Upande wa utetezi katika kesi ya kughushi inayowakabili viongozi watatu wa klabu ya Simba wameomba mahakama ya hakimu mkazi Kisutu kuahirisha kesi hiyo kutokana na kifo cha Zacharia Hans Poppe aliyekuwa mwenyekiti wa klabu hiyo iliyochukua ubingwa wa Ligi Kuu Tanzania Bara mara nne mfululizo...
Let us be serious kwenye serious issues hasa katika uandaaji wa mawakili wa Serikali. Nipo nafuatilia kesi ya Mbowe, naangalia namna mawakili wa Serikali wanavyojibu hoja, namna wanavyotetemeka kujieleza, namna wasivyoweza kuongea lugha kuu mahakama, najiuliza Hawa watu wanapata uwakili na...
Spika wa Bunge Job Ndugai amesema anakerwa na kada nne ambazo zinatukuza usomi wao mbele ya Watanzania wasiopenda kujikweza.
Amezitaja kada hizo ni wahasibu, wahandisi, mawakili na madaktari wa kusomea ambao amesema kila mtu anataka kuanza na kutukuza kisomo chake wakati si lazima iwe hivyo...
Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameeleza "kukerwa" kwake na kada nne kwamba wanajiona ni bora kuliko wengine. Kwa mfano Mawakili, ambao wana utaratibu wa kuitwa "Wakili Msomi" kabla ya kutaja jina. Hoja ya Ndugai ni kwamba iweje Mawakili waitane "Msomi" ambapo wasomi wako wengi tu, siyo Mawakili...
Kama ulidhani hii kesi ni lelemama basi unapaswa kujitafakari upya , wakati baadhi ya mamluki wakishangilia kutupwa kwa pingamizi lililohoji uhalali wa Mahakama ya uhujumu uchumi na rushwa kusikiliza kesi ya Ugaidi, Mawakili wa Mbowe wameweka pingamizi ambalo wasomi wengi walikuwa wanalisubiri...
Tumewasikia hao mawakili wa Serikali wakikata rufaa kwenye kesi ya Mbowe, iliyopo Mahakama Kuu, wakidai kuwa hao mawakili wa upande wa utetezi, eti hawakufuata utaratibu Katika kufungua maombi hayo!
Imekuwa ni kawaida kwa hao mawakili wa serikali kufanya hiyo ninayoiita "delaying tactics"...
Wote wanafanana, wale waliosoma nje na wale waliosoma hapahapa nyumbani - wote wana uwezo mdogo sana.
Huwa wanakuwa na uwezo mkubwa wanapokuwa twitter, baada ya kugoogle sheria mtandaoni na kutweet, lakini wakiwa mahakani ni lazima wateja wao walale mahabusu au wapate kifungo kabisa.
Lema...
Mawakili wa Freeman Mbowe ambaye ni Mwamba wa siasa za Tanzania, anayeshitakiwa na serikali ya Tanzania kwa makosa ya Ugaidi wa thamani ya hela za madafu shilingi laki 6, Wameiwekea pingamizi kesi hiyo kwa madai kwamba Mahakama ya Uhujumu uchumi na Rushwa, ambako kesi hiyo imepelekwa haina uwezo...
Gazeti la Nipashe la leo limeinukuu mahakama ikisema kwa sasa ipo tayari kupokea ushahidi kutoka kwa wote waliobakwa na kuteswa na Lengai Ole Sabaya alipokuwa mkuu wa wilaya ya Hai.
===
Hakimu wa Mahakama hiyo, Salome Mshasha, alitoa agizo hilo jana mahakamani huko baada ya kushindikana...
Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA mh Boniface Jacob amesema hadi leo jumla ya mawakili wasomi 386 wamejitokeza na kujiandikisha kumtetea Freeman Mbowe mahakamani siku ya Agost 5 katika mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
Nawasalimu kwa jina la JMT.
My take; Huu utitiri wa mawakili siyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.