TUKANA UONE
JF-Expert Member
- Jan 3, 2018
- 1,816
- 5,151
Salamu wamebaki nazo Wazanzibar, huku bara salamu ni utumwa.
Juzi wakati natoka zangu Hifadhi ya Taifa ya Lake Manyara nikiwa zangu kwenye gari ikiniwahisha Airport ikabidi nichukue simu nitazame ambayo yanajiri kila uchwao, nilipowasha simu nikazama Instagram ili kujionea habari kwa picha za video ndipo ghafla nikaona mwanamke mmoja mtu mzima na bila shaka alikuwa akinadi mavazi ambayo yalikuwa yakipatikana dukani kwake.
Kilichonishangaza ni namna alivyokuwa akitikisa Mata-call kwa namna ya pekee hadi kutia ushawishi hata kama ulikuwa huna wazo hilo ndipo nikagundua ya kwamba si yeye pekee bali karibia wanawake wote siku hizi huko mitandaoni ili uuze ni lazima utikise kalio wakati huo ukiwa umeivaa hiyo nguo.
Sielewei ndiyo udangaji mpya au ni fasheni tu!.
Hivi kama ukiwa na duka la nguo ukavaa zako nguo ukapiga picha ukaweka mtandaoni utapungukiwa nini?
Kwani hadi uanze kutikisha makalio na kuzunguka zunguka ili watu waone namna ulivyojaaliwa ndiyo utauza?
Bila shaka huu utakuwa "UKAHABA MAMBO LEO"
Haiwezekani mwanamke mtu mzima mwenye familia ukafanya mambo ya hovyo namna hiyo.
Zamani midoli ndiyo ilikuwa ikivishwa nguo ila siku hizi wanavaa wenyewe na kutikisa makalio juu, hivyo inatoa ishara ya kwamba anauza nguo na mboga!.
Kazi kwenu wajuba.
Any way, Baby Joannah nipo Mjini mama,nitafute uje uchukue mzigo wako wa siku saba nilizokuahidi japo hukutokea.