Sipati picha Lowassa angeshinda 2015 na mawaziri ndio hawa Lijualikali, mchungaji Msigwa na Massele!!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,532
141,334
Eid Mubarak wadau!

Kiukweli ni heri tu Mungu alituepushia vinginevyo hali ingekuwa tete.

Naiangalia kwa makini safu ya wabunge wa Chadema sipati picha eti hawa ndio wangekuwa mawaziri wetu. Labda Mnyika pekee na msemaji wa Ikulu Pascal Mayalla ndio wangeitoa kimasomaso.

Mawaziri wengine wote wangekuwa full uzushi.

Maendeleo hayana vyama!
 
.
20200519_131953.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna hali tete ipi zaidi ya tuliyo nayo sasa hivi? Sukari kilo moja leo hii ni sawa na bei ya petrol Lita mbili

In God we Trust
 
Tumia Akili yako sawa sawa katika kujadili yalio ya Msingi Sababu kama Taifa tuna changamoto nyingi sana zaidi ya hii Sihasa yako unayo ileta hapa..Corona imedidimiza hata kile kidogo kilicho kuwepo halafu unataka tujadili mambo ambayo hayapo na hayajatokea !!!..
 
Magufuli alikosa mawazari miongoni wa wabunge wa ccm akaamua kuwateua watu ambao hata sio wanasiasa akina Mpango, Ndalichako, Kabudi, nk. Baada ya kuona kwamba bado ccm viazi ndo vingi na haviwezi kusaidia nchi, akaamua kununua kutoka upingani akina mollel, waitara, mtatiro, katambi, nk. CCM ni chama kilichoshindwa kuongoza nchi.

Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM
 
Sidhan km unajua hizo t1.5 zilipatikana vp mpaka sasa analalamika kupotea kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sidhan km unajua hizo t1.5 zilipatikana vp mpaka sasa analalamika kupotea kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pesa ya Umma upatikanaji wake unajulikana, Ni pesa za wavuja jasho wa nchi hii ila CCM wakazila pamoja na mabwana zao. Kwa kweli watanzania hatutasahau CCM walichotufanyia

Back
Top Bottom