mauzo

  1. Dr. Zaganza

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kijana anayeweza kufanya mauzo Door to door na delivery

    Habari zenu. Kijana mwenye nishhati (energy) ya kufanya mauzo vituo maalum tutavyompangia na kudeliver kwa wateja wetu waliopo kwa bidhaa asilia za ngozi anahitajika. Piga 0713 039 875 (Awe Dar au Kibaha mjini). Muhimu: sipo JF muda mwingi,tumia simu
  2. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Digital yavunja rekodi Kanda ya Pwani, Kitita cha mauzo ya kadi chafikia 200% ya makadirio

    Hii ndio taarifa iliyofichuka kwenye hafla ya kukabidhi kadi za Premium iliyopewa jina la Jubilant, kwa wanachama wa Kanda ya Pwani, inayorindima leo hii, hapa pana mkusanyiko wa kadi za Gold , Platnum na Diamond. Makadirio ya awali yalikuwa kukusanya Tsh mil 7 tu, lakini sasa Makusanyo...
  3. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kazi kwa wataalam wa mauzo na madereva

    Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for: 1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies company or commercial sales company. 2/ Experienced drivers (driving license (type C). Applicants...
  4. mgt software

    JamiiForums Tanzania Kagera kupoteza Billion 53. 4 kwa mwaka mauzo ya dhahabu kama itamegwa na kutengeneza Mkoa wa Chato

    Wana Jf, Kama utabiri ukitokea uenda Kagera ikapoteza fedha nyingi kwa kile tunachokiita upuuzi wa mwombolezaji mmoja toka Chato. Chato imebebwa na Kagera miaka mingi tangia falme mpaka kuwa wilaya kamili. Sasa hawa jamaa wanaleta unazi kuwa kila kiongozi mkuu apewe anachohitaji, kwa njia hii...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Mac Voice ameanza kuweka rekodi za kutisha kwenye mauzo

    Siku chache tu baada ya kutambulishwa... msanii mwenye talent ya kushangaza aitwae Mac Voice kutoka kampuni ya muziki ya Nextlevel, ameanza kuandika rekodi nzuri kwenye mauzo. EP yake ya my voice imeshapiga streams laki 5 ndani ya muda mfupi sana. Hapa Rayvanny alilamba dume.
  6. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya matunda Ulaya yaendelea kuvunja rekodi Kenya

    Earnings from horticulture recorded the biggest growth among Kenya’s main agricultural exports in the eight months to August, fresh data shows, cancelling out poor performance by tea. An update by the Central Bank of Kenya (CBK) shows that horticulture earnings jumped by a quarter to Sh87.8...
  7. POStanzania

    JamiiForums Tanzania SOFTWARE Point of Sale Software: Fahamu mwenendo wa mauzo katika biashara yako hata kama upo mbali na biashara yako?

    POStanzania
  8. Call me GHOST

    JamiiForums Tanzania Makosa 7 ya kuepuka unapouza bidhaa kwenye WhatsApp status yako

    ....Kama Umekuwa ukipost bidhaa kwenye WhatsApp status yako kisha watu wakaishia Kuview Tu bila Kununua basi kuna uwezekano unafanya kosa mojawapo kati ya haya 7 Kabla sijakwambia hayo makosa ngoja nikusanue kwanza kuhusu huu mchongo mpya wa kutumia WhatsApp Status yako kupiga hela badala ya...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Ninamiliki kituo Cha mafuta, mshindani wangu anauza Sana kuliko mimi. Nini nikifanye kuongeza mauzo na wateja

    Wakuu Kama nilivoelezea hapo hapo juu namiliki kituo Cha mafuta. Nina changamoto yakushuka mauzo kulinganisha nahapo awali mauzo yamepungua baada yakuongezeka vituo viwili vingne vya mafuta. Nini nifanye kuongeza mauzo au kuvuta wateja Zaid ukizingatia washindani wangu wana nguvu zaid yangu...
  10. barcelonista

    JamiiForums Tanzania Kufikia Mauzo ya Platnum

    Wakuu kwema? Tueleweshane kidogo kwa wale wanaofahamu. Ni vigezo gani hutumika kuifanya nyimbo kuuza mauzo ya Platinum. Kwa mfano hii Essence ya Wiz Kid imefikisha Mauzo hayo ndani ya U.S.A Baada ya kuuza Units 1 Milion. Na inaonekana sio rahisi kwa sababu huchukua muda ngoma kufikia mauzo...
  11. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya magari yanayotengenezwa Kenya yavunja rekodi

