maumivu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Maumivu ndani ya pua (maxillary sinus area)

    Habari wana jamii forum, nimekuja na issue moja, Kuna hili tatizo linanisumbua mwaka wa pili sasa lilianza mwaka juzi mwezi wa tatu nikaangaika nalo hadi mwezi wa 5 likawa limekwisha kabisa. Iko hivi huo mwezi wa 3 mwaka 2022 ilikuwa nikivuta mafua yaje kwa njia ya mdomo mfano( kuna time...
  2. Mnaotamani VAR ije haraka jiandaeni na maumivu

    Hii bila shaka ipo kwa maslahi ya watu flani, sie wengine tunafata mkumbo tu, Ni kweli ina faida yake ila hasara yake ni kubwa sana, imagine unakataliwa goli la halali kabisa ambalo pengine lingewaokoa msishuke daraja Nashauri tuangalie tena na tena uamuzi huu
  3. F

    Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Sorry ni awamu ya 5 ya bullzoda sio ya nne! Awamu ya 4 ilikuwa baba wa demokrasia. Kabla ya 2015 angalau kulikuwa na uhuru wa kusema, ukweli ulijulikana na uliachwa usemwe kwa kiasi kikubwa, na wataalamu waliachwa watumie taaluma yao kutoa miongozo, lakini alipokuja Magufuli yeye aligeuka kuwa...
  4. Kwa kiwango cha wachezaji hawa, Dar Young Africans tujiandae na maumivu mapya

    Kama ilivyo ada na taratibu za football basi Yanga wajiandae. Wachezaji kama Aziz Ki Diara na pacome itakua ngumu kubaki nao msimu ujao.
  5. Nilikupenda sana mke wangu, sikujua kama ningeharibu ua kwa kulimwagilia maji mengi

    (Salamu nitazitoa baada ya kumrudisha mke wangu) Kwa machungu makubwa sana naandika uzi huu. Kwa kuwa naongea leo kwakuwa nahisi maneno ni bora kuliko kukaa kimya. Nilikupenda sana wewe ila mke wangu sikujua kama ningeweza kuliharibu ua kwa kulimwagia maji mengi. Pamoja na kukusifia mbele za...
  6. Nina harisha damu lakini sina maumivu ya tumbo

    Tangu jana nimekuwa nikiharisha damu. Sina maumivu yoyote ya tumbo na wala sipandishi homa. Leo nimeenda hospitali wamenipa dawa za minyoo. Je minyoo inaweza kusababisha uharishe damu? Au ndio nimekutana na daktari kihiyo?
  7. N

    Dawa hii inayumika kama sumu ya panya. Je, ni salama kwa matumizi ya binadamu?

    Ndungu zangu mm nimefika katika jukwaa hili ili niweze kutoa hili jambo ambalo binafsi limenitisha naomba kupata majibu kwa wataalamu, kuna dawa ya kutuliza maumivu kwa jina INDOSINE (si mtaalamu katika kuandika majina ya madawa). Dawa hii imekuwa ikitumika kama sumu ya panya, na mimi binafsi...
  8. Y

    Nikiwa nimelala nikisimama nasikia maumivu makali upande wa shingo kulia kwenda kwenye bega. Na kugeuza shingo inakua inauma

    Wakuu nina shida, mwanzoni nilienda kwenye polyclinic nikaambiwa nina UTI kali, so nikachoma sindano tano nimezimaliza juzi. Shida ni kua nikiwa nimelala, nikisimama ghafla nasikia maumivu makali yanayotoka kwenye upande wa sikioni kushuka kwenye bega upande wa kulia. Na kitu kingine nikiwa...
  9. Naomba kuelekezwa dawa ya kutuliza maumivu ya jino

    Wakuu nisaidie dawa ya jino la kutibu au kutuliza maana hali ninayoihisi ni hatari mno. Tafadhali msaada wenu.
  10. Hakuna binadamu wa udogo, dunia itambue maumivu ya Wapelestine

    Hasira walizonazo watanzania, wapalestina wanaishi nazo miaka miaka yote. Let’s be realistic. Kilochofanyika na Hamas sio sahihi lakini kinaelezeka. Tatizo watu wanaendeshwa na chuki ya dini. Kuna mtu humu amekua na hasira mpaka kusema atamtafuta member ambae yuko upande wa palestine. Hasira...
  11. Umewahi kupata maumivu kutoka kwa mtu uliyewekeza muda, upendo na imani yako kwake?

