mbeya

  1. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Polisi wamshikilia Diwani na wenzake kwa kumpiga mpiga picha

    Mnamo tarehe 03.03.2022 majira ya saa 08:00 asubuhi huko Mtaa wa Igodima, Kata ya Iganzo, Tarafa ya Sisimba, Jijini Mbeya, Kijana aitwaye SHADRACK ZACHARIA [28] Mpiga Picha na Mkazi wa Igodima Jijini Mbeya anayeonekana kwenye “clip” ya video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii akishambuliwa...
  2. Stavros Myles

    JamiiForums Tanzania TANESCO Mbeya: Je kuna Electric Surge au Line ya Meta Referral Hospital imezidiwa?

    Tanesco mtusaidie majibu
  3. dubu

    JamiiForums Tanzania Mbarali, Mbeya: Waogelea siku mbili kumsaka aliyeanguka darajani

    CGFM RADIO wameripoti kwamba Wananchi wa Kijiji cha Kapunga Kata ya Itamboleo Wilaya ya Mbarali Mkoani Mbeya wamejitokeza siku mbili mfululizo kumtafuta Bwana Mussa Mganwa(35) mkazi wa Kapunga anayehofiwa kusombwa na maji baada ya kuteleza darajani Mussa alisombwa na maji 28 Februari,2022...
  4. EAPGS

    JamiiForums Tanzania We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals

    We are looking for a competitive and trustworthy Sales personals to help us build up our business activities. Sales responsibilities include discovering and pursuing new sales prospects, negotiating deals and maintaining customer satisfaction. Responsibility Include; Conducting market...
  5. May Day

    JamiiForums Tanzania Goli la Simba dhidi ya Mbeya City na Goli la Brentford dhidi ya Arsenal

    Jana wakati nafuatilia mechi ya Arsenal na Brentford nimeona mfanano mkubwa wa tukio kwa haya magoli. Hebu tutafakari na nafasi ya Waamuzi, maana sisi wa nje ni wepesi sana wa kuhukumu tukisahau kwamba tuna faida ya kurudia kuangalia tukio zaidi ya mara hata tano. Brent Vs Arsenal anzia dk ya 1:30
  6. Kekule Wa Benzene Ring

    JamiiForums Tanzania Natafuta kijana ambaye ana uwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini

    Habari zenu wakuu, Natafta kijana ambaye anauwezo wa kufanya kazi ya barbershop aliyepo Mbeya mjini kwajili ya kazi ya kunyoa. Natanguliza shukrani Mawasiliano 0655087675
  7. Mwananchi wa chini

    JamiiForums Tanzania Miezi mitatu nikiwa Jiji la Mbeya. CHADEMA na Sugu wasahau ubunge

    Ndugu Zanguni leo ndio nimehitimisha majukumu yangu ya mradi unaohusisha mambo ya Jamii kupitia shirika lisilo la kiserikali la WORLD VISION. Pamoja na mengine nimekuwa nikikaa kwenye vijiwe, kukutana na wakazi wa Mbeya mjini na viongozi wa vyama vya siasa na viongozi wa dini na waumini wao...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kyela, Mbeya: Mwanachama wa CHADEMA afungwa Maisha kwa kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM

    Taarifa kwa Umma: Leo Tarehe 15/2/2022 Mahakama ya Wilaya ya Kyela imemhukumu kifungo cha maisha Gerald Mwakitalu kwa kesi ya uongo ya kuchoma moto nyumba ya Mwana-CCM kwenye uchaguzi wa 2020, huu ni ule ule mwendelezo wa hujuma dhidi ya CHADEMA ulioasisiwa na utawala wa awamu ya 5 kwa hisani...
  9. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TFF na Bodi ya Ligi sitisheni kwa muda matumizi ya uwanja wa Sokoine Mbeya

    Nimetoka kuangalia mechi ya mtoano, Kombe la Shirikisho la Azam muda si mrefu kati ya Tanzania Prisons vs Polisi Tanzania, na ambako Polisi Tanzania wamefanikiwa kusonga mbele kwa ushindi wa goli 2 kwa 0 dhidi ya Tanzania Prisons. Kiukweli uwanja umeharibika vibaya kiasi cha kudhani labda...
  10. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Sh Bilioni 1.4 zatolewa ujenzi wa Daraja la Tembela, Mbeya

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Innocent Bashungwa amesema serikali imetoa kiasi cha shilingi bilioni 1.4 kwa ajili ya ujenzi wa Daraja la Tembela ili kutatua changamoto ya miundombinu ya barabara na madaraja katika eneo hilo. Akikagua miundombinu ya barabara...
  11. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi 12 wa Azam Tv wapata ajali mlima Kitonga. Walikuwa wanaelekea jijini Mbeya kurusha matangazo ya NBC premier league

