mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Kwambali naanza kuielewa system yanatokea hayatokei kwa bahati mbaya chadema wanasaidiwa Ila hawaoni

    Kinachofanywa na dola kwasasa dhidi ya chadema kimevuka mipaka ya uvumilivu. Na ni Jambo linalojirudiarudia hii maana yake haya mambo yanapangwa na kuratibiwa makusudi. Pengine system inafanya hivi ili kuichonganisha ccm na wananchi ili waiprovoke jamii halafu jamii ifanye Kama tahrir square...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Antonio Nugaz, ni saa ngapi unaenda kukinukisha Yanga SC baada ya kukereka na dharau uliyoonyeshwa?

    Mnajifanya kufichaficha wakati juzi Nugaz na Manara walijibizana vibaya na Mmoja Kutukanwa Tusi kubwa hadi likamlevya na Kuota kuwa kapata Ajali. Halafu na Wewe Comrade wangu kabisa Hassan Bumbuli acha kuwa Muoga na Mnafiki kwani tukiwa Kijiweni unawakandia GSM kuwa wanaiharibu Yanga SC ila...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Haji Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo

    "Nimenusurika katika Ajali mbaya baada ya Gari yangu Kugongwa vibaya Usiku wa Jana", Haji Manara. === HAJI Manara amepata ajali usiku wa kuamkia leo baada ya gari lake kugongwa na kuharibika "vibaya". "Usiku wa jana nilinusirika na ajali mbaya ya gari baada ya gari yangu kugongwa vibaya na...
  4. JamiiForums Tanzania Hizi kauli za IGP za karibuni ni bahati mbaya, makusudi, mazoea au kuchoka?

    Kwa heshima na taadhima naomba niweke mada hapa. Recently Mzee Sirro ambaye inasemekana ni "Mseminari" MTU mwenye staha, heshima, utu, hali uzazi (mzazi), kiongozi; amekua akitoa matamshi ambayo kwa kweli hayaangukii katika hizo sifa ambazo Mimi binafsi niliwahi kushuhudiwa kuwa anazo. Kauli...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tunaposema Jezi mpya ya Yanga SC ni mbaya na mbovu muwe mnatuelewa, Asante Oscar Oscar kwa leo Kupiga Dongo la maana huko Yanga SC

    "Tafadhali kama kwa bahati mbaya umempoteza au umepotezana na Ndugu yako kwa muda mrefu jaribu kumuangalia katika Jezi mpya ya Yanga SC unaweza ukampata" Chanzo: Mchambuzi EFM na TvE Oscar Oscar Wakati Oscar Oscar ( ambaye Personally ) namjua ni Simba SC lia lia alipochukua Fomu ya Kugombea...
  6. JamiiForums Tanzania Dola yapanda, hali ya uchumi ni mbaya

    Wakati serikali ya awamu ya 6 ikiwa haina mkakati wowote madhubuti wa kuimarisha uchumi, dola imeonyesha kupanda na kuwa zaidi ya Tzs 2310. Watanzania tuendelee na drama zetu na matamko, tutakutana mbele ya safari tukiwa hoi
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kati ya Rushwa hizi mbili, Rushwa ipi ni mbaya zaidi

    1) Mtu ana Mali yake mbovu, na anajua kwamba ni mbovu, anahonga ili itoke haraka. 2) Mtu ana Mali yake safi kabisa, na anajua kwamba ni safi kabisa, anahonga ili itoke haraka.
  8. JamiiForums Tanzania Sio mbaya kuiga ubunifu huu wa majirani ili kupunguza tatizo la ajira

    Majirani zetu wa Kenya wameanzisha programu ya kuwafundisha na kuwawezesha vijana wao kupata skills na miundombinu ya kufanya kazi kwa kutumia mitandao. Kwenye program hiyo mamia ya vijana wamefundishwa utaalamu wa kucode, kuresearch, coprywriting na kazi nyingine kibao ambazo watu wengi wa...
  9. JamiiForums Tanzania Ushindi wa UPDP Zambia wachina wana hali mbaya

    ukipita barabara ya Tunduma Nakonde kuelekea Lusaka utakutana na wachina waliojazana Zambia wakiishi kama raia wa kawaida opposition walisema watashughulika na hawa watu walioletwa na serikali ya PF. Africa tuna kazi sana kwa kweli
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vazi lenye nasaba na dini kuvaliwa na Askari kanzu katika Ukamataji linatupa tafsiri mbaya kimataifa kama nchi

    Moja ya Askari aliyeshiriki Ukamataji Kisutu amefunga kitambaa ambacho uvaliwa na waumini wa dini flani hasa kipindi Cha mfungo na sikukuu kuashiria vazi lenye star na linaloitambulisha dini hiyo kwa watu wengine. Inapotokea Askari akavaa vazi Hilo na kufanya Ukamataji Tena unaodhaniwa kwenda...
  11. JamiiForums Tanzania Vijana kuweni makini na rangi za nguo mnazovaa, nyingine zina maana mbaya sana

