MIKOA ya Arusha, Kilimanjaro, Mbeya na Unguja Kaskazini inaongoza kwa wanawake wenye unene wa kukithiri, maarufu kama ‘viriba-tumbo’ (obesity).
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Chakula na Lishe Tanzania, Dkt. Germana Leyna, ameeleza hayo katika mkutano na wanahabari jijini Dar es Salaam leo...
Habari wana jukwaa, kwa wakazi wa Mbeya mjini wenye uhitaji wakusafirisha 🚚bahasha ndogo ndogo, mizigo kama furniture, gunia za mahindi n.k. kwa hapa hapa mbeya mjini na pia kuelekea Mkoa wa Songwe hapo chini tu, ningependa kuwakaribisha.
Gharama zetu ni nafuu na rafiki, wasiliana nami...
Askofu Mengele -katikati na Askofu Mwikali aliyesimama walipoita waandishi wa habari wakijieleza.
Askofu Mengele amefunga safari kwenda Mbeya kumpa tafu Askofu mwenziwe Askofu Mwaikali ambaye ana tuhuma zinazo muweka katika sintofahamu na kondoo wake.
Kitendo cha kupeana tafu kati ya hawa...
Kama wewe ni mpenzi wa timu hii ya Mbeya iliyopanda daraja msimu huu karibu tujadili mambo gani muhimu yanatakiwa ili timu hii isishuke daraja.Katika maandalizi ya kuelekea ligi kuu timu hii imechukua kombe liloanzishwa na mkuu wa mkoa wa Mbeya baada ya kuifunga timu ya Ihefu fc.
Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi
Usipange kukosa kufuatilia
Mtaarifu mwenzako
Leo Jumamosi 11/9/2021 lundo la viongozi na Wanachama wa Chadema kutoka Mkoani Mbeya wamefika gereza la Ukonga jijini Dar es Salaam kwa kutumia usafiri wa basi kubwa la abiria (Jina linahifadhiwa kwa sababu za kiusalama) , ili kumjulia hali kiongozi wao wa Kitaifa Mwamba mwenyewe Freeman Mbowe ...
Hakuna kitu kinakera kama ahadi za uwongo wa wanasiasa. Na mbaya zaidi ni pale ambapo wanaahidi uongo kwa vitu ambavyo vinagharimu maisha ya watu. Kwa nini wanasiasa wanapenda kusema uongo?
Tuchukulie huu mteremko wa Mbalizi unapotoka Mbeya mjini kwenda Songwe airport, Mbozi Tunduma na hata...
KARIBU MWENGE WA UHURU MKOANI MBEYA.
Mwenge wa Uhuru baada ya kumulika maeneo mbalimbali nchini sasa ni zamu ya mkoa wa Mbeya. Ni Jumamosi hii ya Septemba 11, 2021 Mwenge wa Uhuru utapokelewa wilayani Mbarali katika eneo la Igawa tayari kwa kuanza kukagua miradi na shughuli mbalimbali mkoani...
Katika fedha za makato ya simu, sisi Mbeya tumepokea shilingi bilioni 1 kwa ajili ya vituo vyetu vya afya vinne ambavyo ni kule Chunya tarafa ya Kipembawe, Unyakyusa, Utagano na Mbeya DC pia tumepata kimoja kwahiyo ni ahueni kubwa kwetu."
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe Juma Zuberi Homera.
Miaka ya 2000 mwanzoni jiji la Mbeya walijenga Shule ya Mkapa ambayo ni ya msingi lakini inafundisha kwa kiingereza, ada yake ni ndogo sana ukilinganisha na zile za private. Mpaka sasa wana shule 3 za aina hiyo na wana mpango wa kujenga zingine 3.
Kwa sababu kuanzia sekondari masomo ni kwa...
Hello habari,
Naomba kujulishwa gharama za kusafirisha Tani moja (kilo 1000) za nafaka kutoka MBEYA kuja DAR.
Na utaratibu mwingine kama upo.
Asante.
Heri ya mwezi mpya. Ukawe mwezi wa mafanikio.
Summary
Ndoto ya marehemu Hamza Mohamed ya kujenga vyumba vya madarasa wilayani Chunya imeacha simazi miongoni mwa wanavijiji waliokuwa wkaiishi naye.
By Hawa Mathias
Mbeya. Wakati bado kukiwa na majonzi ya vifo vya askari polisi waliokuwa wakipambana na mfanyabiashara wa madini, Hamza...
Pia soma Ujira mdogo wa Tsh 4,600/ kutwa kwa vibarua muhimu kiwanda cha PESPI Mbeya plant. Dkt. Tulia nakuomba tembelea Kiwandani kuna wapiga kura wako
Huenda hii thread ilikuwa ni sababu naamini hapa kuna watu wa kila aina, nafurahi ujumbe ulifika na kufanyiwa kazi.
Sasa hivi vibarua hao...
Migodi ya wachimbaji wadogo wa dhahabu Itumbi Chunya Mbeya ni mingi zaidi ya wachimbaji wadogo na kati 5000 tupo eneo hili, ila tuna changamoto kubwa ya kukosekana kwa barabara ya lami.
Tafadhali serikali mtuwekee lami huku ili biashara yetu ya madini iwe rahisi. Tunazalisha sana madini huku...
Kuna tabia ya ushabiki wa mwendokasi wa mabasi hasa yaendayo Mbeya ambayo naona siku hadi siku inazidi kukua. Sasa sijui ni ushamba au nini.
Kufukuzana huko mtakuja kufa kwa kwa ujinga. Mikoa mingi sasa ina kampuni kubwa za mabasi ya abiria lakini hawana ujinga huo kama wanaofanya mabasi ya...
Salaam.
Nina Safari ya kutoka Mwanza kwenda Mbeya hivi karibuni. Natambua hii ni moja Kati ya Safari ndefu zaidi Kwa mabasi Tanzania.
Naomba kupata taarifa updated kuhusu usafiri wa njia hii , hasa hasa nauli, basi zuri na muda wa kufika Mbeya.
Tunaoifahamu Halmashauri ya wilaya ya Rungwe tunajua Loema Peter hatoshi kuwa kiongozi.
Ilikua ni ajabu kwa yeye kuendelea kuwepo kwenye mkeka baada ya madudu yaliyofanyika kipindi chake.
Lakini hayo yamepita, kazi njema katika kituo chako kipya.
Kwako Ndugu Mchau, waangalie hao wa chini...
Mkoa wa Mbeya wakati huo ukijulikana kama one of The Big Four kw kilimo cha achakula kwa nchi nzima, ulikuwa umetekelezwa katika msimu mzima wa Awamu ya Tano.
Kulikuwa hakuza siara za Mawaziri au matukio ya Kiserikali, na hakuna wateuliwa kwa viwango vya Kanda ya Ziwa, tofauti na ilivyokuwa kwa...
Nauza mchele nipo Mbeya
1. Kiasi - kuanzia 1kg hadi tani utakazohitaji
2. Bei - kuanzia sample ya 1000 kwa 1kg, 1200 kwa kg, 1400 kwa kg, 1500 kwa kg na kuendelea
3. Pia mpunga na pumba laini za mpunga zinapatikana
4. Nje ya mbeya tunatuma hadi ulipo kwa gharama nafuu
Karibuni sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.