mawazo

  1. JamiiForums Tanzania Ulikua na mawazo Gani kuhusu watumiaji wa JF ulivyojiunga??

    Mimi kipindi hicho najiunga nilikua JF ni mtandao wa wafanyakazi wa serikalini tuu, sikujua kama ni mtandao kwa wowote. Nilivyoingia sikuamin, baada ya kuona post za watu hapa JF nilihisi kila mtu ana nyumba Kali na gari na ana degree. Wewe ulifukiria Nini kuhusu watumiaji wa JF
  2. JamiiForums Tanzania Nahitaji mawazo yenu ndugu zangu

    Naitaji msaada wa haraka Mimi ni mtumishi kutoka wizara ya mambo ya ndani,nina miaka 2 kazini, Mshahara wangu laki tano. Nataka kukopa kuanzia million 20 je inawezekana , Kama aiwezekani nitapata bei gani. Kwenye mfumo wa ESS inaleta pesa kidogo nataka niende Branch yao,Natumia CRDB Je vitu...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Natafuta Mwanaume wa kubadilisha naye mawazo

    Vigezo vya mwenza ninayemtafuta: Awe na watoto wasiozidi wawili. Awe na umri kati ya miaka 35 hadi 45. Awe na kazi au chanzo cha kipato cha kumwezesha kunihudumia. Awe mkazi wa Dar es Salaam. Awe mtu mwenye heshima, upole na tabia njema (gentle). Hatutarajii kufunga ndoa, bali atakuwa akija...
  4. JamiiForums Tanzania Mawazo ya matajiri Vs mawazo ya masikini

    Duniani kuna mitazamo Ya Mtu Mmoja mmoja,Na Kuna Mawazo Jumuishi ya Kikundi Fulani cha Watu au Tabaka Fulani la Watu. Haya ni Mawazo ya Maskini Vs Mawazo ya Matajiri MASKINI 1.Matajiri Ni Mafisadi 2.Matajiri Ni Waenda kwa Waganga 3.Matajiri Ni Freemason 4.Matajiri Wameachiwa Urithi 5.Matajiri...
  5. JamiiForums Tanzania Unapopatwa na huzuni, hasira, msongo wa mawazo AU maumivu ya moyo... Tulizo lako ni nini?

    Kila mmoja wetu hupitia nyakati ngumu. Wapo wanaopoteza wapendwa wao, hukatishwa tamaa, husalitiwa, hukosa kazi, hupitia matatizo ya kifamilia au ya kifedha. Wakati huo, kila mtu hutafuta njia yake ya kupata utulivu. Wengine husali na kumtegemea Mungu. Wengine husoma vitabu, husikiliza muziki...
  6. JamiiForums Tanzania Wakati sisi tunakalia kuuliza maswali AI wenzetu wanavifanya vifaa wanavyotumia viwe mawazo yake bila msaada wowote nje ya vifaa vyake

    Ni maisha tu ya kumudu hii teknolojia ya AI ndio inafanya wengi kutumia steji tuliyopo. Kwa wenzetu imekuwa tofauti kwa AI. AI sasa unaweza kutengeneza cloud yako yenye database ze a logarithm zako ambazo utaziamrisha kwa mawazo yako utakavyo. Kinachofanya kuwa ngumu kwa sisi.Unaitaji vifaa...
  7. JamiiForums Tanzania Ninapokuwa na Mawazo, chupa ya maji inageuka bia

    Kama ilivyo kwa binadamu wenzangu wengine Kuna wakati napitia msongo mkali wa kimawazo nakuwa na hamu sana ya kunywa bia kwa lengo la kujisahaulisha na shida. Ila nikifiria madhara yake hasa magonjwa ya Figo, kufilisika matatizo, kugombana na ndugu, wazazi, mke n.k naamua kutafuta tu hobbies...
  8. JamiiForums Tanzania Guys nisameheni, Naombeni mawazo yenu nirekebike

    Mimi ni mtu flan ambae huwa na mawazo mengi sana na huwa nafikiri vitu kwa ukubwa sana tu the point na weza kumiss little details.. (over thinker mkubwa sana mimi) So basically ni kaamua kuwa instead of kukaa na vitu vingi kichwani ni bora kushare na kupata closure kwa wadau Nafurahi mwitikio...
  9. JamiiForums Tanzania Rose Shaboka yupo sahihi, Mwanamke hapaswi kuishia kazi za nyumbani. Hayo ni mawazo finyu

    Hamjambo! Binti zetu wa Tibeli mwanamke mwenye mawazo ya kinyumbani nyumbani Anakosa video vya kuwa Mke. Mke mwema haishii tuu kuwaza kufua Boxers, sijui kupika, na kuosha vyombo. Mwanamke ambaye ni mtu na sio binadamu huwezi mtazama kwa angle Moja au nafasi Mojave. Mwanamke nje ya kuwa mke...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mtaji wa 3.5Milioni biashara gani inafaa

    Kwa kijana mwenye umri wa 22yrs mwenye mtaji wa 3.5M apa mjini dsm ungemshauri ajikite kwenye biashara zipi zinakazomfanya atoboe kimaisha baada ya miaka michache?
  11. JamiiForums Tanzania Nini Chanzo cha mawazo?