    Hizi rangi zimevamiwa sana na vijana wa kitanzania tena bila hata kujua maana yake. Hizo ni rangi zinazounga mkono jamii ya mapenzi ya jinsia moja lesbian, gay, bisexual, transgender, intersex, queer/questioning, asexual. (LGTBQ) nilianza kuona hizi rangi lakini sikuelewa maana yake...
  12. JamiiForums Tanzania Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

    Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii. Wamekufa papo hapo. Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.
  13. JamiiForums Tanzania Kama aliyepita alipigwa muhuri wa udikteta akaanguka, jina la Jezebel linaanza kupata umaarufu taratibu hiyo ni ishara mbaya

    Kama kawaida yetu sisi wapenda nchi hii kwa uzalendo usio na Shaka. Tunakuja Tena na maonyo ya kuonya na kuwakumbusha watawala. JINA LA UDIKTETA ALIWEKEWA NALO MUHURI ALIEPITA MPAKA AKAFA NALO. JINA LA JEZEBEL LINAANZA KUPATA UMAARUFU NA WASIOSOMA BIBLIA SASA WANAANZA KUMTAFUTA JEZEBEL ALIKUWA...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Utekaji uliofeli: Nadhani Mbowe angepelekwa kusikojulikana

    Yaani salama mimi sio wa siasa kutokea Chdema ni mpiga debe wa siasa kwa ujumla iwe CCM au wengine,sasa hili la kukamatwa kwa Mwenyekiti wa Chadema naona limenigusa ni sawa na kutekwa kwa Mwenyekiti wangu wa CCM, awe wa ngazi ya Taifa au ya Tawi . Nihisivyoa utekaji wa mwenyekiti wa Chadema...
  15. JamiiForums Tanzania Serikali itenge fedha za kukarabati shule za Msingi nchi nzima, hali ya shule hizo ni mbaya

    Kwenye bajeti ya Serikali juu 2021/22 sijaona fedha zilizotengwa na Serikali kukarabati shule za Msingi Tanzania. Shule nyingi za Msingi Tanzania sasa zimekuwa magofu. Hapa Kilosa Mkoa wa Morogoro kuna shule ya msingi inaanguka.
  16. JamiiForums Tanzania RC Mtaka: Hali si shwari Dodoma. Wananchi waendelee kuchukua tahadhari dhidi ya Virusi vya Corona

    Mkuu wa Mkoa wa Dodoma, Anthony Mtaka amewataka wakazi wa Dodoma kuchukua hatua za tahadhari dhidi ya ugonjwa wa corona kwa sababu hali si nzuri mkoani humo. Ameyasema hayo leo Jumanne Agosti 3, 2021 wakati akizungumza na askari wa usalama wa barabarani na viongozi wa masoko wa mkoa wa Dodoma...
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC01 Matatizo makubwa yanazaliwa kwa utatuzi mbaya wa tatizo dogo

    Kilichonifanya niandike ujumbe huu ni baada ya kukutana na kisa kimoja kilichonitoa machozi. Ilikuwa kama mida ya saa saba mchana rafiki yangu (jina nalihifadhi) alinifata nyumbani kwangu napoishi, nilimkaribisha ndani bahati nzuri alifika mda ambao nilikuwa napata chakula cha mchana na familia...
  18. JamiiForums Tanzania Ushawahi kupost bahati mbaya picha au video ya ngono kwenye group la familia au ukoo?

    Yaaani unatamani kuvunja simu lakini ndio huwezi yaaani unabaki kuleft tu.
  19. JamiiForums Tanzania Mgala muueni haki yake mpeni, na tusisahau baniani mbaya kiatu chake dawa

    Huu ndio muonekano wa Hospitali ya Uhuru iliyopo Wilayani Chamwino Mkoani Dodoma , Ujenzi wa hospitali ya Uhuru umegharimu kiasi cha Shilingi Billioni 3.9 (Milioni 3900). Ujenzi wa hospital ya uhuru ni agizo la aliyekuwa Rais wa Tanzania John Pombe Magufuli alilolitoa kwa kusema fedha...
  20. JamiiForums Tanzania Watanzania acheni roho mbaya

    Yaani watanzania wana roho mbaya nyie. Mtu eti anamwomba mtu msaada basi hawezi kumpa mpaka amzungushe au adai penzi. Acheni hii tabia itawacost nyie. Nipo sure hizi roho za kwanini zitawacost. Nimesema ukweli nasio uongo. Mwanaume mzuri wakila kitu na bado anaroho mbaya kutoa usaidizi ni...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…