mawe

The Mawé, also known as the Sateré or Sateré-Mawé, are an indigenous people of Brazil living in the state of Amazonas. They have an estimated population of about 13,350. The Sateré-Mawé were the first to domesticate and cultivate guarana, a popular stimulant.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Changamkieni Fursa za Uwekezaji Madini ya Makaa ya Mawe

    Wakazi wa Halmashauri ya Songea Vijijini wametakiwa kuchangamkia fursa ya uwekezaji wa makaa ya mawe ambayo inatarajia kuleta tija kwa watanzania kutokana na uhitaji mkubwa wa madini hayo ndani na nje ya Nchi. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara katika Kijiji cha Matimila B na Liula...
  2. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ili kukilinda Kipaji cha Beki Tshabalala kinachopotea, kuanzia sasa nikimuona Kawe kwa 'Goma' lake 'nampopoa' na Mawe

    Na kinachonikera zaidi hilo Goma lenyewe anashea na Wachezaji Wenzake Mkude na Nyoni hivyo kwa Kiwango chake Kushuka na Mpira mbovu alioucheza jana kuanzia sasa ( leo ) nawaahidi wana Simba SC wote ili Kumlinda Beki Tshabalala na Kiwango kisipotee nikimuona tu Kawe na Gari yake akielekea Mitaa...
  3. Mwizukulu mgikuru

    JamiiForums Tanzania Ukiogea chumvi ya mawe kila mtu hukuona ni mtu mwenye amani

    Moja ya athari za kuogea chumvi ya mawe ni kila mtu hukuona ni mtu wa amani, hata wahuni hawawezi kuhangaika na wewe😎
  4. runtown

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Mighty Logistic wanaobeba makaa ya mawe watakwisha kwa uzembe

    Kona ya kwa Mwanaharusi huyu ni watatu kalala hapo kwa kipindi cha miezi mitatu
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Hafla ya Utiaji Saini wa Mikataba ya Uchimbaji wa Makaa ya Mawe Yaliyopo Ludewa Njombe Kati ya Wawekezaji wa Ndani na Shirika la Taifa la Maendeleo

    Serikali imeyataka Makampuni ya Wawekezaji Wazawa ambao wamesaini mikataba ya uchimbaji wa makaa ya mawe Mchuchuma kufanya biashara kwa uadilifu, weledi kwa juhudi ili kifikia malengo yanayo kusudiwa, kuongeza ajira na pato la Taifa hususani dola za Marekani. Hayo yamesemwa na Waziri wa Viwanda...
  6. Chief Kumbyambya

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimebaki na Tsh. 10,000/- tu baada ya kupokea mshahara, nifanyaje?

    Wasalaam ndugu zangu, aisee ama kweli pombe sio chai. Juzi Ijumaa katika mazingira yetu ya kazi wakatuzingatia ile posho ambayo tunayoipataga kila ufikapo mwisho wa mwezi, sasa hizi posho zinazaombatana na weekend sio nzuri kabisa ndugu zangu. Sasa si nikaenda kulewa! Nimeamka Jumaatatu leo...
  7. ramtall

    JamiiForums Tanzania Haya ni madini aina gani?

    Mwenye ufahamu na mambo ya Mawe au madini naomba msaada wa Mawe haya ni Aina gani?. Nimeyatoa Mlima Kilimanjaro
  8. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Prophet Sanga 2022: Niliona mawe yenye moto,nikaona bendera ya Tanzania ikipita katika moto, ikakaa, tuombe

    "Nilikuwa katika maombi katika misitu ya Kibaha, Mungu aliniuliza unaona nini, nikajibu naona kitu, mawe ya moto mawe yenye moto yamegeuka kuwa mekundu yakija Tanzania" - Prophet Sanga. "Mwaka 2023, huu ni mwaka gani!? Mwaka 2022, sasa mwaka 2023 kwenda 2024, zaidi mwaka 2023 naona watu kutoka...
  9. King_kally

    JamiiForums Tanzania Biashara ya usafirishaji makaa ya mawe

    Habari wakuu, naombeni msaada na ushauri juu ya biashara ya kusafirisha makaa ya mawe. Nataka kununua gari ili nianze usafirishaji wa makaa ya mawe. Natanguliza shukrani kwa wote watakao changia mada hii.
  10. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kata ya Mtungulu na kukagua Daraja la kisasa lilojengwa kwa mfumo wa mawe linalounganika Kata ya Mtungulu na Makao Makuu ya Wilaya ya Igunga.

