Binafsi ningependa uchaguzi uwe huru na haki, lakini kwa mazingira yalivo sasa no way. Kuna watu piga ua lazma watangazwe ubunge hata kama watashindwa kwenye sanduku la kura, na kuna uwezekano mkubwa wakawemo kwenye baraza la mawaziri lijalo, Hawa ni baadhi yao.
1. Makonda - Huyu ana nafasi...