mbegu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Asante kwa kuwaleta WASUDANI. Changanya Mbegu ni jambo jema sana

    Nchi ikiwa na mchanganyiko hupendeza sana, ndio maana ukifika Marekani unakutana na kila MMEA WA BINADAMU, yaani unakutana na mtu anatisha balaa, mwingine wa kawaida, mwingine mzuri balaa, halafa anakuja tena mzuriii, ukisema umemaliza unashangaa unakutana na kitu hadi unajiuliza ni cha hapahapa...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Mbeya na Rukwa: Natafuta wanunuzi wa alizeti

    Ninauza alizeti zipo mkoa wa mbeya mjini na Rukwa bondeni. Mawasiliano ni 0769902875 Karibuni sana, bei ni maelewano. Nb: Alizeti ni ya mwaka huu imetoka shambani.
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta wanunuzi wa mbegu za alizeti

    Habarini wadau ninauza mbegu za alizeti safi kabisa, zina mafuta mengi. Zipo Mbeya Mjini na bonde la Rukwa. MAWASILIANO ni 0769902875, Bei ni nzuri na bei ni maelewano Nb: Mbegu ni mpya za mwaka huu zimetoka shambani
  4. JamiiForums Tanzania Uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke

    Capacitation' ni uwezo wa mbegu ya kiume kulitoboa yai la mwanamke na kulirutubisha, hali hii inategemea na umbile la mbegu hiyo (morphology), utendaji kazi wake (physiology) na uwezo wake wa ndani (biochemical changes). Yai la mwanamke lina milango mitatu ambapo Mbegu hutegemea kupita kwa...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Atoa Milioni 100, Kuongeza Uzalishaji Mbegu Bora

    RAIS Dk. Samia Suluhu Hassan ametoa sh. milioni 100 kwa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo (TARI) Kituo cha Hombolo, kuongeza uzalishaji wa mbegu bora za mazao kwa wakulima. Akizungumza jijini hapa mwisho wa wiki, Meneja wa Kituo cha TARI Hombolo, Dk. Joel Meliyo alisema fedha hizo zimesaidia...
  6. JamiiForums Tanzania KWELI Upo uwezekano mdogo wa Mwanamke kupata ujauzito akisafisha uke kwa taulo yenye Shahawa

    Ikatokea mwanaume amemwaga manii kwenye taulo ambalo muda mchache baadae mwanamke akalitumia kukaushia uke wake. Kuna uwezekano akapata ujauzito kupitia taulo hilo?
  7. JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mbegu za mulch?

    Salute, Wakuu wapi nitapata mbegu za mulch,kwanza sijui mulch ni mizizi ya Nini,au ni mboga za majani au ni Miche ya matunda gani. Kuna mzungu kaniambia anaitaji kununua ,nimtafutie kwa wingi,ziwe dar . Zimenipa ushamba kujua ni kitu gani.anayezijua msaada tutani
  8. JamiiForums Tanzania Serikali ifanye uchunguzi wa kina kwenye mbegu za vyakula zinaoingizwa nchini

    Nilikua nimekaa mahali kwa bahati mbaya. Sasa nikasikia beberu moja Toka kwa Biden likiwa linatetema kwamba eti Kuna mkakati wa kuweka vijidudu vya magonjwa ya mimea na wanadamu Toka nchi moja ya mashariki ya mbali kwa wale macho madogo. Ingawa naelewa Kuna vita vya kiuchumi baina yao. Ila...
  9. JamiiForums Tanzania Muuzaji Mbegu za Kiume aongeza Soko, ana watoto 550

    Mwanamuziki wa Uholanzi mwenye makazi yake nchini Kenya, ambaye ni muuzaji mkubwa wa mbegu za kiume, pia mwenye watoto takriban watoto 550 duniani kote anakabiliwa na mashtaka ya kuongeza athari kwenye mahusiano. Jonathan Jacob Meijer, 41, ameshtakiwa kwa madai ya kuongeza hatari ya uhusiano wa...
  10. JamiiForums Tanzania Mbegu za maboga zinasaidia sana kuongeza nguvu za kiume

    Maajabu ya mbegu za maboga ambayo ulikuwa huyajui bado. Inatokeaje mbegu za maboga kuongeza nguvu za kiume? Kwanza kabisa zinaondoa msongo wa mawazo kitu ambacho ni namba 1 katika kusababisha upungufu wa nguvu za kiume. Lakini pia zinashusha lehemu (cholesterol), zinatibu kisukari, zinatibu...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Mhe. Msongozi - Atoa Misaada ya Cherehani 60, Mbegu za Soya, Majiko ya Gesi 106 na Vifaa Tiba Ruvuma

    MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) Mhe. Jacqueline Ngonyani Msongozi amefanya ziara ikiwa ni sehemu ya kuunga mkono kwa vitendo...
  12. JamiiForums Tanzania Seminal fluid analysis(sperm analysis) elimu na ushauri juu ya vipimo vya mbegu za kiume

    HABARINI WAKUU, Leo nimewiwa na kuona ni vyema kutoa elimu japokua kidogo kuhusu upimaji wa mbegu za kiume na elimu juu ya uwezo wa kizalisha Kwa mwanaume(Fertility). MANII (SEMINAL FLUID) ni mchanganyiko wa mbegu za kiume(sperm) na majimaji mengine kutoka kwenye Korodani (testis) na tezi...
  13. I

    JamiiForums Tanzania Nahitaji certified mbegu za maharage ya njano

    Naombeni msaada kwa atakayeweza kunisaidia kuzipata mbegu hizi. Nahitaji angalau kg 150 nifanye kilimo cha kitaalamu.
  14. JamiiForums Tanzania Umuhimu wa Mbegu za Chia katika Ukuaji wa Mtoto

    Mbegu za chia ni kati ya vyakula mashuhuri kwa afya bora, kwa sababu ya kusheheni virutubisho vya mwili. Gram 100 zimesheheni:- Fibers: 39 gm, Protini: 16 gm, mafuta: 37 gm (18 gm ikiwa ni Omega-3, iliyomuhimu katika kuimalisha ubongo na 6 gm Omega 6); Madini kwa kiwango kinachohitajika kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la kutotoa shahawa au kutoka kidogo

    Kwema wakuu nasumbuliwa na tatizo la kutoa shahawa kidogo au kutotoka kabisa pindi ninapojamiiana, hali hii imeambatana na maumivu ya korodani Je, ni ipi tiba? Shukrani.
  16. L

    JamiiForums Tanzania Chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China chaleta mbegu za mpunga zilizopatikana katika obiti kwa mara ya kwanza duniani

    Kundi la tatu la sampuli za majaribio ya sayansi ya anga za juu, ambalo lilirudishwa na chombo cha anga za juu cha Shenzhou 14 cha China, lilirejeshwa Beijing alfajiri ya tarehe 5. Sampuli zilizorejeshwa ni pamoja na vifurushi vitatu vya baridi vya sampuli za kibaiolojia na mfuko mmoja wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mbegu zipi za mahindi za DK zinafanya vizuri?

    Wanajamii habari zenu wote. Polen wadau kwa Mihangaiko za hapa na pale, Ndugu zangu najua huku kuna wakulima wazuri japo wapo pia paper farmers lakini najua mkulima wakweli akitoa ushauri huwa tunamwelewa kwasababu huwa anatoa uhalisia wa mambo ambapo hata msomaji anarithika kabisa. Ndugu...
  18. JamiiForums Tanzania NADHARIA Vyakula vya mbegu vya GMO vipo kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi

    Yapo maoni ya watu mbalimbali kuwa vyakula vilivyobadiliwa vinasaba GMO ni hatari kiafya na vimetengenezwa mahususi kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi. Je ukweli upoje kuhusu jambo hili?
  19. JamiiForums Tanzania Majaribio ya mbegu

    Habari wana JF, Nimekuwa nikijaribu sana kuweza kuotesha mazao mbalimbali katika bustani yangu Salasala hii yote ni kutaka kujifunza zaidi kwasababu ni kazi nayoipenda sana. Zoezi 1 Nilijaribu kuotesha mbegu mbalimbali za machungwa, chenza na limao kupitia machungwa tunayokula na pia...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Vyuo Vikuu vya Kilimo Afrika Mashariki ni wakati wa kutolala usingizi kwa kutupa tafiti za Mbegu za GMO

    Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuwa na Vyuo vikuu bora katika maswala ya kilimo Afrika. 1. Kenya- Egerton University; Jomo Kenyata University of Agriculture & Technology 2. Tanzania- Sokoine University of Agriculture Sasa baada ya Kenya kuruhusu matumizi ya mbegu za GMO, wasomi kutoka Vyuo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…