Polisi Jijini Mbeya imewakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30 usiku huu.
Waliokamatwa ni Pamoja na
-Joseph Mbilinyi (Sugu)
-Emmanuel Masonga (Katibu wa Kanda ya Nyasa)
-Paschal Haonga( Alikuwa Mbunge wa Mbozi) na Viongozi na wanachadema wengine wengi.
Wanachama wa CHADEMA Mkoani Mbeya wamejitokeza kupinga agenda ya Katiba Mpya huku wakiwa wamevalia Tshirts za kuhamasisha Katiba Mpya!
Source: TBC1 Habari
Kichwa cha habari chahusika.
Natafuta mwanamke ambaye anahitaji kuwa na mwanaume for long term relationship ili kujenga familia pamoja.
Sifa za mwanamke nimtakaye:
1. Awe anaishi mkoani Mbeya.
2. AWE TAYARI KUPIMA HIV
3. Awe na umri kuanzia 20 hadi 35.
4. Elimu yake kuanzia kidato cha nne na...
Hili ni Kanisa Katoliki Mwanjelwa Jijini Mbeya.
Hao ni Askari wakiwa na defender 3. wameenda kuwaondoa wafuasi wa Chadema wanaodaiwa kuwa wamevaa sare zenye uwiano na za Chadema.
Hivi kwani kanisani kuna mavazi maalumu ya kuvaa.?
Soko la mwanjelwa mkoani Mbeya ni kama Soko la Kariakoo kwa Dar es Salaam!! Ni kama Business District. Biashara ya mabilioni ya Shilingi inafanyika hapa kilasiku! Lakini kwa uchunguzi wangu wafanyabiashara hawa hawatoi kabisa risiti za EFD!
Nimeingia sokoni hapo zaidi ya Mara tatu kufanya...
Ni muda mrefu watu wamekuwa wakijadili kuhusu kiumbe asiyefahamoka anayejiita shemasi au Kigogo. Wengi walidai ni kundi la kina nape, Makamba nk na kwamba siyo mtu mmoja. Ila Sasa nadhani ameamua kujitokeza adharani kupitia sauti. Kitendo Cha yeye kuchangia mada kwenye SPACE kupitia sauti halisi...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) , leo kimetangaza siku ya kufanyika kwa mkutano mkubwa kabisa wa chama hicho ambao ni Baraza Kuu la Chama , uliopangwa kufanyika Jijini Mbeya July 31 2021 . Taarifa hii imetolewa na Mwenyekiti wa Chama hicho , Freeman Mbowe , Jijini Mwanza .
Kikao...
Na Mwandishi Wetu,
Busokelo-Rungwe
*Ataka sheria zisimamiwe kuzikomesha
Atoa Maelekezo mazito kwa DC wa Rungwe.
*Alaani watendaji kuvunja sheria za nchi kwa maslahi yao
Chama cha Mapinduzi kimesikitishwa na ongezeko la matatizo ya ujauzito na utoro yaliokithiri kwa wanafunzi wa shule za...
Heshima yenu wapendwa,
Naomba msaada jmn Kwa wale walowahi kusafiri kwa tren; kwa mara ya kwanza nataka Kutumia usafiri wa tren Sasa sijui nianzie wapi niishie wapi kuanzia kwenye kukata tiketi;cjui madaraja yake; uzuri wake na changamoto zake pia ili nione kama naweza kumanage!
Safari yenyewe...
Wakuu poleni na janga la moto Kariakoo. Janga hilo limenikumbusha kuungua kwa soko kuu la mjini kati Mbeya. Ni kama miaka 10 hivi imepita toka liungue. Kwanini hadi leo halijajengwa?
Kweli kwenye baraza la jiji hakuna mwenye akili akaona huo ni uzembe wa hali ya juu? Kama soko limeungua si...
Peter Richard Mwendamseke alikuwa kijana mjasiriamali, akijikita zaidi kwenye mifumo wa mawasiliano.
Pia Peter Richard Mwendamseke alikuwa ni mdau mkubwa wa burudani na michezo.
Hakika wana Mbeya wamempoteza kijana wao mahiri.
Mungu ailaze Roho ya marehemu mahala pema. Amina
Binafsi niweke wazi kabisa kwamba napenda kuishi kijamii na wala sinaga tatizo na misiba ila hali ya mbeya imezidi sana
Sasa kwa huku Mbeya hali ya misiba imekuwa tofauti sana, watu hawajali kushiriki kwako msibani hawakwambii hata msiba ulipo mpaka uwauilze na hata hawajali ukaribu wako na...
Kwa miaka mingi mikoa ya Mbeya na Songwe imekuwa ikitoa wanasia wenye kuelwmea upande wa upinzani, wakiikosoa serikali ya CCM bila ya woga wowote, hata wakitishiwa mateso na kifo hawatetereki.
Je, ni nini haswa kilichopelekea watu wa mikoa hiyo kuwa hivyo?
Hukk ndiko sehemu ambako CCM hupita...
Leo Juni 28, 2021 Mahakama ya Hakimu Mkazi Mbeya imemuachia huru Mdude Nyagali baada ya kutomkuta na hatia katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kusafirisha madawa ya kulevya.
Mpaluka Mdude Nyagali alikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya aina ya heroin gramu 23.4 mwaka 2020.
Mdude...
Habari zenu wakuu,Mimi ni kijana mpambanaji kwa sasa Niko Dar es laam nina mpango wa kwenda Mbeya kutafuta maisha rasmi....je ni sehemu zipi kati ya hizi: Kyela mjini, Border-Kasumulu, Tunduma na Mbeya Mjini.
Ambazo ziko vizuri kwa fursa za kiuchumi, population nk.... Msaada tafadhari...
Nianze kwa kuipongeza serikali kwa kujenga barabara nyingi na nzuri sana hapa Tabora manispaa. Kwa wale waliofika tabora miaka ya karibuni watakubaliana na mimi kwamba serikali imewekea pesa nyingi kuijenga hii manispaa.
Naomba nieleweke kwamba sina tatizo kabisa na ujenzi wa miundombinu...
Wanabodi nimeangalia kwenye booking option ya ATCL nimeona hakuna uwanja wa Mbeya na bada ya kuliza nikaambia labda atcl inapunguza safari kutokana na kuwa na upungu wa ndege.je hii ni kweli?
Kutokana na utitiri wa vyuo hivi, je unaona kuna fursa ipi ya biashara.
Vyuo hivi hapa
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (Tawi la UDSM) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (Tawi la UDSM) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU -...
CHUO - SEHEMU
MUST - Iyunga
MCHAS (tawi la udsm) - Mjini
TIA - Airport ya zamani
MZUMBE - Foresti
SAUT - Foresti
UTUMISHI (tpsc) - soko matola
ADEM - Foresti
UCC (tawi la udsm) - uzunguni
CBE – Mjini
TEKU - Block T
OPEN UNIVERSITY - Foresti
TUMAINI - uyole
KILIMO - Uyole
USTAWI WA JAMII - Uyole...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.