mbeya

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Yanga SC 0-0 Mbeya City | Benjamin Mkapa | NPL

    Mchezo wa Ligi Kuu Bara kati ya Yanga dhidi ya Mbeya City, mchezo umeshaanza kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. YANGA 0-0 MBEYA CITY - FULL TIME Dk 1: Timu zimeanza kwa kusomana, matokeo ni 0-0. Dk 5: Mchezo una kasi na timu zote zinashambuliana kwa zamu. Dk 10: Mashambulizi ya zamu kwa...
  2. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Hali ya uwekezaji kwenye nyumba za kuhamishika katika mji wa Tukuyu, jijini Mbeya Tanzania

    Nyumba za kuhamishika zimekuwa zikitumika kwa ajili ya makazi na biashara. Lakini kwa mazingira ya kwetu Tanzania nitakushirikisha zaidi kuhusu fremu za biashara. Hii ni kwa sababu karibu nyumba zote za kuhamishika hutumika kwa ajili ya biashara tofauti tofauti. Sababu za kumiliki nyumba za...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hongereni sana GSM Yanga SC kwa kuamua kuwapokea Mbeya City FC

    Mchezaji (Mshambuliaji) Paul Nonga (Mwalimu Kitaaluma) na mwana Yanga SC Kindakindaki ambaye uliifunga Simba SC Mbeya hadi Kushangilia kwa Kuizunguka Mbeya yote hongera mno kwa kuwa Mratibu Mkuu wa Kuchukua Pesa za GSM Yanga SC na kuwapa Wachezaji wenzako wa Mbeya City FC ili Jumamosi mlegeze na...
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Mwenyekiti wa Mtaa auawa Mbeya

    Mwenyekiti wa Mtaa wa Hasanga kata ya Uyole jijini Mbeya, Justine Namwinga (47) ameuawa na watu wasijulikana usiku wa kuamkia leo Januari 31 na kisha mwili wake kutelekezwa nje ya nyumba yake. Akizungumza akiwa nyumbani kwa marehemu baba wa Justine, Hance Mwashembele amesema kuwa usiku wa...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mpasuko mkubwa CHADEMA Mbeya mjini, Msigwa avunja uongozi huku walioondolewa wakimpinga. Ni mparaganyiko mkuu

    Mpasuko mkubwa umeukumba uongozi wa Chadema Mbeya mjini na hii ni dalili kuwa hawako kwenye good terms. Sijui lini watafika mbali =========== Mchungaji Msigwa: Tumeuvunja uongozi wa jimbo la Mbeya mjini na tunawapa mkoa siku tatu kwa mujibu wa katiba kama nilivyosema kuunda timu(Task force)...
  6. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi mkoani Mbeya laandaa kongamano la injili litakaloongozwa na Mwl. Christopher Mwakasege

  7. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Je Mbeya ndiyo chimbuko la hiphop hapa Tanzania?

    Habarini. Si ku nyingi nimekuwa naona wasanii waanzilishi wa hiphop hapa Tz walikuwa wanatokeo, au hasa waliowahi kuishi Mbeya. Sugu anatajwa kama watu wa mwanzo kuanza kuimba hiphop Tz. Huyu ni mzaliwa na mkazi wa Mbeya kabisa. Kuna mtu kama Prof J, Advance kasoma shule ya Lutengano Mbeya...
  8. dyuteromaikota

    JamiiForums Tanzania Nani mmiliki wa uwanja wa Sokoine Mbeya?

