Kata ya Mtungulu na kukagua Daraja la kisasa lilojengwa kwa mfumo wa mawe linalounganika Kata ya Mtungulu na Makao Makuu ya Wilaya ya Igunga.

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
May 16, 2020
1,902
945
đź“Ť Maguguni, Igunga

Habari Picha: Mbunge wa Jimbo la Igunga Mhe. Nicholaus George Ngassa kwa nyakati tofauti akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Mtungulu Bw. Fredrick Mihayo akiwasilisha taarifa ya maendeleo ya Kata inayochanganua utekekelezaji wa miradi ya maendeleo kwenye Sekta ya Elimu, Afya, Maji, Umeme Vijijini, Barabara, Ujenzi wa Madarasa, Vyoo vya Wanafunzi, Nyumba za Walimu na Nyumba za Wauguzi.

Mheshimiwa Ngassa (MB) amefanya ziara ya kikazi Kata ya Mtungulu na kukagua Daraja la kisasa lilojengwa kwa mfumo wa mawe linalounganika Kata ya Mtungulu na Makao Makuu ya Wilaya ya Igunga.

#KAZI NA MAENDELEO
# KAZI IENDELE
 

Attachments

  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.59.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.59.jpeg
    98.2 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.59(1).jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.59(1).jpeg
    82.1 KB · Views: 2
  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.58.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.58.jpeg
    104.1 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.57.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.57.jpeg
    96.5 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.56.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.56.jpeg
    108.8 KB · Views: 3
  • WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.55.jpeg
    WhatsApp Image 2023-07-22 at 11.57.55.jpeg
    58.4 KB · Views: 3

Similar Discussions

Back
Top Bottom