mawazo

  1. Dr leader

    JamiiForums Tanzania Waza mawazo chanya

    Ikiwa unafikiria kila wakati juu ya shida, utapata shida zaidi.. Ukifikiria juu ya suluhisho, utapata nafasi zaidi. Hata kama kitu kinaumiza sasa, siku moja utaona kimekufanya uwe na nguvu zaidi. Watu huja katika maisha yako kwa sababu. Ama wanakusaidia, au unawasaidia. Usichukulie mambo...
  2. dogman360

    JamiiForums Tanzania Usisome Master's kabla ya kupata experience ya kazi . Utakufa na msongo wa mawazo

    .
  3. Jackpiano

    JamiiForums Tanzania Nguvu ya mawazo jinsi inavyo weza kugeuza fikra kua nguvu ya mabadiliko

    MADA: Nguvu ya Mawazo – Jinsi ya Kugeuza Fikra Kuwa Nguvu ya Mabadiliko Watu wengi wana uwezo mkubwa wa kufikiri, lakini si wote wanaojua namna ya kutumia nguvu hiyo ya kiakili kuleta mabadiliko chanya kwenye maisha yao na ya wengine. Kama wewe ni mtu anayewaza sana—great thinker—basi huu...
  4. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uislamu unaruhusu kuombea dua mbaya watu mliotofautiana mawazo , misimamo au mnaoshindania maslahi ?

    Siku za hivi karibuni nimesikia Masheikh mbalimbali na waumini wa kawaida wakiomba dua mbaya dhidi ya watu walio kinyume nao katika upande wa msimamo wa siasa. Ningependa kufahamu kama haya ni katika mambo yenye kuruhusiwa katika dini au ni Bid'ah.
  5. cold water

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya mama

    Aisee kuna dada yangu mtoto wa mjomba ana watoto Wana akili Sana mmoja alivyomaliza kidato Cha nne alipata two, mwingine alipata one na advance wamefanya vizuri tu, mmoja amemaliza chuo, mwingine amemaliza form six lakini amekosa mkopo. Nimemtafutia shule fulani hivi ya msingi anafundisha watoto...
  6. Introver

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kuishinda hali ya msongo wa mawazo

    Msongo wa mawazo ni nini? Ni shinikizo au mfadhaiko wa kiakili, unaomkumba mwanadamu, pale anapokutana na matatizo, au taabu, au dhiki au shida Fulani. Hivyo inapotokea mtu huyu anashindwa kuzitatua changamoto hizo, ndipo msongo huo huja. Kwamfano labda mtu amegundulika, ana ugonjwa...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Uzi huu ni Maalum kwa kuisaidia tu Simba SC mawazo ya Kiufundi kuelekea Mechi ya CAFCC Fainal away na RS Berkane

    Poti wangu Crescentius Magori, Msemaji Ahmed Ally, Mwenyekiti Mangungu, Meneja na Mtani wangu wa Kihaya Patrick Rweymamu, Wajumbe Salim Abdallah Mhene Try Again, Swedi Nkwabi na Dada yangu Asha Baraka bila kusahau na Wadau wengine wa Simba SC najua huwa mnanisoma mno GENTAMYCINE hapa JamiiForums...
  8. Naxria abdalla

    JamiiForums Tanzania Kupatiwa mawazo juu ya afya yangu

    Habari zenu wana jamvi leo nimekuja kwa unyenyekevu mkubwa ndugu yenu naumwa hlf sijui nini kinanisumbua najua itawashangaza ila na huu ukubwa nilonao sijui naumwa nini ni vile najiskia vibaya mwili unakosa nguvu mda mwengine viungo vinauma tu mda mwengine kama nataka kutapika inafika mwezi wa 4...
  9. kiss ov love

    JamiiForums Tanzania Kwa mtaji wa millioni 10 nafikiria kufanya hizi biashara wenye uzoefu naomba mawazo yenu

    Wadau nina mawazo haya ya biashara 1. Mini_Supermarket 2. Bucha la nyama ya ng'ombe au ya nguruwe 3. Duka la rasta la jumla 4. Duka la vipodozi japo hii nawaza kama kuiunganisha hapo kwenye duka la rasta Mimi ni wa kike, nipo Dar naombeni mawazo yenu wadau
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kutaka kila mtu akuongelee vizuri ni kutafuta msongo wa mawazo kuwa mwema ila usijali watakavyokuongelea

    KUTAKA KILA MTU AKUONGELEE VIZURI NI KUTAFUTA MSONGO WA MAWAZO KUWA MWEMA ILA USIJALI WATAVYOKUONGELEA Zama zinaenda kasi na vifo vitokanavyo na matokeo ya msongo wa mawazo vikiongezeka ikiwemo kujiua au shinikizo la juu la damu hata magonjwa ya moyo. Msongo wa mawazo hautoki mbinguni bali ni...
  11. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 112 ya Biashara na Mitaji yake: Hatua kwa hatua Jinsi ya kuanzisha Biashara 112

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani...
  12. cold water

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama...
  13. SHIMBWE

    JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  14. JayEm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  15. ERTUGRUL BEY

    JamiiForums Tanzania Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

    Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa...
  16. Mende mdudu

    JamiiForums Tanzania Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  17. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ajiua kusa mume, madeni na msongo wa mawazo

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
  18. Yoda

    JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Akili za watanzania zipo kubishana na mawazo ya teknolojia ila ndio wao wao wanazitumia

    Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea. Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
Back
Top Bottom