mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MFALME WETU

    JamiiForums Tanzania mwanamke unahitaji nini kingine ikiwa unahudumiwa kila kitu na mpenzi wako kuanzia chakula, malazi hadi mavazi?

    Pole kama hauko sawa, Mungu akufanyie wepesi. Moja kwa moja kwenye mada Binafsi nina mchumba wangu namhudumia kila kitu ambacho mwanamke yeyote aliyekamilika ataitaji pamoja na kuwa ni mwajiriwa sekta binafsi. kiufupi Madem zangu wengine nawatesa kwa kutowazingatia sana kwa sababu ya huyu...
  2. Salahan

    JamiiForums Tanzania Sheria inasemaje juu ya wanaume kuvaa mavazi ya kike hasa kwenye sanaa

    Kuna sanaa za maigizo tunaziona huko mitandao ya kijamii wanaume wakivaa mavazi ya kike nakuigiza uhusika wa wanawake. Hili limezidi kuenea na sasa kuhamia upande wa television now tunawaona mbele ya familia zetu mbele ya watoto wetu tena huko kwenye tv kimeniuma zaidi. Kuna joti kiboga wa...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Nilishangaa kusikia Rais wa Marekani hukatwa gharama za chakula na mavazi kwenye mshahara wake

    Sikuawahi kulijua hili. Kuna ndugu yangu anaishi USA 🇺🇸 kaniambia Rais wa nchi hiyo hahudumiwi bure labda ulinzi na usafiri na mambo mengine machache. Chakula na mavazi Rais hujinunulia kwa mshahara wake au kuchukua kwa bili na mwisho wa mwezi hukatwa na muuzaji pia hukatwa kodi.
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Sifa za Kabila, muonekano, taifa, Dini,n.k. zimewahi kukufanya uonekane mbaya hata ulipokuwa mwema au uonekane mwema hata ulipofanya baya ulitetewa ?

    Nakumbuka niliwahi kwenda kituo cha polisi kwa kosa flani hivi dogo tu ila ghafla likakuzwa sana ionekane mimi ni muhalifu mkubwa, ni siku niliyojifunza waweza kuumwa kichwa usiku ukakamatwa kwa uzururaji ila polisi wakaikuza kesi iwe unachorea ramani majambazi, sasa kule kituoni huwa wanaandika...
  5. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini baadhi ya makanisa yanaweka mabango kuwaasa waumini wavae kwa heshima wakati kinachoangaliwa ni roho na sio mavazi?

    Huku ni kukosa mafunzo sahihi ya sheria ya mavazi kwa viongozi wetu wa makanisa ndio maana wanalazimika kuweka matangazo juu ya mavazi, sisi wakristo inajulikana wazi kwamba kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kuna haja ipi ya kuweka haya mabandiko ? uliona wapi misikitini wanaweka matangazo ya...
  6. JORDAN GADI TWARINDWA

    JamiiForums Tanzania Tofauti kati ya nguo na mavazi Kibiblia

    Utangulizi; ----------------- Ipo Tofauti Kati ya Nguo na Mavazi.. Kwa Tafsiri Ya Kiroho, sawasawa Na Ufunuo wa Roho Mtakatifu.. NGUO--- GARMENT. MAVAZI--- VESTURE. Nguo ni ile uivaayo ukiwa katika shughuli zako za; Kijamii, Uchumi na Maendeleo.... Lakini VAZI, Ni ile uivaayo ukiwa katika...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

    Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho. Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi? Ndani ya...
  8. S

    JamiiForums Tanzania Vipi unapofanya kazi ofisini na mavazi na sura zao na uchangamfu wao hawa wadada.

    Nimeshindwa imebidi niwe nafanya kazi za nje tu ,siwezi siwezi siwezi ,nafukuzwa maana uvumilivu kusema kweli sinao ,wote nawaona warembo. Sijui wenzangu mnawezaje kuwepo maofisini na kufanya kazi kwa ufanisi.
  9. L

    JamiiForums Tanzania Je, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni Afrika unahusiana na China?

    Katika miaka ya hivi karibuni, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni aina ya anime umeendelea kuongezeka barani Afrika, na hata wadau husika wanasema Afrika inatarajiwa kuwa soko muhimu la kimataifa la katuni aina ya anime. Hata hivyo, miaka michache iliyopita, achilia mbali...
  10. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania Kama kweli Mungu anaangalia moyo tu na sio mavazi, kwanini basi watu wasitembee uchi tu?

