mavazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hongera sana kwa Waziri Mkuu wa India kwa kudumisha na kujivunia utamaduni wa India katika mavazi

    Kwa kweli huyu waziri mkuu wa India anafurahisha sana!! Anajivunia uvaaji wa kihindi kwa kujiamini kabisa!! Waarabu pia nawapongeza sana na wanigeria!! Anaitangaza nchi yake sawasawa!! Ana msimamo, ndio maana hawezi kuyumbishwa propaganda za nchi za magharibi!!
  2. L

    JamiiForums Tanzania Beijing: Watalii watembelea Forbidden City wakivalia mavazi ya kijadi

    Watalii waliovalia mavazi ya kijadi ya China wanapiga picha katika kivutio cha utalii cha Forbidden City mjini Beijing.
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Serikali iingilie mavazi harusini

    Yaani watu hawavai kwa adabu harusini, why? Itungwe sheria kudhibiti mavazi ya ovyo. Inatutoa kwenye udhu
  4. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Kumtangaza Rais akiwa katika mavazi ya kijeshi katika utawala wa kiraia ni 'inferiority complex'

    Ndani ya miaka 60 ya uhuru chama cha CCM kimeshindwa kutatua changamoto ndogo kabisa ya maji na umeme halafu wiki hii kuelekea siku ya uhuru 09/12/2021 Rais wa utawala wa kiraia kutoka chama hichohicho anatangazwa kwenye mabango barabarani na mitaani akiwa amevaa mavazi ya kijeshi kuhadhaa uma...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kiukweli kuna baadhi ya watu mavazi fulani au sare fulani zinawapendeza na wanatokelezea. Shuhudia wanavyopendeza!

    Wanabodi, Angalizo la uchangiaji: Kuna watu humu wana vijiba vya roho, akitokea mtu akapendeza wao wanakereka au akisifiwa wao wanakereka na kukasirika. Kama wewe ni mmoja wa kundi hili, nakuomba ushia hapa ili huko mbele usikereke. Kufuatia mimi mwana jf mwenzenu umri wangu umesonga songa...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya vijana wengi inabidi uangalie kifua ndio ujue jinsia yake

    Kuna mabadiliko makubwa sana ya kasi katika tasnia ya mavazi hasa kwa mabrazameni na wadada wa kisasa. Mavazi yanafanana kwa ukaribu sana kiasi kwamba inanipa tabu kujua jinsia hadi niangalie kifua kama anamaziwa au hana. Vijana mjitahidi kupunguza kuigana wadada na wakaka. Mnasababisha...
  7. Red Giant

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya waruga+ruga

    Jeshi la waruga-ruga lilikuwa ni jeshi lililoundwa na mtemi Mirambo. Lilijumuisha watu aliowaokota huku na huko. Wangoni, watu waliokimbia utumwa, mateka wa kivita, na watu wengine waiosomeka. Inasemwa kuwa mbinu kubwa ya jeshi hili ilikuwa ni kuwatisha adui zao. Walikuwa wakivaa vipande...
  8. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Msibani mavazi ya heshima Kanisani ovyo

    Nyanja: Maendeleo ya Jamii Suala la nidhamu ya mavazi katika ibada takatifu ya Mungu limekuwa sugu na kujipatia uhalali ambao haupo hata kwenye taratibu za mifumo halali ya ibada duniani. Suala hili limeleta...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Mavazi rasmi kwa kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya juu ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi

    Mavazi ya juu ya mavazi ya kiume 5 ya kupendeza katika Mahojiano ya Kazi Ili kuwa na maoni mazuri, lakini angalia mtaalamu na mtindo, angalia mavazi haya ya mavazi ya wanaume ambayo ni bora kwa mahojiano ya kazi. Unahitaji kuonyesha mwajiri kwamba unaweza kuvaa kwa hafla rasmi. Kwa...
  11. mathsjery

    JamiiForums Tanzania Kwanini niuze simu?

    Kumekuwa na mawazo mengi yanayotolewa hapa jukwaani na baadhi ya wadau kwa watu wenye uhitaji wa aina hiyo. Moja ya wazo huwa najiuliza sana ni kwanini linatolewa sana ni hili. Uza simu. Uza simu kanunue karanga tembeza vyuoni na saiti. Uza simu kanunue mitumba na viatu pale sijui wapi saa...
  12. Ali kifai

    JamiiForums Tanzania Wedding and Sendoff costumes thread, uzi wa mavazi mbalimbali ya harusi

    Habarini za jioni, Ningependa kutanguliza shukrani zangu za dhati kwa watu wote kwenye jukwaa hili walioonyesha nia ya dhati ya kunisupport tangu naanza kufanya hizi shughuli za kushona mpaka leo hii nna miliki brand yangu mwenyewe ambayo haina muda mrefu kwenye soko ila imezungukwa na watu...
  13. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wamaasai wasikitishwa na mavazi aliyovaa Diamond

    WAMASAAI WAMESEMA MAVAZI ALIYOVAA *DIAMOND KATIKA TUZO HUKO BET NI MAVAZI YA KIKE Urembo aliovaa shingoni kuanzia alioubana na ulioning'inia ni mavazi ya wanawake wanaovuka rika. Pia nguo aliyovaa ni yakike na haivaliwagi kama khanga au taulo kama umetoka kuoga. Kitu pekee alichobeba cha...
  14. M

    JamiiForums Tanzania DC Jokate, huu ni muda sasa wa kubadili aina ya mavazi yako

    Kwako DC Jokate Kwanza nikupongeze kwa kazi nzuri unayofanya, binafsi nakukubali sana aina ya uongozi wako, umefanya kazi nzuri sana huko Kisarawe. Pia, sina wasiwasi kuwa hata hapa Dar ulipohamishiwa katika wilaya ya Temeke utafanya vizuri. Naamini kabisa kuwa kwa jinsi unavyochapa kazi...
  15. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mavazi aomba muongozo wa Dawati la kina Baba, Spika amuunga mkono

  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Nalaani Mbunge Condester Michael kutolewa ndani ya Bunge kisa Mavazi, ameonewa na kudhalilishwa kwa makusudi

    Kwa ukweli huu ni udhalilishaji wa makusudi kabisa ambao umefanywa kwa mbunge huyu mwanamke. Nimeangalia suruali aliyovaa huyu dada si zile suruali za kubana maumbo. nimeshangaa hata spika kutotumia busara kuona kuwa huyu alipaswa kwanza aachwe then aje aangaliwe baadaye. Kama alishakuwa...
  17. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge Condester Michael atimuliwa Bungeni kwa kuvaa ovyo. Spika awaagiza askari wa bunge kuwazuia getini wavaa ovyo

    Mbunge wa Momba Condester Michael Sichalwe ametolewa ndani ya ukumbi wa Bunge ili akabadilishe mavazi yake baada ya Mbunge wa Nyangw'ale Hussein Nassor Amar kuomba muongozo wa Spika kuwa kuna baadhi ya Wabunge wamevaa mavazi yasiyo na maadili. Spika baada ya kumuamrisha kuondoka Bungeni pia...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Mavazi yanayofaa kuvaa wakati wa Usahili 'interview '

    Vaa aina ya mavazi yanayokuonesha kuwa ni nadhifu na uko makini 'professional' . Kwa mwanaume unaweza vaa suti, au shati na suruali ya kitambaa, pamoja na kiatu cha kufunika cha kiofisi. Mwanamke unaweza kuvaa blauzi na sketi nzuri, isiwe fupi au ndefu sana hadi kukuletea usumbufu, vilevile...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Epuka Mavazi yafuatayo unapoenda kwenye Usahili 'interview'

    Nguo zenye rangi ya kung'aa na urembo mwingi Mapambo mengi kama, hereni, bangili, pete n.k Nywele zenye rangi rangi Manukato yenye harufu kali 'Makeup' nzito Usivae mavazi yanayokuonesha upo kawaida sana 'casual' Acha 'headphones' zako nyumbani Utavaa mavazi tajwa hapo juu ikiwa tu aina...
  20. careenjibebe

    JamiiForums Tanzania Mavazi ya Mama yetu Rais Samia

    Natamani mama angeanza kutupia mavazi yanayoenda na fasheni ya marais. Yaani vazi flani hivi traaamu sana kiasi kwamba mtu akimuona tu anajua kweli huyu MAMA WA TAIFA. Kama leo yupo UGANDA na vile amevaa barakoa nilitaman amechishe zake na gloves kwasabu hata hivo UG kuna kiubaridi, angepiga...
Back
Top Bottom