mbaya

The Mbayá or Mbyá are an ethnic group, commonly called "Indians", which formerly ranged on both sides of the Paraguay River, on the north and northwestern Paraguay frontier, eastern Bolivia, and in the adjacent province of Mato Grosso do Sul, Brazil. They have also been called Caduveo. In the 16th century the Mbayá were called Guaycuru, a name later used generically for all the nomadic and semi-nomadic Indians of the Gran Chaco. The Kadiwéu people of Brazil are the surviving branch of the Mbayá.The Mbayá called themselves the Eyiguayegis 'people of the palm', a reference to the abundant palm trees in their home country. (The name Eyiguayegis is similar to that of Agaces or aigeis, a name more often applied to the related Payaguá. Possibly the two peoples were nearly the same in the 16th century.) The Mbayá spoke a Guaycuruan language. They were "formidable" fighters and "kept the Europeans – settlers and priests alike – at bay" for more than 300 years.The Mbayá were nomads. With horses captured from the Spanish, the Mbayá developed an equestrian culture by about 1600 and were a serious threat to Spanish and Portuguese settlers, missionaries, and governments in Paraguay, Bolivia, and Brazil until near the late 19th century. They also raided and subjugated other Indian groups, notably the Guana. They were generally friendly with the Payaguá, who lived along the Paraguay River and had a riverine culture.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hivi mtu akicheza rafu mbaya mpirani anaweza kushtakiwa mahakamani?

    Kuna zile rafu za makusudi na zilizodhamiria kujeruhi. Mtu akicheza rafu kama hiyo kwenye mpira wa miguu au mchezo wowote ule, anaweza kushtakiwa mahakamani kama mhalifu? https://www.instagram.com/reel/C5E8G_TsS26/?igsh=MXg3dzh1YTNrZ2xnNQ==
  2. N

    JamiiForums Tanzania KERO Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya, mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi

    Hali ya Soko la Ndizi Mabibo ni mbaya mamlaka ziwajibike kwa kufumbia macho kero ya Wananchi. Hali Soko la Mabibo maarufu kama soko la ndizi inasikitisha hasa kipindi hiki ambacho mvua inaendelea kunyesha kwa mfululizo, karibia kila kona kwenye soko hilo ni tope tope, katika hali ya kushangaza...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Uratibu mbaya wa makadirio ya kodi ndiyo sababu kubwa ya ukwepaji kodi

    Mimi ni mtaalamu wa fedha na kwa mawazo yangu tatizo la kodi na TRA linaanza na uratatibu mbaya wa ukusanyaji wa kodi. Kuna kodi za aina mbili kubwa 1. Kodi za mauzo. Kwenye kodi hizi ambazo kwa ulewa wangu ni 18% mlipa kodi sio mfanyabiashara mfano mwenye duka. Mlipa kodi ni mnunuzi na mwenye...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Ikitokea upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, sabuni ikakudondoka, achana nayo usiiokote

    Ikitokea umefungwa, upo gerezani bafuni unaoga na wafungwa wenzako, bahati mbaya sabuni ikakudondoka, Achana nayo usiiokote. Utakuja kunishukuru baadae.
  5. Z

    JamiiForums Tanzania Wakuu nina hali mbaya sana, nisaidieni kazi au connection ya kazi. Naona kiza

    Habari zenu wakuu. Ni kijana mtanzania nina miaka 27. Kipindi ninachopitia kwa sasa kinanifanya kuwaza mambo mengi sana pasipo kupata majibu ya kueleweka. Hadi kufikia kuja humu basi ujue hali imekuwa sio hali. Najua hatufahamiani humu, lakini haimaanishi mtu hawezi kupata msaada. Napitia...
  6. JamiiForums Tanzania KERO Hali ya upatikanaji wa maji baadhi ya maeneo ya Mbeya ni mbaya

    Habari za muda huu wana JF, Licha ya kuwepo kwa mvua nyingi na vyanzo vingi vya maji katika mkoa wetu huu wa Mbeya lakini maeneo mengi yamekumbwa na ukosefu mkubwa wa maji. Kwakweli hali ni mbaya, mfano, hapa mtaani kwangu ni kama mwezi hivi sasa hakuna maji na kama yakitoka basi hutoka usiku...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Jioni yangu imekua mbaya ghafla😩😩😩😩😩

    Nimeandaa matunda parachich, Tango,Ndizi,passion,mchaichai Na tangawizi Ni juisi yangu pendwa Sana Huu mchanganyiko . Nikasema niandae zangu baadae nikae nawatch movie huku nashushia juisi yangu....nimeanza kusaga tu Brenda ikaungua😭...Yan nimeishiwa pozi...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Paccome, Aucho na Yao kukosekana ni jambo la bahati mbaya sana

    Kukosekana kwa hao wachezaji kunanipunguzia sana matumaini ya Yanga kufanyanya vizuri na ninaona kama Yanga wana bahati mbaya ingawa bado wanaweza kufanya vizuri kwa kikosi kilichotangazwa kuanza katika mechi ya leo. Nimekumbuka ile fainali ya kombe la CAF ya mwaka jana ambapo Aucho tena...
  9. JamiiForums Tanzania Huenda hii ndiyo ajali mbaya zaidi ya mwendesha bodaboda nchini 2024