    Kumekuwa ni mtizamo tofauti kuhusu mavazi hususani kwa wanawake katika jamii zinazoamini katika Mungu, mahususi kwa waamini wa kikristo. Moja ya mtizamo unaokuwa kwa kasi ni wanawake kutaka kuvaa mitindo yoyote ya mavazi pasipo kuzingatia staha na heshima kwa hoja kuwa Mungu haangalia mavazi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Wanigeria na Wahindi wamefanikiwa sana kutambulisha utaifa wao kupitia mavazi

    Indian Prime Minister Narendra Modi shakes hands with Nigeria President Bola Ahmed Tinubu upon his arrival Sisi tunakwama wapi? Wahindi wanaona fahari sana kutumia mavazi kama njia ya kutambulisha utaifa wao, hali kadhalika wa-nigeria. Waarabu pia wako vizuri katika hili. Hivi imeshindikana...
  12. R

    JamiiForums Tanzania Je, Wanajeshi watalazimisha kuchukua nguo za kijeshi hata kwa wanaomiliki kwaajili kufanya kazi za sanaa wakati sheria haijazuia?

    Sheria ya Makosa ya Adhabu namba 16 na Kanuni zake haimzuii mtu kumiliki wala kuvaa mavazi rasmi ya Jeshi ikiwa vazi hilo rasmi litavaliwa kwaajili ya matamasha au maigizo yanayowakilisha Jeshi lolote la Polisi kwa "Nia Njema" Kifungu cha 178 kifungu kidogo 1, 2 na 3 cha Sheria hii pamoja na...
  13. bongo dili

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya Dola viendelea kuwachukulia hatua wanaovaa mavazi ya kijeshi

    Wewe sio Askari kwanini uvae mavazi yasiyokuhusu? Mbona hamvai sare za wafungwa, madaktari, mapadre, nk? Kwanini ya jeshi wakati we si Askari? Kila mtu huvaa vazi kulingana na aina ya kazi yake. Wengine huyatumia vibaya kwenye uhalifu mavazi hayo. Pitia huu ushuhuda binafsi; Mimi anko wangu...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Jeshi kuhusu mavazi ni ya kishamba na kizamani sana

    Nimemsikiliza askari aliyekuwa akihojiwa na CloudsTV anasema sheria ya mavazi ya jeshi unasema;- "Ni marufuku raia kuvaa sare za jeshi ama mavazi yanayofanana na sare za jeshi". Ili iweje? Yaani ktk zama hizi za sayansi na teknolojia bado jeshi letu linataka kujitofautisha na raia kwa mavazi...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Daktari FEKI akamatwa Muhimbili

    Mkazi wa Dar es Salaam aliyejitambulisha jina la Mussa Mawa amekamatwa katika maeneo ya Hospitali ya Taifa Muhimbili akijihusisha kutapeli wananchi wanaopata huduma kwa kujifanya daktari. Mkuu wa Idara ya Ulinzi Bw. Alfred Mwaluko amesema kuwa wana usalama walimbaini daktari huyo feki akiwa...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ufaransa: Serikali yazuia Wanafunzi kuvaa mavazi ya Abaya shuleni

    Wizara ya Elimu imetangaza kuwa Kanuni hiyo inatarajiwa kuanza kutumika Mwaka mpya wa masomo unaoanza Septemba 4, 2023 katika shule zote za Serikali. Waziri wa Elimu, Gabriel Attal amesema "Unapoingia darasani hautakiwi kumtambua Mwanafunzi kwa imani yake ya dini kwa kumuangalia, nimeamua Abaya...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania JWTZ: Baada ya siku 7 atakayepatikana amevaa, anatumia au anauza mavazi ya Jeshi atapatiwa adhabu kali

    https://www.youtube.com/watch?v=Z3MzD0q8MMA Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limebainisha hatua hiyo inatokana na ongezeko la raia wanaotumia mavazo hayo wakikinzana na Sheria ya Ulinzi wa Taifa, Sheria ya Taifa na Sheria ya Kanuni ya Adhabu zinazokataza raia kuvaa au kutumia...
  18. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa Maduka ya Mavazi na Ukahaba mambo leo

    Salamu wamebaki nazo Wazanzibar, huku bara salamu ni utumwa. Juzi wakati natoka zangu Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara nikiwa zangu kwenye gari ikiniwahisha Airport ikabidi nichukue simu nitazame ambayo yanajiri kila uchwao, nilipowasha simu nikazama Instagram ili kujionea habari kwa picha za...
  19. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya kikahaba yanikosesha kupata mume

    Kwani mavazi ya kikahaba ni yapi jamani, mbona mnanichanganya? Je ni kweli mavazi ya kikahaba yanamfanya msichana kutopata mume? Mbona wanawake wanaokaa uchi wameolewa sana mpaka na kuacha na kuolewa mara ya pili? Je, kupata ndoa ni lazima uvae mavazi kama staha? Skia hii: Shouger: Money...
  20. DINHO

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuangalia mavazi ya mtu kwenye usaili wa kazi?

    Kwenye kutafuta ajira kuna mambo mengi sana. Wasakatonge tunahangaika huku na huko kutafuta mrija wa Asali, iwe nje ya nchi au ndani ya nchi, iwe serikali au taasisi binafsi. Sasa basi nikiwa mmoja wa wasakatonge nilibahatika kuomba hizi kazi za TRA, na mara baada ya kuomba nikafanikiwa kupata...
Back
Top Bottom