Yaani Mauzo ya Msimu mzima wa 2020/21 ya Jersey za Yanga ilikuwa Milion 45?

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?

Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui.

Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati kabisa. Mnatukosea sana sisi wananchi wenye uelewa. Haya bwana. Hamna shida. Kuna siku itanyesha tutajua panapovuja.

Screenshot_20210905-141219.png
 
Mrabaha kutokana na mkataba wa jezi wamepata shilingi 120,000,000/= mbona huizungumzii?....mwaka 2019 kwenye mauzo ya jezi walipata million 7,lakini mwaka 2020 wamepata million 45...
 
hesabu za kitopolo hizo. mrabaha ni dau waliloingia Yanga na GSM bila kujali wameuza jezi ngapi. hiyo 1300 ndo itategemea idadi ya mauzo chukua 45m gawanya kwa 1300
Mrabaha = royalty.

Understanding Royalties

Royalty payments typically constitute a percentage of the gross or net revenues obtained from the use of property. However, they can be negotiated on a case-by-case basis in accordance with the wishes of both parties involved in the transaction.
- Investopedia -
 
Simba wao wamevuta bilioni 2 kwenye mkataba wa jezi,kwa Yanga kipi kinaahindikana?,ukizingatia Vunja bei ameahidi kuongeza mzigo mkubwa zaidi baada ya mkataba huu wa sasa kuisha.
 
Daaahh.... Kila jersey ya Yanga moja yanga inapata faida ya Tsh 1,300. Msimu unaoisha Yanga iliingiza tsh 45,000,000 kupitia jersey. Kweli?

Kweli jamani Mnajua wakati mwingine mnasahau mnadhani watu wote walioko Yanga hawana Elimu au hawajitambui.

Mnatukosea sana. Mimi nasema hili kwa dhati kabisa. Mnatukosea sana sisi wananchi wenye uelewa. Haya bwana. Hamna shida. Kuna siku itanyesha tutajua panapovuja.

Aiseeee mbona kama ndogo sana,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom