maziwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea

    Jirani yetu wa kike analalamika Wachungaji walikuwa wakimtekenya maziwa walipokuwa wakimuombea Alidai kwamba walipokuwa wanamuombea walikuwa wakimlazimisha ajibu maswali waliyokuwa wanamuuliza Katika hali hiyo akawa amechukizwa na maswali yale na kuwa katika hali ya ukimya Walipoona hataki...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta ng’ombe wa kisasa wa maziwa

    Natafuta ndama wa ng’ombe wa kisasa wa maziwa. Itafaa zaidi wakipatikana mkoani Mbeya. Kitulo siku hizi wameshindwa kabisa kuendana na demand iliyopo. Hivyo hivyo Uyole wameshindwa.
  3. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ukifuga hata ng'ombe mmoja tu wa maziwa, mwajiriwa hakufikii

    KUMBUKIZI 📌 Hapa tulipata fursa ya kumtembelea Mzee Hassan Migeto, mfugaji wa ng’ombe wa maziwa kutoka Mkuyuni – Mwanza. Alitueleza kwa uwazi safari yake ya ufugaji, changamoto alizokumbana nazo mwanzoni—ikiwemo kukosa ng’ombe bora na uhaba wa malisho ya uhakika. Kupitia kujifunza, kufanya...
  4. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Usifuge ng’ombe wa maziwa bila kufahamu haya, utafeli

    SOMO FUPI (LILILOFANYIWA UTAFITI): Mambo ya Kuzingatia Kabla ya Kununua Ng’ombe wa Maziwa Lengo la somo: Kuwezesha mfugaji au mwekezaji kufanya uamuzi sahihi, wa kitaalamu, na wa faida kabla ya kununua ng’ombe wa maziwa, ili kuepuka hasara zinazotokana na maamuzi ya haraka au taarifa zisizo...
  5. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi

    Ng’ombe mmoja wa maziwa anaweza kukupa mapato ya hadi TZS 900,000 kwa mwezi — si kwa bahati, wala miujiza, bali kwa maarifa sahihi, mipango thabiti, na ufugaji wa kibiashara unaoeleweka. Changamoto kubwa kwa wafugaji wengi ni 1.kukosa ng’ombe bora, 2. kukosa mfumo sahihi wa kufuga kwa faida. 3...
  6. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Je, unajua ng’ombe wa maziwa anaweza kukuletea mapato ya uhakika kila siku—hata zaidi ya bodaboda?

    Chukua mfano wa ng’ombe mmoja bora wa maziwa: ➡ Anaweza kutoa wastani wa lita 15–20 kwa siku ➡ Kwa bei ya sasa ya soko (maeneo mengi TZS 2,000 au zaidi kwa lita), hii ni sawa na: TZS 30,000–40,000 KILA SIKU kutoka kwa ng’ombe mmoja tu. Fanya hesabu kwa Mwezi utakua na bei gani? Na tofauti na...
  7. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Haki ni kama ng’ombe wa maziwa na amani ni kama maziwa!

    Kuna watu wengi wamekuwa wakitumia muda wao mwingi kuhubiri amani bila hata kutaja tu neno haki. Kwa maoni yangu, hawa wameshindwa kutumia muda wao wisely. Wanapaswa wawekeze zaidi katika kuhubiri haki, kwasababu haki ikitamalaki amani itapatikana automatically, more or less. Analogically...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania Siwezi shangaa Dar kukosa maji maana hata sehemu zenye maziwa maji hakuna

    Hawa watawala ndio wameishia uwezo wao. Sio dar kuwa na ukosefu wa maji au matatizo ya kukosekana maji. Hata sehemu zilizozungukwa na maziwa maji yana kosekana Nchi imekosa ubunifu wa kutatua shida za maji.
  9. scientificall

    JamiiForums Tanzania HODI TANGA YA MAZIWA NA ASALI

    Nimekuja kumalizia likizo yangu jiji la upendo na ukarimu kwa wageni hapa. Please wapi naweza pata kampani ya sex tofauti namaanisha pisi kali tule maisha sina kipengele just for enjoyment. Wenye ramani ya machimbo nielekezeni nkatembee na kujionea yasemwayo. Nipo tanga mjini
  10. ngara23

    JamiiForums Tanzania Tanzania pekee ndo hajaalikwa kwenye utiaji saini wa amani Kati ya DRC na Rwanda huko USA