    Kuna watu wengi ambao wanapitia maumivu ya namna hiyo, hii ni kwasababu unajikuta umewekeza sana kwa mtu huyo, endapo ikatokea akakuumiza basi maumivu yanapita ndani kabisa, wengi hawawezi vumilia hili na kujikuta wanafanya jambo la ajabu. Je, umewahi kupitia maumivu haya? Toka kwa nani? Sababu...
  12. Napitia maumivu makali sana ya moyo

    Napitia Mamiuvu makali sana kwenye moyo, akili na roho Nisiseme mengi. Tuko kwenye mahusiano ya kimapenzi, japo si ya wazi. Imebaki kuwa siri yangu mimi na yeye. Yuko na room yake (ni single mother), nami niko na room yangu (bachelor, muandamizi kikosi no 666, batch ya kataa ndoa). Huwa...
  13. DOKEZO Responded Naibu Waziri na Mbunge Pauline Gekul adaiwa kumfanyia Ukatili wa Kimwili Mtoto

    Hashimu Ally Phillemon, mkazi wa Babati Mjini anaeleza kwamba alikamatwa eneo lake la kazi, Paleii Lake View Garden, mali ya mbunge wa Babati Mjini, Pauline Gekul, Naibu Waziri wa Sheria na Katiba na kupigwa, kujeruhiwa na kuwekewa chupa katika maeneo ya haja kubwa. Hashimu Ally anadai, Pauline...
  14. Mimi Mwarabu na sielewi kwanini ulimwengu hauwezi kukubali maumivu ya Kiyahudi

    Miaka mingi iliyopita, nilijifunza Kiebrania kutokana na udadisi na kwa nia ya kupenya katika ulimwengu ambao hapo awali nilidhani ulikuwa mbaya na kupanga njama dhidi ya Waarabu na Waislamu. Mara tu nilipoingia, nilishangaa jinsi nilivyokuwa nimekosea, jinsi karibia kila Mwarabu na Mwislamu...
  15. Prisca Kishamba na media yake ya udaku wanatumika vibaya kusambaza propaganda

    Baada ya kichapo cha goli tano alichochapwa Simba SC na mtani wake yaliibuka maneno/tetesi nyingi kuhusu wachezaji wa Simba SC kusimamishwa baada ya kusemekana wamekula mlungula (Rushwa). Hizi tetesi zilisambazwa na media ya Kishamba tv. Cha ajabu kikosi kimetoka wachezaji waliokuwa...
  16. M

    Simba tunakuja: Mzunguko wa pili tarehe 13/04/2024, Yanga jiandaeni kwa maumivu!

    Utakuwa unafanya makosa yatakayokugharimu sana ukimwona Simba amenyeshewa mvua, ukadhani kuwa amegeuka na kuwa paka! Form is temporary but CLASS is permanent!! Mechi ya mzunguko wa pili tarehe 13/04/2023 itakuwa kiyama kwenu! Simba nguvu moja! Hayo ya jana tumeyapokea na kuyatupa nyuma na...
  17. Z

    Wanaoichukia Simba kubalini tu maumivu, Al Ahly atawaangusha!

    Nawaheshimu Al Ahly, lakini si kwamba hawafungiki, leo watalazimika kulitema tonge kabla hawajalimeza! Hii itapelekea wanaoichukia Simba kuumia sana! Ila sina jinsi ya kuwasaidia itabidi wajiandae tu kisaikolojia! Niwaombe tu akina Laban Og, Nalia Ngwena, Genta nani vile…. na wengineo...
  18. Chukua hatua kwa maumivu makali ya kifua

    Historia ya kina na uchunguzi kamili unapaswa kufanywa ili kubaini sababu inayowezekana zaidi na njia ya utatuzi. Ikiwa kuna upungufu wa mtiririko wa damu kwenye moyo hali inayopelekea kuzuia misuli ya moyo kupokea oksijeni ya kutosha (myocardial ischaemia) mara nyingi maumivu yake huwa ni...
  19. Mguu wa kushoto una pata maumivu makali kwenye kisigino

    Naombeni msaada nina tatizo la mguu upande wa kushoto kwenye kisigino kuna maumivu makali sana hadi kukanyaga nashindwa hali imenianza toka juzi
  20. Dunia inarudi ilipotoka, itarudi kwa maumivu makali sana

    DUNIA INARUDI ILIPOTOKA, ITARUDI KWA MAUMIVU MAKALI SANA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Kila kitu kitarudi katika sehemu yake. Kila mtu atarudishwa katika nafasi yake. Hakuna atakayevuka mipaka yake tena. Bahari itajidhibiti mawimbi yake, wala maji hayataenda sehemu ya nchi kavu, Usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…