Wakuu!
Naomba nielezee na hii walau kwa uchache.
Katika pitapita zangu za hapa na pale na kuangalia huku na kule kwenye kujitafuta, kujitafakari, kufikiri na kujichanganya na watu tofauti tofauti. Nimekuja kugundua/kubaini kwamba kuna ongezeko kubwa sana la wanawake wenye msongo mkali wa...
Kuna diaspora wengi wasomi, wafanyabiashara, na wafanyakazi wenye uzoefu mkubwa ambao wangetoa mawazo bora kwa maendeleo.
Badala ya kutegemea wasomi wa aina ya Mkumbo wanaokariri, ni muhimu kuomba mawazo ya diaspora kwa manufaa ya umma na kuyachanganya na fikra nyingine.
Hawa diaspora...
Habari wakuu, wapendwa.
Hivi njia ya kuoa mwanamke Kwa kufuata Sheria Kwa mujibu wa dini, Mila bila kuongeanaye Binti inaweza kuwa ni njia sahihi kwa nyakati hizi tulizonazo na mabinti wa kileo Hawa.
Msada wa...
Kijana wangu ana changamoto kwenye shingo yake kama inavyoonekana kwenye picha.
Mshipa wa upande mmoja umevimba tofauti na wa upande wa pili. Umri wake ni mid 30s, hanywi pombe wala kuvuta sigara.
Tatizo hapa linaweza kuwa ni nini ndugu zangu? Zingatia kwamba hana maumivu yoyote yanayomsumbua...
Heshima kwenu Wakuu,
Nimetafakari kama raia wa kawaida tu, na raia namba 53,398,487 wa Jamhuri yetu.
Kuna hii saga au mvutano unaoendelea ndani ya Chadema katika madhira ya kugombea uongozi baina ya timu ya Mwenyekiti wa sasa Ndugu FREEMAN AIKAEL MBOWE (STU) na Makamu wake Ndugu TUNDU ANTIPAS...
Hivi mabroo huku jukwaani naombeni mnipe msaada kwa sababu jamii forum ni kisima cha maarifa hivi mwanamke anakuambia mimi nipo tayari au muda wake sahihi wa kufunga ndoa ni mwishoni mwa mwaka kama mwezi wa kumi anamaanisha nini? Kwamba yeye mwanamke ndiyo anapanga kuolewa mwezi wa kumi na...
Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote.
Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
Wakuu nahisi Nina shida psychologically...
Nashindwa kufanya Mambo mengi kwa sababu ya kuwaza hasi kila Mara, nahisi kama kitabu kitanisaidia zaidi kupambana na hali hii....
Kama Kuna mtu anaweza kunisaidia nitashukuru sana
Za saizi wakuu!
Nafanya kazi private sector.kuna sehemu nafanya kazi nalipwa 1.2m hapa Dar,lakini katika harakati za hapa na pale nikafanya interview sehemu nikapata mshahara ni 1m.
Sasa kilichonifanya niombe ushauri ni mwajiri wangu wa sasa anaoperate kazi zake very local yani halipi NSSF...
Ni tabia iliyo kwenye default settings kwa baadhi ya watu kwamba ndugu akifanikiwa basi ni lazima wasaidiwe mpaka kiama.
Yani kinyume na hapo hata ukipunguza msaada aidha kwa matatizo yako ya kifamilia, marejesho ya mkopo, n.k. kelele zinaanza anajitenga, anaringa, mke wake kamnunulia gari...
Hapa kuna baadhi ya maswali ambayo unaweza kujiuliza ili kujielewa vizuri zaidi:
* Je, unapendelea kuwa peke yako mara nyingi?
* Je, unajisikia vizuri zaidi unapokuwa na watu wengine?
* Je, unaogopa kukataliwa?
* Je, unajisikia peke yako au umetengwa?
* Je, una matatizo yoyote ya afya ya...
Wazungu wanaita hii hali "post nut clarity" yaani fahamu kukurudia baada ya hamu yako ya kujamiiana kufunga
Kama ulikuwa huoni hilo komwe la huyo mwanamke hapa sasa ndio utaona, kama ulikuwa hujaona vizuri kwamba ni lishangazi basi hapa ndio utaona, kama mliokotana Tandale kwa mfuga mbwa na...
Imeelezwa kuwa wanaume wengi bado wanakosa nafasi ya kusikilizwa, hali inayochangia kuongezeka kwa vitendo vya ukatili wa kijinsia dhidi yao katika familia nyingi, jambo linalosababisha msongo wa mawazo mkubwa, ambao kwa baadhi ya wanaume umesababisha vifo.
Hayo yameelezwa kwenye kongamano la...
Nahitaji present research yangu katika kampuni flani hapa Tanzania mainly nahitaji gusia maswala ya microfinance kama hizi mikopo ya simu, kausha damu, mikopo ya mitandaoni nk.
Naomba mawazo yenu, changamoto, faida nk gusia chochote kuhusu mada nahitaji andaa kitu bora.
Asanteni Wasomi...
Habari ndugu Wana JF,
Kwanza nimshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai.
Pili, nawaomba wazoefu na Mambo wanipe elimu/ufafanuzi juu ya wazo langu lifuatalo kuhusu masomo ya elimu ya juu!
Kabla sijaweka swali, niruhusuni nijisemee kwa kifupi;
Mimi ni mwajiriwa wa serikali kada ya ualimu, Nina...
Habari,
Naomba ushauri wenu au mwnye changamoto kama yangu anaikabili vipi?
Kwa ufupi, me huwa nasahau majina ya ndugu/jamaa/marafiki punde tu baada ya kutengana(hata kwa week)
Hili swala limekuwa gumu kulikabili, maana sometime nakutana na mtu ananiita majina yang matatu, ila me simjui hata...
Najua 90% ya wale great thinkers wa serikali huwa wanakuja JF kuchukua madini na kwenda kuyatumia.
Hivyo ningependa kutoa Mawazo yangu haya Kwa njia yenye kuleta maana na sio bila Mpangilio.
Mawazo yamejikita Katika kuinua Uchumi wa serikali kuanzia juu hadi katika grassroots.
Najua viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.