Serikali kupitia TARURA msikie kilio cha watu wa Goba mpakani Tegeta A

Mshobaa

JF-Expert Member
Apr 7, 2013
1,678
595
Kwa kweli kuna hii barabara inaanzia hapa Tegeta A hadi goba mpakani hali ni mbaya sana. Imefikia hadi watu wanahama makwao kutokana na hali ya usafiri wa eneo hili kua mgumu kupitiliza, baada ya daladala kukimbia kutoa huduma eneo hilo.

Hali ya hii barabara inatisha sana ni ajabu wameshindwa hata kuichonga walao mara moja iwe inapitika. Naiomba serikali iiangalie kwa mapana barabara hii maana pia wapo walipakodi wengi tu lakini kwa hali hii inasababisha uchumi wa eneo hilo kudorora na hali ya maisha kua juu.
 
Poleni sana thed weld dwellers. Ngoja nitulie zangu hapa kwenye mansion yangu Beverley hills na girl friend wangu huku nimelala chalii pembeni mwa swimming pool akinilisha zabibu kwa kuning'iniza mdomoni mwangu.
 
Sawa sawa mkuu kula maisha wakati ndio huu
 
Kwa anayemjua diwani wa eneo hilo jamani tumtaje hapa aje kutoa maelezo
 
Back
Top Bottom