    "Who is thinking you thought" Hivi ulishawahi kujiuliza mambo tunayoyawaza huwa yanatokea wapi. Kama yanatoka kwako, kwa nini huwezi kujizuia kuwaza..yaani ndani ya fikra zako kukawa kimya kabisa bila kuwaza chochote.
  12. JamiiForums Tanzania Mawazo ya takayoibadilisha Tanzania kiuchumi yawasilishwa 30 Bora

    Vijana watanzania wana uwezo mkubwa wa ubunifu na hapa wamekuwekea mawazo bora 30 ya ubunifu yatakayoweza kuiokoa Tanzania wakati wa majanga ya kimataifa kama vile kushuka kwa uchumi, vita, n.k angalia video https://www.youtube.com/live/fqDRayIY5m0?si=Kg9vG7gxYUUF-4KX
  13. JamiiForums Tanzania Leo nilikua hapa kupunguza mawazo na kucheza golf 🤣

    Life is bitch everything came an Go.
  14. JamiiForums Tanzania Tofauti ya iliyopo nchi kwetu na wenzetu ni hii hapa kwenye kukusanya mawazo

    Wenzetu wapo makini sana kwa mawazo ya mtu yenye kuleta solution au mbinu ili mradi anaweza kuthubutu na kutenda. Hapa tabia iliyopo ukiwa na mawazo wanajifanya kama wajapendezwa nalo mwisho wa siku ukikaa vibaya ndio wanafanya wao. Mambo haya marehemu ruge kafanya sana na MO.
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mawazo yenu wakuu

    Natumai ni wazima wakuu zangu Ni siku mpya tumeweza kupata zawadi ya uhai na uzima, ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu ambaye ndio mpaji wa vyote. Kuna wagonjwa mahospital, wafungwa magereza, vita, majanga ya asili, vifo nk.. ukiona umeamka huna changamoto hizo, inakupasa kushukuru sana...
  16. JamiiForums Tanzania Usaliti unamtia Dr. Bashiru kwenye lindi la msongo wa mawazo?

    Msikilize vizuri utagundua ana changamoto ya utimamu. Pale bungeni yupo mwili tu
  17. JamiiForums Tanzania PNA: Tuheshimu Mawazo ya Wengine Hata Kama Hukubaliani Nayo!, Simai ni Jasiri, Shujaa, Hoja ya Yuda ni ya Msingi, Asibezwe, Asikilizwe Afafanue!.

    Wanabodi, Angalizo la Nyuzi Ndefu JF ni user generated forum, ina members wa aina zote na kazi yake ni kuhabarishana, kuelimishana na kuburudishana, na kati ya members hao, kila mmoja anashughuli zake za kumuingizia kipato kuendesha maisha yake, hivyo wao wanaandika jf kama past time tuu, mimi...
  18. JamiiForums Tanzania Nahitaji marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Nimekubali mimi ni mgeni maana kila post napewa lawama mgeni mgeni 🤔🤔 lengo ni kuondoa stress na kupotezea vitu nipo humu kukutana na watu tofauti Nahitaji marafiki zaidi karibuni sana 😘😘
  19. JamiiForums Tanzania Ni muhimu Kuheshimu mawazo ya wengine bila chuki!

    Ilikuwaje mpaka ukakubali kwamba watu tuna mitazamo tofauti, na kwamba hata iweje hatuwezi kufanana mawazo? Hapa naongelea kujifunza kuheshimu mitazamo ya watu wengine, hasa ile yenye upande chanya na isiyoleta madhara kwa jamii Kwa mfano, kuna mtu anaamini Mungu yupo, na mwingine anaamini...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia?

    Kama mawazo ya binadamu yangekuwa yanaonekana kwa wengine, heshima yako ingebaki ilivyo au tungekukimbia? Eti, wakuu ungebaki unaheshimika au tungeona vitu vya ajabu mpaka tukakumbia?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…