    Yaani hadi raha....hii nchi tunapaa The share of new vehicles assembled locally rose to a record 70.9 percent in the eight months ended August, signalling increased demand for models put together at plants such as Isuzu East Africa and Kenya Vehicle Manufacturers (KVM). Data from the Kenya...
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yazuia kodi ya mauzo

    Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya alitaka kampuni zilipe kodi ya 1% kwenye jumla ya mauzo kwa mwaka Sheria hiyo ingeipatia Kenya jumla ya Ksh. Bilioni 21 sawa na takribani Tsh. Bilioni 441.74 Mahakama Kuu ya Kenya imesema kotoza kodi hata kwa waliopata hasara ni kinyume cha Katiba. Kampuni nyingi...
  13. C

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya jezi ya Ronaldo ya vunja rekodi za muda wote

    💰 £187m in shirt sales 👕 Fastest selling shirt in Premier League history 🙌 Almost twice as many ‘Ronaldo 7’ shirts bought than ‘Messi 30’ shirts 🤑 Man Utd recouped entire transfer fee before Ronaldo's kicked a ball Nobody sells shirts quite like Cristiano Ronaldo
  14. AA TANCH TRADING COMPANY

    JamiiForums Tanzania Tovuti 10 zinazoongoza kwa mauzo ya simu za iphone Tanzania. Kwa bei nzuri na uhakika

    Mauzo ya simu kwa sasa yameongezeka sana. Kutokana na uwepo wa ushindani mkubwa katika soko. Pia tukiangalia na kazi ya simu za mkononi. Zipo kukurahisishia upatikanaji wa taarifa. Na upatikanaji wa huduma nyingine nyingi ambazo zinatuwezesha. Kuongeza ufanisi katika kazi zetu na masomo yetu...
  15. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Yaani Mauzo ya Msimu mzima wa 2020/21 ya Jersey za Yanga ilikuwa Milion 45?

    Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli? Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui. Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kila nikishusha Bei dhidi ya washindani wangu nao hushusha Zaidi yangu, nifanye nini kuongeza mauzo?

    Habari wakuu, Nimekuja kwenu kutaka fikra na mawazo.. Niko ktkt biashara ya duka la jumla la vyakula kwa muda Sasa changamoto iliyopo kila mshindani wangu analenga kushika wateja soko kwa kushusha Bei chini Zaid nami nimekua nikishuka nao.. Sasa Basi Hali hii imepelekea kuzid kukupunguza faida...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mauzo ya mkonge yaipaisha Kenya

    Tunakwenda kwa mwendo huu huu.... Kenya's sisal export earnings rose by 10.96 percent to Sh2.45 billion in the first half of this year compared to a similar period in 2020, buoyed by rebounding prices in key export markets. Data by the Agriculture and Food Authority (AFA) shows export volumes...
  18. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Mauzo ya Kondomu yamepungua sana

    Katika biashara yangu ya duka la dawa. Mauzo ya Kondomu yamepungua ghafla kwa miezi miwili mfululizo. Kwa wastani nilikuwa nauza kondomu 150 kwa siku. Ila kwa Sasa nauza kondomu 6 kwa wiki. Chanzo Ni COVID-19?
  19. C

    JamiiForums Tanzania Dortmund watengeneza zaidi ya €200m kwa mauzo ya wachezaji hawa

    Rejea kichwa cha habari Ousmane Dembele bought for €35 From STADE DÊ RENNES Sold For €135 to BARCELONA, PROFIT €100 Jadon Sancho bought for €7.8M from MANCHESTER CITY YOUTH ACADEMY Sold For €85M to MANCHESTER UNITED, PROFIT €77.2M Christian Pulisic from BORRUSIA DORTMUND YOUTH ACADEMY, Sold...
  20. Kibenje KK

    JamiiForums Tanzania Ukikosa kazi kwa muda mrefu, jaribu kutafuta kazi za Mauzo (Sales)

    Ninatambua kwamba watu wengi wanafuta ajira usiku na mchana bila mafanikio. Ukifikiri kwa makini utagundua kwamba, njia iliyokuwa bora ya kujihakikishia ajira sio kutafuta ajira. Bali ni kutafuta tatizo au matatizo unayoweza kuyatatua. Jaribu zoezi hili; mwezi huu tembelea Ofisi kadhaa popote...
Back
Top Bottom