mawazo

  1. cold water

    JamiiForums Tanzania Naombeni mawazo na jinsi ya kufanya

    Nahitaji kuanzisha biashara ya kukopesha fedha kisheria na wakopaji niwakopeshe online,na malipo pia wafanye through my bank account Sasa naanzia wapi ndo nashindwa kuelewa,50000 Liba 15,000,100,000 Liba 25,000 lakini kwenye form ya ukopaji nahitaji waweke na namba za nida je nitafanikisha kama...
  2. SHIMBWE

    JamiiForums Tanzania Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

    Habari wanaJf, Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli. Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na...
  3. JayEm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo na kisheria

    Ndugu zangu wana jamvi naomba mnisaidie mawazo ya kisheria na kikanuni. Kuna watumishi idara ya elimu msingi wamehamishwa tangu mwaka jana mwezi wa 5 lakini hawakulipwa fedha ya uhamisho. Walidanganywa wakaripot vituo vya kazi kisha kupewa hela kidogo tu kama kiasi cha tsh 250,000 kwa maelezo...
  4. Ertugrul Bey

    JamiiForums Tanzania Mawazo Yako Yanatawala Maisha Yako

    Mawazo yako ndio fomula ambayo yatafanya maisha yako yawe ya namna gani Kila wazo ni picha halisi ambayo inaenda kuhifadhiwa katika subconscious mind yako kwa ajili ya matumizi ya baadae Kila wazo ambalo lipo katika mfumo wa picha ndio litakuwa mustakabali wa kufuatwa au ramani ya kufuatwa...
  5. MendeOLD

    JamiiForums Tanzania Viboko ni ishara ya Umasikini na Msongo wa mawazo.

    Nionyeshe wapi mtoto wa tajiri akipigwa viboko kufeli kwa wazazi hasira zao na umasikini wao unapelekea kumaliza au kupunguza stress kwa watoto akikosea kidogo kupiga atakacho pata cha kuacha maumivu au ukilema kwa watoto. Wazazi jitaidi kuandaa kesho bora ya mwanao kuepuka kumfanya punda ...
  6. Damaso

    JamiiForums Tanzania Ajiua kusa mume, madeni na msongo wa mawazo

    Nchini Kenya, Mwanamke aliyetambulika kama Mercy Nyasaka amejiua baada ya kuacha ujumbe mzito kwa ndugu wa karibu kupitia Whatsapp akimuaga na kueleza anayoyapitia, Mercy alifiwa na bintiye miaka miwili iliyopita mnamo Machi 1, 2023, kifo ambacho kilimsababishia huzuni kwa kiasi kikubwa...
  7. Yoda

    JamiiForums Tanzania Si vyema mwandishi wa habari kuwa mtu wa akili ndogo na mawazo finyu.

    Inawezekanaje mtu mwenye akili ndogo na uelewa finyu kama huyu kuwa mwandishi wa habari katika kituo kikubwa cha habari?! Hii nchi bado ina safari ndefu sana.
  8. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Mpango mzuri na mawazo kwaajili ya safari za utalii wa ndani kwa wana JF

    Wana jamvi, Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja. It's very important to support domestic...
  9. Fbn

    JamiiForums Tanzania Akili za watanzania zipo kubishana na mawazo ya teknolojia ila ndio wao wao wanazitumia

    Kuna siku nipo mtaani nakutana na msemaji wa kijiwe cha kahawa.Maana kwenye vijiwe vya kahawa kuna wasemaji ijalishi akili yako ikoje kikubwa kuwazidi uwezo kuongea. Mada aliyokuja nayo anasema wazungu ni waongo sana wanadanganya kila kitu.Sasa cha kujiuliza hapo hapo kijiwe cha kahawa kuna...
  10. Obed maagi

    JamiiForums Tanzania Mawazo ya Biashara Yaliyo wafanikisha watu.

    Ni muda sasa umepita na watu wengi wamekuwa wakichangia mijadala na kutoa Thread mbalimbali kuhusu mawazo ya biashara, na muongozo wa uendeshaji wa biashara ni muda rasmi kila mmoja alifanikiwa kupitia wazo la biashara kutoka Jukwaa hili la biashara kutoa ushuhuda wa wazo na namna alivyofanya...
  11. Ritchy Breezy

    JamiiForums Tanzania Naomba mawazo/ Ushauri wa kitabibu.

