mbeya

  1. J

    Waziri Mkuu Majaliwa amezindua safari ya meli ya MV Mbeya II itakayotoa huduma katika Ziwa Nyasa nchini na nchi jirani za Msumbuji na Malawi

    Meli ya MV. Mbeya II ambayo imezinduliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Januari 5, 2021.i 20.1 ambazo zimetumika katika kujenga meli tatu ambazo kati yake mbili ni za mizigo MV Ruvuma na MV Njombe kwa thamani ya shilingi bilioni 11 na meli ya abiria na mizigo ya MV Mbeya ii kwa shilingi...
  2. Tungeanzisha special economic zones au export procesaing zones kwenye mikoa ya mipakani -- Kagera, Kigoma, Mbeya na Songwe

    Special economic zone ni eneo ambapo wawekezaji huzalisha kwa gharama nafuu na hupata upendeleo kwenye kuzalisha ili kuvutia uwekezaji. Sheria za maeneo haya na kodi kwenye maeneo haya huwa tofauti na sehemu zingine. Hata gharama za kuingiza malighafi na mashine huwa chini. Mara nyingi bidhaa...
  3. Kupanga mji ni ustaarabu tu wala siyo utajiri. Cheki hiki kijiji huko Mbeya.

    Hiki kijiji kinaitwa Ifumbo. Kipo wilaya ya Chunya mkoa wa Mbeya. Kimepangwa vizuri sana kuliko sehemu nyingi za jiji la Mbeya. Watu wa mipango miji na vijiji vingine viende vikajifunze kabla hawajachafua maeneo yao. Weka picha ya kijiji kilichopangika vizuri.
  4. D

    NATAFUTA BAJAJI MBEYA MJINI

    Habari...Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 26 na ninaishi Mbeya mjini..Natafuta Bajaji kwa ajili ya kufanya kazi ya kusafirisha abiria..Hivyo kama wew mwana Jf mwenzangu una bajaji na unahitaji dereva naomba unipatie mimi hiyo kazi..Ni mwaminifu na mchapakazi...Kikawaida kila siku kwa boss...
  5. Rais Magufuli amtuma RC wa Mbeya kusitisha uvunjaji wa Hotel Desderia inayomilikiwa na Joseph Mbilinyi (Sugu) kwa kisingizio cha mazingira

    Rais Mzalendo na anayejali wawekezaji leo kupitia Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Albert Chalamila ametoa tamko au salamu kuwa SUGU au Mbunge mstaafu wa Mbeya Joseph Mbilinyi ni muwekezaji hivyo atalindwa na hotel yake haitabomolewa na mtu yeyote. Kulikuwa na uzushi mitandaoni kuwa hotel imejengwa kwenye...
  6. D

    Natafuta bajaji ya kuendesha Mbeya Mjini

    Habari, Naitwa Daud Benjamin mhitimu Chuo Kikuu IFM Dar es Salaam mnamo mwaka 2019. Nina degree ya Social Protection. Kwa sasa ninaishi Mbeya. Dar es salaam nilihama kutokana na gharama za maisha kuwa juu sana na kukosekana kwa ajira. Nimetafuta ajira bila mafanikio mpaka sasa. Nilivyohamia...
  7. Katibu wa CHADEMA kanda ya Nyasa, Emmanuel Masonga akamatwa na Polisi Mkoani Mbeya na kunyimwa dhamana

    Huyu kiongozi alikamatwa tangu jana pale alipofika kituo cha Polisi ili kuripoti makosa ya mtandaoni baada ya Tweet ya Dadi Igogo , badala yake akakamatwa yeye ambaye ni mlalamikaji na kuswekwa selo na kunyimwa dhamana . Masonga amewahi kufungwa jela kwa kesi ya uongo iliyotungwa kwa uratibu wa...
  8. Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila asimamia ubomoaji wa nyumba ya Mwananchi

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila, amesimamia zoezi la kubomoa nyumba ya Atony Lyuba mkazi wa Kata ya Inyala, Halmshauri ya Wilaya ya Mbeya, baada ya kukaidi agizo la kubomoa kwa hiari nyumba yake. Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila. Uamuzi wa RC Chalamila, ulitokana na Lyuba...
  9. Askofu Mwamakula: Kampeni dhidi ya UKIMWI Mbeya ziepuke udhalilishaji

    KAMPENI DHIDI YA UKIMWI MBEYA IEPUKE KUDHALILISHA UTU NA ISIKIUKE HAKI ZA BINADAMU! Siku chache zilizopita tuliwasikia viongozi katika Mkoa wa Mbeya akiwemo Mkuu wa Mkoa huo wakiongea mbele ya kamera kuhusu Kampeni dhidi ya UKIMWI. Viongozi hao walisisitiza kuhusu adhma yao ya kuanzisha...
  10. D

    Natafuta mdhamini wa kunipatia bajaji kwa makubaliano ya kumletea kiasi kadhaa kila siku Mbeya Mjini

    Habari.Mimi naitwa David Benjamin. NI muhitimu wa chuo kikuu IFM kilichopo Dar as salaam ambapo nilipata degree ya Social protection and Actuarial studies. Toka nimehitimu nimekua nikitafuta ajira bila mafanikio yoyote mpaka sasa licha ya kuwa na matokeo mazuri katika masomo. Nilifanikiwa...
  11. Natafuta mtu aliyesomea linguistic Mbeya

    Wakuu nina kakazi hapa ka kama wiki mbili kufanya. Ninatafuta mtu aliyesomea linguistic, awe ana kompyuta. Akiwa Mbeya ni rahisi zaidi kufanya kazi.
  12. J

    Mbeya haimo kwenye 10 bora matokeo Darasa la Saba. RC Chalamila (Mwalimu), unafeli wapi?

    Nimeshangaa sana kutouona mkoa wa Mbeya kwenye 10 bora matokeo ya Darasa la Saba. Je, ni siasa zimetufelisha au tatizo ni nini? Yawezekana tuliendekeza siasa tukasahau watoto madarasani. Niishie hapo kama nimetazama vibaya niko tayari kusahihishwa. Maendeleo hayana vyama!
  13. RC Chalamila: Wanaume wengi wa Mkoani Mbeya wanapenda kulelewa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, amesema kuwa asilimia kubwa ya wanawake wa mkoa wa Mbeya, wameachiwa jukumu la kuendesha familia zao huku wanaume wakiongoza kufanya vitendo vya dhuluma dhidi ya mali zinazotafutwa na wake zao. Chalamila ameyasema hayo wakati akifunga kongamano la sita...
  14. S

    Magufuli ili TAZARA isife, ongea na China ili iunganishwe na Malawi kupitia Mbeya au Tunduma, na pia ipitie Morogoro na Iringa mjini!

    TAZARA haina hali nzuri. Na sababu kubwa ni kwamba utegemezi wa Zambia kwa TAZARA umepungua sana. Kwa sasa Zambia inaweza kupitisha mizigo yao sehemu nyingine zaidi ya Dar es Salaam, kutia ndaniMsumbiji na Afrika Kusini. Lazima tuseme ukweli Wazambia kwa sasa hawana shida sana na TAZARA, japo...
  15. GE2020 Dkt. Tulia atangazwa mshindi Mbeya Mjini, Sugu apoteza kiti chake cha Ubunge

    Aliyekuwa Naibu Spika wa Bunge lililopita, Dkt. Tulia Ackson, kupitia CCM ametangazwa kuwa mshindi wa Ubunge wa jimbo hilo kwa kupata kura 75,225. Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo hilo kupitia CHADEMA, Joseph Mbilinyi (Sugu) ametangazwa kupata kura 37,591 katika nafasi ya pili. PIA SOMA = > Uchaguzi...
  16. GE2020 Mbeya: Matukio na Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia

    Wakuu, Mada hii itakuwa na 'Updates' za Uchaguzi Mkuu 2020 kama yanavyotujia kutoka kwenu kutoka mkoa wa Mbeya. Ukiwa na taarifa yoyote ambayo ni ya eneo hili tafadhali usisite kuweka. Mkoa wa Mbeya una jumla ya majimbo ya uchaguzi 7 ambayo ni:- Mbeya Mjini - Tulia Ackson(CCM) - Kura 75,225...
  17. B

    GE2020 RC Chalamila: Nilikuwa nahesabu masaa tu kwa walioni-beep. Kwenye hizi chaguzi mtu asidhani 'atani-beep' alafu niache 'kumpigia'

    23 October 2020 Mbeya, Tanzania RC Albert Chalamila asema jana niliwaona watu ofisi ya Mkurugenzi lakini nilikuwa nawahesabia masaa akina mama wale kabla ya kushughulikiwa kwa hatua kali ambazo wasingesahau. Kuhusu kusimamia mchakato wa uchaguzi RC Albert Chalamila amesema uongozi wa mkoa...
  18. J

    GE2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nilidhani wakati huu wa uchaguzi wapiga kura ni WAFALME. Kitendo cha Magufuli kupiga magoti na kuwaomba Wanambeya kura kilionyesha unyenyekevu na heshima kwa wapiga kura. Wagombea lukuki wa CCM wamekuwa wakijishusha na kupiga magoti kuomba kura. Nadhani ni utaratibu mzuri. Nimeshangazwa na...
  19. GE2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

    Niliwahi kuuliza humu JF kuhusu Wasifu wa Dkt. Mahera ambaye ni Mkurugenzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi , lengo la swali lile lilikuwa kufahamu uwezo na weledi wake na nadhani sasa mmeanza kujua maana ya maswali kama haya tunayouliza humu mitandaoni. Sasa ni dhahiri kwamba Wilson Mahera hana...
  20. GE2020 Ona mikutano ya CCM inavyotia huruma

    Huu ni mkutano wa kampeni wa mgombea wa CCM kwa nafasi ya ubunge Mbeya Vijijini ndugu Oran njeza. Huyu mzee mikutano yake huwa haina watu kabisa na kuna baadhi ya sehemu ameshaambulia zomea zomea za hapa na pale. Nimesikia baadhi ya sehemu wakisema mitano yake inamtosha hawamtaki tena...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…