    Imetokea jana hapa mkoani Arusha eneo karibu na kiwanda cha mbolea cha Minjingu. Hapo chini kuna pikipiki na mtu ambaye tyre ya gari imepanda kichwani na juu ya chuma jirani na kioo cha mbele na roof huyo ni afisa usafirishaji baada ya kuchapwa ndiye katulia hapo jumla. Kwa muonekano huo wa...
  10. JamiiForums Tanzania KERO Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani (Tegeta A)

    Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo. Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Madhara ya sera mbovu za awamu ya tano zimeanza kuonekana awamu hii

    Kipindi Cha Magufuli shule binafsi zilipata kibano sana na nyingi zilifunga biashara kwa kuwekewa mikodi kibao na wazazi wengi kuondoa watato wao kwa sababu ya vyuma kukaza kila kukicha mana watu walikuwa wanapoteza kazi daily kwenye sector binafsi. Sector binafsi ilikufa kabisa mfano mabank...
  12. JamiiForums Tanzania Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

    Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika tishu hizo ( Tonsil) Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi /...
  13. G

    JamiiForums Tanzania Tuwe makini sana na simu. Sitokuja kusahau siku niliyoposti kwa bahati mbaya status ya pilau 18+ na simu ikazima, kijasho kilinitoka

    Ni 2017 nilikuwa nachati na wadau whatsapp mida ya saa tatu usiku, muda huo umeme ulikuwa umekatika, simu ikawa inakaribia kuisha chaji nikaona sio mbaya niweke status kabla simu haijazima. Nikiwa nimeingia sehemu ya status kwenye gallery ghafla ni kama nilimis touch nikachagua video ya x...
  14. JamiiForums Tanzania Uvumbuzi huu umefanywa na wasomi wazawa

    Madaktari pamoja na wafamasia wetu wamegundua namna ya kuiba dawa na kuzipeleka kwenye maduka yao binafsi bila kushikwa. Wahandisi wetu wa ndani wamegundua namna nzuri ya kuiba pesa za miradi bila kushikwa. Wakuu wa shule nao hawako nyuma wamegundua namna ya kuiba pesa za ruzuku bila kushikwa...
  15. P

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Chini (Barabara ya Mwaikibaki) ni hatari kwa watembea kwa miguu, mpaka itokee ajali mbaya ndio ifanyiwe kazi?

    Wakuu kwema? Niende moja kwa moja kwenye mada. Barabara hii mbali na kuwa ni kero kwa watembea kwa miguu lakini pia ni hatari sana kwa usalama wao. Kwanza hakuna njia kwaajili ya watembea kwa miguu, halafu maajabu ni kwamba kuna vivuko kwaajili ya watembea kwa miguu. Sasa unaweka vivuko...
  16. JamiiForums Tanzania Waliotaka kuizunguka katiba wasilaumiwe, ilaumiwe CCM

    Mahojiano aliyoyafanya mkuu wa majeshi mstaafu yametufungulia kaupenyo kwenye dirisha la kilichokuwa kinaendelea kwenye siku za mwisho za uhai wa Rais Magufuli. Kitendo cha mkuu wa majeshi na wenzake waliokuwepo wakati Rais Magufuli anavuta pumzi yake ya mwisho na ‘sintofahamu’ iliyojitokeza...
  17. JamiiForums Tanzania Mchele wa msaada haukuja kwa bahati mbaya, ni baada ya Benki ya Dunia kuitahadharisha Tanzania kupunguza kuzaliana, CCM mnapunguziwa wapiga kura

    Sikushangaa kuona mchele wenye virutubisho. Huo haukuja kwa bahati ni baada ya siku mbili tu kupita baada world bank kuitahadharisha tanzania juu ya wananchi wake kuendelea kuzaliana kwa wingi bila kikomo kama walivyoambiwa na shujaa Magufuli wazaliane mpaka mayai yaishe. Wakaenda mbali kwa...
  18. JamiiForums Tanzania Je uke wa umpendaye unatoa harufu mbaya? Msaidie kwa kufanya hivi.

    Je, Uke Wako Unatoa Harufu Mbaya? Hii Ndio Jinsi ya Kumaliza Tatizo Lako Wanaume wengi kila kukicha huwa wanalalamika kuwa inaboa na inakera kupeana Raha na Utamu na Mwanamke ambae sehemu zake za siri zinanuka. Inawatoa out of the mood, mwisho wake wanaconcetrate kudo fasta, wamalize hamu zao...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Siku yangu ya kwanza kuingia ofisi za kubeti kwa bahati mbaya

    Salaam, Shalom! Siku moja nilitoka nyumbani kwangu nilipanga kwenda mjini kununua baadhi ya mahitaji muhimu ya vifaa vya umeme, Niliondoka nyumbani majira ya saa tisa hivi, baada ya nusu saa, nilifika mjini, Sasa Pana duka la vifaa vya umeme kubwa nililokuwa nikitumia kununua mahitaji yangu...
  20. JamiiForums Tanzania WanaJF wengi wanaandika maoni yao kwa kuangalia “reply” za mwanzoni ? No critical thinking

    Watu wanajinasibu kua critical thinkers lakini si kweli, wengi ni bendera kufata upepo, Kwanini mtu anapoona andiko asilifikirie kisha akaandika kile anachokiona? Badala yake anaandika kutokana na mkumbo wa reply za mwanzo? Mada pekee utaona watu wanatifautiana regardless ya comments za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…