Mbeya. Mkuu Mkoa wa Mbeya, Juma Homera amesema kuwa ziara ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mkoani humo imesitishwa kufutia kifo cha aliyekuwa Waziri wa ulinzi wa Jeshi la Kujenga Taifa, Elias Kwandikwa.
Homera amesema leo Jumanne Agosti 3, 2021, akiongeza kuwa Waziri Mkuu Majaliwa ameondoka...