    Wakuu habari za wakati huu Nina changamoto moja ya kiafya
  12. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Adui mkubwa wa mwanadamu ni mawazo yake ( Mental block chain)

    Hapa kuna mpangilio mzuri zaidi wa maandishi yako kwa mtiririko mzuri na uwazi: Nguvu ya Hofu na Sanaa ya Kubadilisha Nishati The Keeper Don Pablo – The Master of The Mind Brotherhood Kumtawala mwanadamu, mpandikie hofu ndani yake, na utateka akili yake yote. Hofu ni nguvu kubwa zaidi...
  13. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Mawazo 114 ya Biashara na mitaji yake: Hatua kwa Hatua: Jinsi ya Kuanzisha Biashara 114

    Katika dunia ya leo, ambapo changamoto za ajira zinaendelea kuongezeka, ujasiriamali umekuwa suluhisho muhimu kwa watu wengi wanaotaka kujitegemea na kujenga maisha bora. Hata hivyo, wajasiriamali wengi hukutana na changamoto ya kupata wazo sahihi la biashara na kujua ni mtaji gani unahitajika...
  14. KENZY

    JamiiForums Tanzania Mawazo yangu kuhusu wanawake na uongozi!

    Naomba nisieleweke vibaya ama nikaonekana nina ubaguzi na hii jinsia yakike kutokana na maoni yangu!, ikiwa kuna mtu nitamkwaza kwa hii mada basi tusameheane!. Kitu kinachoitwa uongozi na wanawake kwenye haya maisha naweza sema kwa idadi yao basi wanaouweza uongozi labda ni asilimia 2 tu ya...
  15. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Hata kama una gheto kama hili! Lakini msongo wa mawazo lazima ukuue!

    Mfumo wa maisha ulitengenezwa husiishi peke yako! Ukiona unaishi peke yako ama umelaaniwa, mchawi, au kichaa/chizi. Kama una akili timamu basi jua fika unapigwa matukio na upweke na msongo wa mawazo! Haijalishi utajitahidi kivipi kuwa na gadgets za electronics kukuliwaza! Ebu angalia huyu mdada...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Ziko wapi fursa za mitaji kwa vijana wenye mawazo yenye tija kwa jamii na dunia?

    Wakuu habari! Mimi ni kijana wa makamo nimekuwa nikiona mtandaoni kwa mataifa ya Europe na Asia kukiwa na makampuni mengi yanayojihusisha na shughuli za fundraising kwa miradi na mawazo ya kibiashara yenye tija kwa jamìi na ulimwengu na kuwasaidia vijana kufikia malengo yao huku wakiongeza...
  17. Joanah

    JamiiForums Tanzania Mambo gani huwa unafanya ukiwa na msongo wa mawazo ama mtu akikukera?

    Mimi nafanya hivi 1. Nakula vizuri, chakula nachokipenda 2. Natoka kwenda kutembea 3. Nalala 4. Nalia sanaaaaaaa 5. Naenda kununua nguo mpya 6. Nafanya usafi Na mengine mengi Wewe je? Lengo ni kuwapa experience wanaopitia wakati mgumu,wanaweza kupata ideas mbili tatu Uzi tayari Pia soma...
  18. Msaga_sumu

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni katika mawazo

    Wakuu kuna sehemu boss kahitaji watu wa finance na account kwa ajiri ya auditing, sasa tunafanya nahitaji kuuliza wenye experience unapomaloza auditing kuna uwezekano wa kupata ajira hapohapo katika kampuni hio? (Internal audit) Umuhimu wake ni upi??
  19. ommytk

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum kwa wagonjwa wa kisukari kupena mawazo na kusaidiana uzoefu wa kuishi kwa imani

    Nimeweka huu Uzi ili watu wanaoishi na ugonjwa kisukari kuelezana na kusaidia mawazo na uzoefu na changamoto za ugonjwa na kuelezana namna kukabiliana nazo karibuni
  20. Bmw m5

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada niko kwenye msongo wa mawazo

    Salaaam ndugu zangu wa JF. Nitaelezea kwa ufupi sababu ambayo, inanifanya hadi sasa niwe kwenye msongo wa mawazo. Ilikua mwisho wa mwaka 2024 tarehe, 31..baada ya mishe mishe za kila siku ndipo nilipopata natasi ya kukutana na binti mmoja ambaye sio muda nimeanza kuwa nae kwenye mahusiano...
Back
Top Bottom