    📍 Maguguni, Igunga Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Mtungulu Bw. Fredrick Mihayo akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Kata inayochanganua utekekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye Sekta ya Elimu...
  11. Jackal

    JamiiForums Tanzania Maajabu Ya Mawe Yaliyo Hai Ya Romania:Yanakua,Kuongezeka Na Kupumua!

    https://www.thearchaeologist.org/blog/the-mystery-of-romanias-living-stones-they-grow-reproduce-and-breathe
  12. J

    JamiiForums Tanzania Hiki ndio kitu ukiwaonyesha mashabiki wa Yanga wanaweza kukupiga mawe kwa hasira

    Hii ni Wyadad ambayo imeitoa Simba ligi ya mabingwa kwa penalti baada ya kutoshana nguvu, na sasa ipo fainali ya mabingwa CAF na inaweza kutwaa ubingwa wa ligi Kwa chini ni timu ambazo Yanga imekutana nazo, moja nusu fainali, na nyingine Fainali
  13. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Mgodi wa makaa ya mawe unahitajika haraka

    Kuna tangazo humu niliona kuna kampuni wanauza site za migodi mbalimbali ya graphite na makaa ya mawe ila nimejaribu kusearch thread sijaipata. Well Nina offer hiyo kwa anayemiliki mgodi wa makaa ya mawe na kuna geology report hebu tuwasiliane tufanye biashara. Karibuni.
  14. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Mti wa mitunda ndiyo hupigwa mawe, uislamu utakuwepo na utazidi kuwepo! Allah akbar

    Imam Mwanamke' Amina Wadud: Kutoka kufasiri Quran hadi kuongoza sala ya Ijumaa Mmarekani mwenye asili ya Afrika, Amina Wadud - ambaye alichagua kuandika jina lake kwa herufi ndogo, kulingana na herufi za Kiarabu ambazo hazitambui herufi kubwa - alikuwa mwanamke wa kwanza kuongoza sala ya Ijumaa...
  15. john perfect

    JamiiForums Tanzania Juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?

    habari wapendwa, Je, ni kweli fresh juice ya Beetroot inasababisha mawe kwenye figo?
  16. Akilihuru

    JamiiForums Tanzania List ya wasanii wa Bongo ambao walipata umaarufu na mafanikio makubwa, lakini leo wako juu ya mawe

    1) Mr Nice - huyu Afrika mashariki nzima na baadhi ya nchi za kusini kama vile Malawi, Msumbiji na Zambia hakuna mtu ambae alikuwa hamjui. Mpaka watoto wadogo huko vijijini Malawi walikuwa wanaimba kidali poo. Miaka ya 2002 mpaka 2005 alipiga hela sana lakini akaishia kushusha zipu, leo hii...
  17. Msanii

    JamiiForums Tanzania Maadhimisho miaka miwili ya SSH ni wazi CCM na Serikali wanalazimisha shibe ya supu ya mawe

    EWURA ni jipu la Taifa, ikulu iliangalie hili kwa jicho la kuwajali wananchi TANESCO inatumika kisiasa, na hili limefanikisha wananchi kukosa imani na serikali. Polisi imeshapoteza uadilifu wake. Sheria na muundo wake vibadilishwe kwani ushshidi ni mwingi wa maovu yanayofanywa na polisi kuliko...
  18. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Machinga wachachamaa Mwanza hali ni tete wanarusha mawe kwenye maduka

    Machinga wanarusha mawe maduka ya watu na wamefunga barabara wameweka mawe barabarani serikali iwasaidie wananchi Hawa. ==== Imedaiwa kuwa vurugu zilizotokea ni kati ya wafanyabiashara wadogo maarufu kwa jina la Wamachinga kukwaruzana na Mgambo ambao walikuwa na zoezi la kuwatoa kwenye maeneo...
  19. Poker

    JamiiForums Tanzania Haya mawe yanawasha umeme pamoja na Generator!

    Haya ni mawe ambayo yanauwezo wa kuwasha umeme na hata generator. Yanapatikana nchini DRC na ndio sababu vita vya wenyewe kwa wenyewe haviishi. Swali kwa wataalamu je ni kweli mawe yanaweza kuwasha umeme hii imekaaje?
  20. Song of Solomon

    JamiiForums Tanzania Ondoa Mikosi Maishani Mwako kwa Chumvi

    Ndugu zangu kwanza nianze kwa kusema kitu kimoja, mimi sio mchawi, mshirikina ama vyovyote vile ila ninakuandikia haya kama kukuelezea nguvu ya vitu alivyoviumba Mungu. Mungu alimuumba binadamu kutoka kwenye udongo, hii inamaanisha nini? Kwamba kitu cha kuuponya huu mwili upo kwenye udongo...
Back
Top Bottom