hiki ni Kituo cha Pamoja cha Forodha katika mpaka wa Tanzania na Malawi. Ujenzi wake ni utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi ambapo kitakuza mwingiliano wa watu na biashara kati ya nchi zetu mbili kudumisha Ushirikiano. #Kurayakwanzakwasamia#haijapatakutokea
  20. Trainee

    Nimemuona muuza miwa kwenye kampeni za CCM Mbeya nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu!🤣

    Nimeangalia kampeni za CCM kipande kidogo leo. Wakati watu wanaruka ruka na kuimba kabla ya Kabudi kuongea mara paap kuna mtu akapita na ndoo yake ya miwa pale mbele basi mimi moja kwa moja nikamkumbuka yule Muuza Madafu wa Ikulu
Back
Top Bottom