Mwanongwa
JF-Expert Member
- Feb 15, 2023
- 879
- 814
Yaani Jiji la Mbeya kuna mambo ambayo siyo mazuri na tukikaa kimya yataendelea, mojawapo ni hili suala ninaloenda kulizungumza leo.
Hivi LATRA Mbeya mmeshindwa kabisa kutatua hii kero ya Daladala kukatisha route?
Yaani Daladala inatoka Uyole inaishia Kabwe, abiria wanapata shida huku wengine wakipoteza mizigo yao.
Mbaya zaidi Askari wa usalama Barabarani wanajua shida hii na wanashuhudia Abiria wanavyopata shida lakini wanaangalia tu.
Abiria analazimika kulipa zaidi ya shilingi 1,500 badala ya Sh 800 ambayo ndiyo nauli sahihi ya kutoka mwanzo wa safari Hadi mwisho.