Ajali mbaya Ilula: Basi limegonga na kuua waendesha bodaboda wawili

Basi limefyeka waendesha bodaboda wawili Ilula mabandani asubuhi hii.

Wamekufa papo hapo.

Safari yangu na siku yangu imeharibika asubuhi hii kwa kuona maiti.

Umeandika kama mtu mwenye wenge la kuona ajali mbaya...
 
Ndio maana kuna elimu maalum ya kufikisha taarifa kwa umma.

Hadhira ingependa kujua machache kuhusu tukio hilo

Basi gani?
Lonatoka wapi kuelekea wapi?
Chanzo cha ajali?
Vifo vingapi?
Majeruhi wangapi?
Kuna uharibifu wa mali? Ni nini?
Aliyesababisha ajali amechukuliwa hatua gani?

Kipi kinaendelea kwa wafu na majeruhi?
Kamanda wa polisi anasemaje?

Abiria waliosalia wana maoni gani?

Na kadhalika
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom