mazingira

The Mazingira Green Party of Kenya is a Kenyan green party. It was formerly known as Liberal Party of Kenya (LPK). At the 1997 Kenyan General Elections LPK fielded a presidential candidate, Wangari Maathai, who later became a Nobel Peace Prize laureate. Maathai was only a minor candidate. She did not win a parliamentary seat. In 2002, the next general elections were held and the Maathai-led party was part of the victorious NARC coalition. Maathai herself won the Tetu Constituency parliamentary seat.At the Kenyan general election, 2007, Mazingira was part of the newly created Party of National Unity led by President Mwai Kibaki. However, Mazingira also fielded own candidates. Mazingira won one parliamentary seat at the elections, after Silas Muriuki beat PNU candidate David Mwiraria to clinch the North Imenti Constituency parliamentary seat. Maathai was first outvoted at the PNU primary elections and therefore vied on Mazingira ticket, but at the parliamentary elections lost again to the PNU candidate.
The word Mazingira is Swahili for environment.

View More On Wikipedia.org
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watumishi wengi wa Halmashauri ya Manispaa ya Moshi hatupati stahiki zetu, pia kuna mazingira ya upendeleo

    Nimeona bora suala hili lifike kwenye mikono ya umma, kwani kuendelea kubaki kimya inamaanisha hali itakuwa ngumu na mazingira magumu ya kazi kwetu. Watumishi wengi wa umma Moshi tunafanya kazi kwa kujituma lakini linapokuja suala la kupata stahiki zetu za kisheria kama posho, malipo ya muda wa...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Ben Pol: Ukikutana na mazingira haya kwa mtu unayetaka kuanzisha nae mahusiano, ni bora uwe single

    Msanii wa bongo fleva Ben Pol ameanika mambo matatu kwenye account yake ya Instagram ambayo ukiyaona hauna budi uachane na hayo mahusiano 1. Kila unapompanga unaetaka kuwa nae kwenye mahusiano ukutane nae anakuambia Yuko busy bila kukupa alternative mfano umempanga ukutane jumamosi alafu...
  3. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Wataalamu wa gardening and landscaping designs

    MACDEGAMO Company Limited is a professional company that provides building maintenance services, environmental sanitation, home decoration, planting and landscaping, as well as house molding. We focus on providing high-quality services using skilled professionals, with the aim of ensuring that...
  4. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa gardening na mazingira yako

    MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu...
  5. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania MACDEGAMO - Wataalamu wa mazingira yako

    MACDEGAMO Company Limited ni kampuni inayobobea katika matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, landscaping na house molding. Tunatoa huduma bora, za haraka na zenye viwango vya kitaalamu ili kuboresha mwonekano, usalama na thamani ya majengo na mazingira ya wateja wetu...
  6. Pedeshee212

    JamiiForums Tanzania Mazingira Bora, maisha safi

    Kuhusu Sisi MACDEGAMO Company Limited ni kampuni ya kitaalamu inayotoa huduma za matengenezo ya majengo, usafi wa mazingira, mapambo ya nyumba, upandaji na utunzaji wa bustani (garden & landscaping), pamoja na house molding. Tunalenga kutoa huduma zenye ubora wa hali ya juu, kwa wakati na kwa...
  7. BigTall

    JamiiForums Tanzania Baada ya makongamano na shughuli za ibada Tanganyika Peaks–Kawe, nani anawajibika kwa usafi wa mazingira?

    Katika kipindi cha hivi karibuni, eneo la Tanganyika Peaks–Kawe limekuwa likihudumia shughuli mbalimbali kutokana na kufanyika kwa makongamano ya kidini, hususan ibada zinazoratibiwa na Kanisa la Arise and Shine (maarufu kama kanisa la Mwamposa). Viwanja hivyo vimeendelea kuwa na shughuli mbili...
  8. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uhifadhi wa mazingira wapewa kipaumbele katika mradi wa bomba la mafuta la EACOP

    Mshauri wa Masuala ya Mazingira katika Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP)Ester Ibrahim Shemdoe, amesema mradi huo umeweka kipaumbele katika ulinzi na uhifadhi wa mazingira kwa kuzingatia sheria na viwango vya kitaifa na kimataifa vya mazingira. Akizungumza kuhusu...
  9. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania EACOP Tanga: Ghati la Mafuta Lazingatia Mazingira

    Dkt. MABULA: Ujenzi wa ghati kwenye Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) Mkoani Tanga umezingatia uhifadhi wa mazingira ya bahari na viumbe hai Mradi wa EACOP umejenga ghati (jetty) la urefu wa takribani kilomita 2 Chongoleani, Tanga, Tanzania. Katika maelezo yake Dkt...
  10. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Kwa mazingira ya kisiasa kwa sasa hatuwezi kujipatia katiba mpya halali na yenye kutetea na kulinda haki za raia. Viongozi wote ni Null and void

    Kwanza kabisa niseme mifumo wa mahakama na bunge ni mifumo iliyoparalise na haina nguvu za kusimamia mchakato wa katiba mpya. Majukumu ya Bunge na Mahakama katika nchi yenye utawala wa sheria ni pamoja na Bunge (Legislature) 1. Kutunga sheria – kutengeneza na kupitisha sheria zinazotawala...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dampo la Murubona - Kasulu Kigoma ni Hatari kwa Afya na Mazingira

    Kero yetu ni uwepo wa dampo kubwa la takataka katika Kata ya Murubona, Wilaya Kasulu Mji, dampo hilo ni hatarishi kwa jamii inayozukwa na taka kwani ni chanzo kikubwa cha magojwa, lilianzishwa hapo Mwaka 2023. Harufu mbaya ya taka, wadudu wasumbufu imekuwa tatizo kubwa.jambo hili linakingiwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Jamii itawezaje kutunza mazingira ikiwa maeneno yanayozunguka Halmashauri ya Wilaya ya Kisarawe ni Machafu Hivi?

    Utunzaji wa Mazingira ni wajibu wa kila mmoja ikiwa maeneo yanayozunguka Halmashauri ni machafu hivi na miongoni mwa Taka zinazo tupwa nje hovyo zinatokea ndani ya Halmashauri Je! Jamii inawezaje kuhamasika juu ya utunzaji mazingira ? Kwa ujumla Hali ya usafi wa Mazingira ni mbaya kwa Kisarawe...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Mazingira ni maalumu kwetu tunaomba yapewe uwakilishi kwa kipekee Bungeni

    Kilimo, Ufugaji na Uvuvi ni sekta muhimu sana Kwa ustawi wa viumbe hai wa Leo na Kesho. Kilimo, Ufugaji, na Uvuvi haviwezi kuleta tija kama Mazingira hayatunzwi na kuhifadhiwa vizuri. Mfano: Tunahitaji mvua Kwaajili ya kupata maji lkn hatuwezi kupata mvua salama Kwa wakati sahihi bila kuwa na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Tunaomba uwakilishi maalumu wa mazingira bungeni kwasababu mazingira ni maalumu kwetu na kwavizazi vijavyo

    Lengo letu ni kuwashirikisha watu wengi kama sio wote kwenye majimbo yote. Ili waweze kupewa elimu kuhusu umuhimu wa kutunza na kuhifadhi Mazingira Kwa muda mfupi. Tena tutaweza kuwashirikisha watu wengi kupanda miti na kuigeuza Nchi yetu kuwa ya kijani jambo ambalo litasaidia upatikaji wa mvua...
  15. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Hivi ni kweli kuwa Kinyonga huwa anajibadili rangi kufanana na kila mazingira?

    Wakuu Uhalisia wa Kinyong kuwa na uwezo wa kujibadili kuendana na kila mazigira upo? Maana kuna muda kuna watu wanaambiana kabisa "oya wewe unauwezo wa kubadilika na mazingira kama kinyonga''
  16. Red black

    JamiiForums Tanzania Mpaka sasa nimejitahidi kupanda zaidi ya miti 700 tujitahidi kutunza mazingira kwaajili ya vizazi vijavyo

    Kupanda miti ni muhimu sana kwaajili ya vizazi vijavyo.. tukiharibu nature outcome yake ni mbaya sana
  17. A

    JamiiForums Tanzania HOJA Serikali Itusaidie Kuboresha Mazingira ya Kazi kwa Mtumishi wa Hospitali ya Vijibweni - Kigamboni

    Naandika nikiwa nawakilisha wenzangu watumishi wa Hospitali ya Vijibweni iliyopo Wilaya ya Kigamboni, ujumbe huu ni kwa niaba ya watumishi wengi, hususan wauguzi, kuomba mamlaka husika zisikilize kilio chetu kuhusu mazingira ya kazi ambayo tunaamini yamekuwa magumu kwa muda mrefu. Changamoto...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Una kipaji gani ila hakikuendelezwa kutokana na mazingira yetu ya kutokukuza vipaji?

    Leo nimekutana na mtoto mmoja, huyu mtoto ana miaka kama 15 au 14 hivi, anacheza mpira wa vumbi, ila iwapo angepata nafasi ya kuendelezwa kipaji chake angekiwa mchezaji mzuri sana. Nilikuwa napita tu nikaona watoto wanacheza nikavutiwa naye na wapo wengine pia walisimama kumtazama yaani...
  19. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Kama grid ilitoka katika mazingira ya kawaida tume imeundwa ya nini Gerson Msigwa aache uongo

    Guys Hivi Gerson Msigwa anatuoanaje watanzania. yaani anapenda kutupanga sana pia huja na fix za kikuda. Kama grid kutoka ni swala la kawaida Tanesco wanaunda tume ya nini. huyu jamaa kashakuwa chawa mwongo muongo Usije ukamwamini msigwa kwa lolote lile maana ameshiba na amejaa dharau.
  20. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Watu 7 walionusurika kwenye mazingira ambayo sio ya kawaida

    Dunia imewahi kushuhudia watu ambao walikabili hali ambazo karibu kila mtu angeamini hakuna uwezekano wa kupona. Hawa hapa ni baadhi yao: 1. Vesna Vulović (1972) – Alianguka kutoka urefu wa takribani futi 33,000 (zaidi ya km 10) baada ya ndege kulipuka akiwa angani. Alivunjika mifupa mingi...
Back
Top Bottom