    Azam Media Limited (AML) inautaarifu umma kuwa wafanyakazi wake 12 waliokuwa wanakwenda mkoani Mbeya kwa ajili ya kazi ya kurusha matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya NBC wamepata ajali baada ya gari lao kusukumwa na lori lililokuwa likirudi nyuma kwa dharula katika Mlima Kitonga. Ajali hiyo...
  12. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi wawanasa wahamiaji haramu 11 wakitoka Tabora kwenda Mbeya

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia wahamiaji haramu kumi na moja [11] raia wa nchini Rwanda na Burundi kwa kosa la kuingia nchini bila kuwa na kibali. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei ameeleza kuwa wahamiaji hao walikamatwa mnamo Februari 7, 2022 majira ya saa 12:00 jioni...
  13. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Polisi wakamata dhahabu ya Sh milioni 140 ikitoroshwa, mtuhumiwa atokomea, atelekeza gari

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya kwa kushirikiana na Maafisa Madini Wilaya ya Chunya limefanikiwa kukamata madini aina ya dhahabu yenye thamani zaidi ya Tsh milioni mia arobaini (140). Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mbeya, Ulrich Matei, ameeleza kuwa Februari 9, 2022 majira ya saa 19:30 usiku katika...
  14. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mbalizi Mbeya: Mfanyakazi wa ndani amepotea njia akiwa na mtoto mdogo, msaada wenu

  15. O

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Habari zenu wadada wa JF, Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Mimi ni mwanaume mwenye miaka 38, elimu yangu ni ya Chuo kikuu, Mkristo wa Roman Catholic, mwajiriwa serikalini, mrefu wa 168 cm; ninayeishi na kufanya kazi mbeya mjini; ninatafuta mwanamke ambaye yupo tayari kuanzisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania GSM mliopo hapa JamiiForums tafadhali naomba Majibu yenu ya upesi sana kwa haya Maswali yangu yafuatayo

    1. Ni kwanini mlianza Kudhamini kabla ya Kuingia Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021? 2. Kama mliingia rasmi Mkataba na TFF tarehe 23 Novemba, 2021 ni kwanini mpaka hii Leo mnasitisha nao Mkataba hamjawalipa Pesa ya Awali na hata Vilabu vyote husika (ukiiondoa Simba SC yenye Akili na Watu...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Mkufunzi wa Waamuzi Alfred Rwiza: Wote wanaosema Goli la Simba dhidi ya Mbeya kwanza ni offside wakapimwe akili

    "Ni goli halali kabisa na ifike wakati sasa Watu wajitahidi sana Kusoma Sheria na Kanuni mpya za FIFA ili likitokea Jambo wawe wanaweza Kulitafsiri Kitaaluma na siyo Kishabiki. Meddie Kagere anayeonekana kuwa mbele laiti katika ile move pale pale angefunga ndiyo ingekuwa ni Offside ila kwakuwa...
  18. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Bao la Chama dhidi ya Mbeya Kwanza NI HALALI, offside ya Kagere ilivunjwa

    Mchezo wa Simba dhidi ya Mbeya Kwanza umemalizika na kuna kelele nyingi kuhusu bao la Simba lililofungwa na Clatous Chama kuwa kabla ya kufunga mshambuliaji wa timu yake Meddie Kagere alikuwa ameotea (offside). Picha za video zinaonyesha kuwa winga wa Simba, Sakho kabla hajapiga shuti...
  19. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Simba SC 1-0 Mbeya Kwanza | Benjamin Mkapa |NBC PL

    Timu ndiyo zinaingia uwanjani, muda wowote mchezo huu wa Ligi Kuu Bara utaanza hapa kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar es Salaam. KIPINDI CHA KWANZA Mchezo umeanza. Dk 1: Mwamuzi anapuliza kipenga cha kuanza kwa mchezo. Dk 1: Simba wanaanza kwa kasi, wanafika langoni mwa Mbeya Kwanza, John Bocco...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Ni faida kubwa kwa Yanga kutoka sare na Mbeya City

    Hii ni kwasababu: Mbeya City ni moja ya timu inayotoa upinzani, hivyo matokeo ya mechi baina ya hii timu na timu zingine zinazofukuzia ubingwa, ni matokeo decisive katika kuja kutoa bingwa. Kwa maneno mengine, timu vigogo(Simba, Yanga na Azam) ni lazima zihakikishe zinaishinda ama kutoka sare...
Back
Top Bottom