Leo 09:22am 27/06/2020
Rais wa tatu wa Malawi, Bingu wa Mutharika kipenzi cha Wamalawi,muanzilishi wa Chama cha DPP alichokianzisha 2005 na mwaka 2009 kilibeba viti vingi vya Wabunge bungeni,alifariki Mwaka 2012 akiacha sifa njema katika nchi ya Malawi.
Rais anayemaliza muda wake,Peter...