    Uwanja huu ufungiwe mpaka mmiliki aweke nyasi bandia. Tope kama lote hata mpira haunogi. Ni hayo tu.
  9. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa mashabiki wa Mbeya City FC

  10. S

    JamiiForums Tanzania Kama Simba iilivyoangukia pua mbele ya Mbeya City leo, ndivyo ambavyo siku ya siku, chama dola kitaanguka kutoka madarakani hata wakibebwa na dola

    Leo tumeona jinsi Refa alivyojitahidi kuwabeba Simba lakini haikusaidia. Kama ilivyotokea kwa Simba, ndivyo itakuja kutokea kwa chama dola siku ikifika ambapo hata wakibebwa, mwisho wa siku waatanguka tu na kuachia madaraka. Siku hiyo ikifika, itakuwa hivi: Nguvu ya umma itakuwa kama wachezaji...
  11. ESPRESSO COFFEE

    JamiiForums Tanzania Mbeya City 1-0 Simba SC | Ligi kuu Tanzania bara | Mbeya

    Chama is Back, Triple C is Back. Baada ya Mechi Ya Mwisho kucheza akiwa Morocco na Kuwa MAN OF THE MATCH. Leo Anarejea Tena, zamu hii Akiwatumikia Simba Sc Dhidi ya Mbeya City. Nini atawapa Wana Simba Sc ni Jambo La kusubiri. Baada ya kutwaa ubingwa wa mapinduzi Mnyama, Simba SC anarejea...
  12. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi avunja ukimya kwa kuelezea kuhusu covid-19 na umuhimu wa kuchanja

    Amepost tweet hii dakika chache zilizopita, je huo ukimya ni nini? Tusubiri saa 1:00 usiku ==== Update, Joseph Mbilinyi (Sugu) avunja ukimya kwa kuongelea Covid-19 Aliyekuwa Mbunge wa Mbeya Joseph Mbilinyi maarufu kama Sugu amejitokeza na kuvunja ukimya kwa kufafanua madhara ya ugonjwa wa...
  13. Labani og

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Mbeya uwe workshop ya Elimu nchini

    Kwanza kabisa nitoe maana ya title hapo juu. Kuifanya Mbeya kuwa workshop ya elimu ni kama kuufanya mkoa wa Mbeya mfano wa kuigwa au sehemu ya kujifunzia kwa mikoa mingine Kutokana na kiwango cha Elimu kwa huu mkoa wa Mbeya kuwa juu kila mwaka na kuwa constant kwa ufaulu bila kuyumba yumba...
  14. Chura

    JamiiForums Tanzania St. Francis Mbeya kuna siri gani?

    Hivi pale St. Francis Girls Mbeya pana siri gani wazee? Mwaka huu licha ya kwamba imekuwa ya pili kitaifa lakini ufaulu wake ni wa ajabu na kuogofya sana. Picha linaanza darasa lina watahiniwa 92 ambao wote wamepata div 1, hii si ajabu sana ajabu ni hili hapa kati ya hizo 1- 92, div 1.7 ambazo...
  15. C

    JamiiForums Tanzania Ipi bora kati ya St. Francis Girls Mbeya na FEZA Girls Dar es Salaam?

    Msaada. Binti yangu amechaguliwa shule zote mbili, ipi shule bora na sababu na mapungufu Ahasante.
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chuma cha Kizambia 'Baba wa Pasi za Upendo na Mpenyezo' keshatua nchini Kesho Kutambulishwa na kuwemo Safari ya Mbeya

    Pape Ousmane Sakho, Kibu Denis na Medie Kagere watafunga Magoli mpaka Watachoka kwani mwenye Pasi zake na Fundi wa 'Miauta' Raia wa Zambia ameshatua nchini. Kuna Watu sasa naona ile nia yao ya Ubingwa inaenda Kutoweka na tayari Coastal Union FC ya Tanga wameshaapa, kulishana Yamini na kusoma...
  17. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Mbeya wapi wanauza nguo za kike grade A mtumba

    nahitaji nguo za kike nzuri za mtumba grade A naomba mnisaidie mlioko mbeya napataje na soko gani
  20. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya mjirekebishe, msijione mmeyaweza Maisha

    Dah inauma sana Najua humu wapo wafanyakazi either hao wa NIDA sehemu husika au sehemu nyingine. Pia humu kuna viongozi na bila shaka watapitia bandiko hili. Leo nilicho shuhudia ofisi za NIDA mkoa wa Mbeya kwa Kweli wale wafanyakazi wanajiona kama wametoboa Maisha yaani wanatesa sana...
Back
Top Bottom