    Rais Donald Trump amealika nchi zote za maziwa makuu kwenye tukio la kutia sain makunaliano ya amani baina ya DRC na Rwanda maarufu kama "Washington Accord" Kilichonishtua zaidi Tanzania haikualikwa licha ya kuwa na mchango mkubwa wa kupigania amani ya Mashabiki mwa Congo Wanajeshi wetu wengi...
  11. President of China

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeunga mkono ajenda zote katika Mkutano wa tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR)

    Tanzania imeunga mkono ajenda zote muhimu zilizojadiliwa katika Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR). Makamu wa Rais, Balozi Dk Emmanuel Nchimbi alisema hayo wakati akimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano huo uliofanyika...
  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi ashiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) Jijini Kinshasa

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Emmanuel John Nchimbi ameshiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi wa Jumuiya ya Ukanda wa Maziwa Makuu (ICGLR) ukiwa ni mkutano wake wa kwanza kushiriki nje ya mipaka ya Tanzania kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, tangu alipoapishwa...
  13. Imani rubaba

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Ng'ombe wa maziwa-fursa inayoibuka kwa kasi

    Kwa sasa, ufugaji wa ng’ombe wa maziwa ni moja ya miradi inayoshika kasi zaidi Tanzania. Kila siku tubapokea simu kutoka kwa watu binafsi, taasisi, makanisa, wastaafu na vijana wanaotaka kuanza — na hii si bahati nasibu, ni mwelekeo mpya wa kiuchumi unaojenga ajira na uhakika wa kipato. 💡 Kwa...
  14. Nitaenda Misaa yaTatu

    JamiiForums Tanzania Mwachiluwi Kwenye pishi hili la vitafunwa naweza kutumia maji badala ya maziwa? Sipendi maziwa mimi

    Mwachiluwi Karibuni wale wote wapenda mapishi mimi napenda sana kujifunza kila leo. Changamoto yangu maziwa situmii japo hata nikitumia huwa hayana madhara yoyote. Je naweza kutumia maji mbadala wa maziwa na ladha ikabaki vilevile?
  15. Scott junior

    JamiiForums Tanzania Michikichi ya maziwa naipata wapi?

    Wakuu habari , hivi naweza ipata wapi? Michikichi ya maziwa au kwa kiingereza milk thistle
  16. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Ukifanya mzaa unaweza kufa njaa kwenye nchi ya asali na maziwa

    Mbeya vyakula ni bei nafuu lakini amini nakwambia kuna watu wamelala na njaa huko Mbeya. Ukiwa na access ya kupata milo mitatu per day brother wewe umefanikiwa tembea kifua mbele mengine ni minor issues utazisolve ukiwa umeshiba. Mungu amuongezee neema mwarabu wa Africable pale Mivinjeni kwa...
  17. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia

    Mikoa inapakana na maziwa, mito, chemchem ila wanakosa maji, maajabu ya Dunia.. Unakuta kimji kidogo kiwilaya ila watu wanakosa maji kweli? Basic human need ..nchi hii..huku wengine Wana bilioni 20 kwenye akaunti, wengine wananunua vifaa vya ujenzi vya bilioni 2+, wengine hata tunapewa Dole la...
  18. haszu

    JamiiForums Tanzania Kuna muda unatamani wanaume wangekua na maziwa, wakanyonyesha mtoto

    Mtoto anapokua mchanga ananyonya sana na kukesha usiku, inafikia hatua mama anaumwa hadi kiuno. Kama wanaume wangekua na maziwa, wangesaidiana katika kulea na kunyonyesha mtoto. Mambo yangekua mepesi kidodo. Sikosoi mpango wa Bwana, am just thinking.
  19. L

    JamiiForums Tanzania Hata ashushwe Malaika kuja kuwaongoza Watanzania Bado Watapiga Makelele na kutaka awafanyiage miujiza ya kuwawekea Mabomba ya asali na Maziwa Midomoni

    Ndugu zangu Watanzania, Watanzania hawaeleweki wanataka nini siku zote, Watanzania hawaelewi wanahitaji nini Maishani Mwao. watanzania hawana shukurani wala kuridhika wala kutosheka wala kusema asante kwa juhudi zako . Wao kila kitu kwao ni kibaya. Leo watataka hiki lakini kesho ukiwapa...
  20. G

    JamiiForums Tanzania Nauza maziwa. Niko Dodoma

    Nauza maziwa mgando na freshi nipo dodoma maili mbili free derivery kwanzia lita 5 ni Shilingi elfu kumi(10000) ndani ya dodoma Piga 0613929286 kuweka oda yako nikuhudumia karibu sana. Pia kwa wamama ambao wanatamani kufanya hii biashara nipigie nikupe maelekezo
Back
Top Bottom