Mkuu tugaie hio bei wanaendaje hao ndama majike wa mazima bei inafika kimo gani?View attachment 3609361Wauzaji na wazalishaji wa ng'ombe wa maziwa makambako
0763 357 978
Kuwa Makini Ng'ombe Anauzwa Ila Bei HaijawekwaMkuu tugaie hio bei wanaendaje hao ndama majike wa mazima bei inafika kimo gani?
Ndama miezi mitano mpaka Sita ni 550,000 awe jike au dumeMkuu tugaie hio bei wanaendaje hao ndama majike wa mazima bei inafika kimo gani?