mawakili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa huja na makala za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni The Voices From Within kuwa "Japo Hawakutendewa Haki Ndani ya Chama Chao Chadema Kwa kufukuzwa Kwa kuvuliwa uanachama Kikangroo na CC ya Chadema iliyokaa as a kangaroo court, ikawavua...
  2. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa ‘Mfalme Zumaridi’ waomba ahamishwe Gereza

    Mawakili wa upande wa utetezi katika inayomkabili Mfalme Zumaridi na wenzake wameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza kama itawezekana mteja wao awekewe ulinzi au ahamishwe katika Gereza Kuu la Butimba alililopo hivi sasa kufuatia kuwepo kwa taarifa za kuuawa kwake ndani ya gereza. Ombi hilo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamuachia huru Lengai Ole Sabaya, yasema ushahidi wa Jamhuri una utata

    Hatima ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake wanaokabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi inatarajiwa kujulikana leo Juni 10, 2022. Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha iliyokuwa ikisikiliza kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27/2021 imepanga kwa mara ya pili kutoa hukumu hiyo...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naiomba Serikali ifuatilie utakatishaji wa pesa unaofanya na watu wanaojiita Mawakili wa Sabaya

    Isionekane kama ushauri wangu huu ni sababu ya chuki dhidi ya jambazi sabaya lakini ukweli uko wazi kuna njama ya kutakatisha mamillion ya pesa yaliyotokana na ujambazi wa wazi wazi uliofanywa na Sabaya enzi za utawala wa kayafa kupitia mbinu ya michango ya wananchi kugharamia gharama za kesi...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini zaidi ya 75% ya mawakili hawajakwenda Arusha kupiga kura TLS? Kwanini vijana wamepungua? Nini nafasi ya Teknolojia kupiga kura?

    TLS ina wanachama zaidi ya elfu tano hai, waliopiga kura ni takribani elfu moja jambo ambalo linaakisi zaidi ya asilimia 75 hawakujitokeza kwenda kuchagua rais wao. Lakini pia kati ya waliojitokeza kwa tuliopo Arusha, mawakili wenye umri zaidi ya miaka 45 wanaonekana wamejaa AICC kuliko vijana...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa TLS: Sungusia apinga Mawakili kupunguziwa gharama

    Sikiliza mahojiano yake kuhusu Mawakili kupunguziwa gharama, asema ni uamuzi wa kukurupuka
  7. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imeweka Mawakili wake kuwatetea akina Mdee? AG akichafuka wakubwa zake watabaki wasafi?

    Tumetoka kuondoa kesi mahakamani dhidi ya Mbowe serikali ikiwa imechafuka, utaratibu wa kuondoa kesi hiyo ukiwa na maswali mengi KUHUSU uhusika wa viongozi wakubwa. Tumejisafisha lakini Bado atujatakata. Hali ikiwa Tete tumeingia Tena kwenye mgogoro wa ajabu usiohutaji kujadiliwa. Usiotoa...
  8. Replica

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Wabunge 19 waliovuliwa uanachama Vs CHADEMA. Mahakama yaridhia Ubunge wao uendelee wakati kesi ikiendelea

    Kesi namba 16 ya mwaka 2022 iliyofunguliwa Mahakama Kuu na Wabunge 19 wa viti maalum wa CHADEMA kupinga uamuzi wa kuwavua uanachama na mwenendo mzima wa maamuzi yaliyofanyika dhidi ya Baraza la Wadhamini CHADEMA, tume ya Taifa ya Uchaguzi na Mwanasheria Mkuu wa Serikali inaendelea Mahakama Kuu...
  9. king kakaa

    JamiiForums Tanzania Ukweli mchungu; Kibatala na jopo lake la Mawakili ndio Mawakili maarufu Afrika Mashariki

    Mimi Binafsi kabla ya kesi ya Mbowe nilikua sikuwahi kuwafatilia kiundani Mawakili wale wa Mbowe ila baada ya kuanza kuwatetea akina Mbowe ndipo nilipo anza kuvutiwa na kuwafatilia. Kila nilipo kuwa naingia JF kufatilia live kesi ile basi nilikua naanza kusoma pale mawakili wa upande wa utetezi...
  10. econonist

    JamiiForums Tanzania Kwanini mawakili wa Sabaya wanakataa mstakiwa Watson asitumie simu yake Kwenye ushahidi?

    Mawakili wa Lengai ole Sabaya wameweka pingamizi kwa mshtakiwa wa tatu kutumia simu yake Kwenye kutoa ushahidi. Mawakili wa Sabaya wanadai simu hiyo ya mtuhumiwa haijaorodheshwa Kama sehemu ya ushahidi wa utetezi lakini pia hiyo simu haipo Takukuru, hivyo hawajui mtuhumiwa ataitolea wapi...
  11. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Mawakili kesi ya Mbowe na wenzake watatu walibadili mbinu baada ya kuona kila pingamizi la utetezi linagonga mwamba

    Mwanzoni katika kesi ya Mbowe, Kila Pingamizi la utetezi lilikuwa linagonga mwamba na vielelezo vikawa vinapokelewa “by hooks and crooks” Utetezi ukabadili mbinu kuokoa muda wa wateja kwani walijua mapingamizi yao yangekula muda na yangetupwa. Ikabuniwa mbinu mpya Utetezi ukawa unakubali...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Alichokitaja Jaji ni Kifungu cha Kufuta Kesi, Mawakili walitaja Kifungu cha Kujibu kama kuna kesi ya kujibu au la!

    Kile Kifungu alichokitaja Jaji katika Sheria ya Makosa ya Uhujumu Uchumi na yanayofanana na hayo kinatamka kuwa: "40. Dismissal of charge At any stage of the proceedings the Court may, if satisfied that the accused person has no case to answer, dismiss the charge and acquit the accused person"...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mawakili 65 wafariki kutokana na Corona

    Chama cha Mawakili wa Tanganyika(TLS) kimeripoti jumla ya wanasheria 65 kufariki kwa kipindi cha kuanzia Machi 2020 kutokana na janga la virusi vya Corona Mratibu wa TLS mkoani Njombe, Innocent Kibadu amesema COVID19 haiishii kuchukua Maisha ya watu bali pia huathiri uchumi wa wanafamilia wa...
  14. Yoda

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa utetezi punguzeni muda wa cross examination, kesi ya Mbowe yaweza kuamuliwa kwa haki kabisa hapa ilipofikia

    Baada ya ushahidi wa Luteni Denis Urio kwa upande wa Jamhuri kesi ya Mbowe ambayo imefikisha mashahidi 12 sasa inaweza kuamuliwa na Jaji. Shahidi aliyekuwa muhimu kuliko wote na ambaye anaweza kuitwa nyota au kiungo muhimu wa mchezo ni Urio ambaye amekwisha toa ushahidi wake. Kwa muelekeo wa...
  15. B

    JamiiForums Tanzania TLS Chama cha Mawakili Tanganyika rasmi kimetekwa nyara na Mhimili wa Serikali Kuu

    02 February 2022 Dodoma, Tanzania SIKU YA SHERIA Tanganyika Law Society TLS ambacho kilikuwa chama huru cha wanataaluma ya sheria kukubali kuhamia Dodoma makao makuu huku kikiwa na jengo lake la Wakili House jijini Dar es Salaam walilolijenga kwa juhudi zao kama wanataaluma ni hatua mojawapo...
  16. Ritz

    JamiiForums Tanzania Tuliambiwa Mawakili wa kesi ya Mbowe ni wa kujitolea, kulikoni tena wanataka pesa?

    Wanaukumbi, Chadema mlituambia kuna jopo la mawakili zaidi ya 200 wa kujitolea kwenye kesi ya Mbowe, kulikoni tena leo mnataka pesa za mawakili ebu tuache huu upigaji naamini kabisa Mbowe, hana hizi taarifa ndiyo maana hamataki Mbowe, atoke jela kumbe mnapiga pesa, weekend taenda gerezani kumpa...
  17. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kesi ya Mbowe 01/02/2022. Luteni Denis Urio amaliza kutoa ushahidi wake. Shahidi wa 13 kuanza 04/02/2022

    Habari Wakuu, Leo 01/ 02/ 2022 shahidi wa 12 Denis Urio amemaliza kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki: Yaliyojiri Mahakama Kuu Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake. Shahidi wa 12 Luteni Denis Urio kuendelea kutoa...
  18. nyembela

    JamiiForums Tanzania Wakati tunafurahia mawakili wanavyooneshana uwezo wakutafsiri sheria''

    kuna jambo la kutafakari kuna mshindi alieshinda kabla ya kushindwa kwake na endapo atashinda sasa atakuwa hana chakupoteza, na pili kuna alieshindwa kabla ya kushinda kwake endapo atashinda atakuwa amepoteza tangu mwanzo. Kama kanuni yamafanikio nimuda basi aliyeshinda mwanzo amefanikiwa na...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake watatu. Kesi imeahirishwa hadi 17, January 2022

    Kama kawaida kesi hii yenye kuvutia mamilioni ya watu duniani inaendelea tena leo 14/01/2022, kila siku inapotajwa yanaibuka mambo mapya yenye utata mkubwa, ya miamala umeyasikia, sasa hatujui leo kutaibuka jambo gani. Peter Kibatala na timu yake wapo tayari. ======= Kufahamu ilipoishia...
  20. Naipendatz

    JamiiForums Tanzania Mawakili wa utetezi wakwamisha uamuzi mdogo kesi ya Sabaya

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha leo Jumatano Desemba 29, 2021 imeshindwa kutoa uamuzi mdogo katika kesi inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake sita baada ya mawakili wa utetezi kushindwa kufika mahakamani. Katika kesi hiyo ya uhujumu uchumi namba 27 ya mwaka...
Back
Top Bottom