Fahamu mawe ya kwenye Koo yanayosababisha harufu mbaya ya Kinywa

Lady Whistledown

JF-Expert Member
Aug 2, 2021
1,024
1,616
Uchafu utokao kooni ulio kama vimawe vidogodogo (tonsil Stones) husababishwa hasa na mabaki ya chakula, seli zulizokufa na uchafu mwingine, unaposhikiliwa katika
tishu hizo ( Tonsil)

Mabaki hayo hubadilika na kuwa magumu hadi kutengeneza uchafu kama vimawe vidogo (Tonsil calculi / Tonsilloliths), wakati mwingine uchafu huo huweza kuumiza koo au tishu hizo ambapo uchafu huo hujikusanya.

* Huonekana kama uchafu mgumu wa njano au mweupe, hutofautiana ukubwa, na uchafu huo mkubwa zaidi uliwahi kurekodiwa mwaka 1936 na ulikua na upana wa sentimita 14.5.

*Tonsil ni tishu zinazopatikana mwishoni mwa koo, kila upande, kushoto na kulia. Husaidia kupambana na maradhi ambayo huweza sababishwa kwa njia ya mdomo na pua, husaidia kuzuia bacteria, virusi na wadudu wengine na kisha kuiongoza kinga ya mwili kupambana na vijidudu hivo.

Je, Dalili zake ni Zipi?

Harufu mbaya sana, pale vimawe vinapotokea, kwasababu vimawe hivo huwa vinapelekea bacteria kuzaliana na hivo kutengeneza harufu mbaya (foul smelling sulfides)

Hali ya kuhisi kama kuna kitu kimekwama katika koo au sehemu ya nyuma ya ulimi

Kujihisi maumivu au msukumo katika masikio

Kuvimba katika hizo tishu za Tonsils, kama unavyoona kwenye picha, mtaani tumezoea kusema " Kuvimba matonses "

Matibabu ya uchafu huu (Tonsil Stones) huweza tibika nyumbani. Kama mtu atasukutua koo lake vizuri huweza kutoa mawe hayo ya uchafu

Pia waweza jitazama koo lako kwa kutumia kioo kisha ukatumia cotton swab (pamba au kifaa kingine kilaini kisichokuumiza) kisha kandamiza taratibu kuizunguka tishu, vimawe hivyo vitatoka. Sukuma kwenda uelekeo wa mdomo na sio kuelekea koo ili usivimeze.

Kuwa mwangalifu usitumie nguvu kukandamiza wala usitumie kitu chochote kinachoweza kuumiza au kukwangua koo lako

3. Kama vimawe hivyo / uchafu (tonsil Stones) vitakua vinauma na kukufanya kushindwa hata kumeza chakula/ kinywaji, basi tumia maji ya vuguvugu yenye chumvi na usukutue koo lako, fanya kama unayachezea maji kooni bila kuyameza (gargling) ili uvitoe na kusaidia hivo vimawe vya uchafu kuyeyuka au kutoka

¿ Je, nimuone daktari wakati gani?

Waweza muona daktari endapo;
Mtu atakua na dalili zote lakini vile vimawe havionekani

Endapo kutoa uchafu huo nyumbani utashindikana au kiasi kidogo tu ndio kimewezekana kutolewa

3. Endapo tishu (Yani zile sehemu mbili mwishoni mwa koo ambazo uchafu huwepo) zitakua nyekundu na zinazouma sana

4. Endapo Utahisi maumivu makali mara baada ya kutoa hayo mawe (uchafu)

* Kiufupi ni ngumu kujikinga moja kwa moja kutoka kwenye vimawe hivi (tonsil Stones)., kama hujawai huviona basi utakua unavimeza bila kujua maana unaweza hisi kama kuna kitu hujakimeza na kipo mwisho wa ulimi (kooni)

Hivo basi sina maana kwamba huwepo wakati wote kwa kila mtu, hapana, hutokea tu kwa vipindi Fulani kutegemeana na visababishi nilivyovitaja awall. Kwahiyo njia
Apekee ya kujikinga kwa asalimia 100% kutoka kwenye vimawe hivo ( tonsil Stones) ni kwa kufanyiwa upasuaji wa kuondoa Tonsil (tonsillectomy)

NOTE :(Soma sehemu zilizopita uweze kuelewa hizo tonsil ni nini na zinafanya kazi gani).

* Hivyo basi usafi wa kinywa ni jambo la msingi kabisa. Swaki mara angalau mara mbili kila siku, na badili mswaki kila baada ya mwezi ukitumia dawa zenye fluoride (Mfano Colgate n.k)

Pia matumizi ya mouth wash husaidia sana kuua bacteria kinywani

Sukutua kinywa chako mara kadhaa kila siku, husaidia kuondoa mabaki ya chakula na uchafu kwenye kinywa. Maji unayosukutulia wekea limao na ukae nayo kwa sekunde kadhaa mdomoni na sehemu ya koo

4. Matumizi ya vitunguu swaumu na vitunguu maji pia husaidia kupambana na vijidudu kinywani na maeneo mengine pia

Chanzo: Mtaalamu wa Afya
Pharm_Solomon (Instagram)
 
Hahaha kuna siku nilikuwa nimekuwa wali basi badae nikahisi uwepo wa mabaki nikajua ni punje ya mchele nikakitafuna asee 🤣🤣🤣🤣😨
 
Hasa wanaume wanaozama chumvini ni athari moja wapo
 
Mimi iliwahi kunitokea nilichanganyikiwa nilihisi nina tatizo kubwa la koo.Ila nilikuja kugundua ni Tonsil Stones baada ya kugoogle google na nilifata maelekezo kadhaa ila iliyonisaidia kupona ni kubadili mswaki na dawa(Colgate) na nilitumia Mouth wash(Listerine)….Na kusukutua na maji ya uvuguvugu yenye chumvi lwa mda fulani hadi ilipotea hiyo hali na mpaka leo haijawahi kujirudia.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom