Biashara za Africa na waafrica zimejaa utapeli sana.
Unakuta mtu anauza kitu ila bei hataki Kuweka ,yote haya ni ule uhuni wa kwenye biashara.
Sioni Kuna ugumu Gani wa Kuweka bei ili kupunguza usumbufu.
Masoko makubwa ya mitandaoni yangekuwa yanaendesha biashara zake kwa namna hii ingekuwa tabu.
Weka bei,acha utapeli tapeli kwenye biashara yako,au hao ng'ombe sio wako